Aliyeua Mke apatikana Muleba alikokwenda kujificha, akutwa katika harakati za kujiua

mgt software

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
13,767
7,115
Wana JF

Habari za kuaminika kutoka Muleba ni kwamba, mme wa Irene Mzava amepatikana akiwa hoi katika jaribio la kutaka kujua jana kwa rafiki yake ambaye alienda kujificha lakini ikashindikana baada ya watu kutoa taarifa kuwepo kwake eneo hilo.

Aliona wakinyatia, akafunga milango, akatafuta waya wa umeme extension cable, akajininginiza kwenye feni kwa lengo la kujitoa roho, watu wakawa wanangongea afungue yeye akawa anapambana kujiua ndipo wakamuwahi akiwa hoi, wakampeleka katika hospitali ya Kaigara,wakapima vipimo vyote akaonekana yupo sawa, wakamweka pingu, sasa yupo njiani akiletwa dar kujibu tuhuma za mauaji.

R.I.P Ireni hakika damu yako mzito, jamaa kakamatwa kabla ujazikwa.

Pia soma > Mama wa TRA akutwa amefariki Bunju Beach, mume wake naye amepotea

IMG-20220106-WA0004.jpg
 
Wana JF

Habari za kuaminika kutoka Muleba ni kwamba, mme wa Irene Mzava amepatikana akiwa hoi katika jaribio la kutaka kujua jana kwa rafiki yake ambaye alienda kujificha lakini ikashindikana baada ya watu kutoa taarifa kuwepo kwake eneo hilo. Aliona wakinyatia, akafunga milango, akatafuta waya wa umeme extension cable, akajininginiza kwenye feni kwa lengo la kujitoa roho, watu wakawa wanangongea afungue yeye akawa anapambana kujiua ndipo wakamuwahi akiwa hoi, wakampeleka katika hospitali ya Kaigara,wakapima vipimo vyote akaonekana yupo sawa, wakamweka pingu, sasa yupo njiani akiletwa dar kujibu tuhuma za mauaji. R.I.P Ireni hakika damu yako mzito, jamaa kakamatwa kabla ujazikwa.
tupe rejea kidogo ya hii habari plz.....
 
Sio mzoefu.. Damu ya mtu hunuka vibaya sana
 
Back
Top Bottom