dalili

Dalili is a Persian surname. Notable people with the surname include:

Raz Dalili (born 1959), peace educator in Afghanistan
Raz Mohammed Dalili (born 1959), Governor of Paktia Province in Afghanistan

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Dkt. Emmanuel Nchimbi: Mkiwaona CHADEMA wanaandamana mjue wameamua kutumia miguu kufikiri

    Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi Balozi Nchimbi akizungumza na Wanachama na Wananchi wa Mkoa wa Dar es Salaan Leo amesema. Mkiwaona CHADEMA wana Andamana Mjue wameamua kutumia Miguu Kufikiri Badala ya Akili/Ubongo. https://www.instagram.com/reel/C2UvdMwtYtD/?igsh=ZWNpZmN3OW8wdHJq
  2. JamiiForums Tanzania Ujue Ugonjwa wa Malaria: Dalili, Madhara, Kinga, Tiba, Malaria kwa Wajawazito na Mpango wa Serikali katika kuzuia Malaria

    Malaria ni ugonjwa unaosababishwa na vimelea vinavyojulikana kama 'Plasmodium' ambavyo huenezwa na mbu jike aina ya Anofelesi. Ugonjwa wa Malaria huenea kutoka kwa mtu mmoja kwenda kwa mwingine pale mbu mwenye vimelea vya malaria anapomuuma mtu mwingine na kuacha vimelea mwilini mwake. DALILI...
  3. JamiiForums Tanzania Dalili za kuonesha tayari una ugonjwa wa Figo: Wanywa Pombe Kali Mnasalimiwa!

    Profesa Janabi kwenye uzinduzi wa Professor Jay Foundation ametaja dalili za mtu ambaye tayari anaugonjwa wa figo. "Ukiwa na hizi dalili sio za mwanzo tena, tayari wewe umeingia kwenye ugonjwa wa Figo Katika kutaja dalili hizo, salamu hizo amelekeza kwa wale Wazee wa bapa, k-vant...
  4. JamiiForums Tanzania Dalili Siku Za Mwisho

    Happy Sunday wana JF. ‭‭2 Timotheo‬ ‭3:1‭-‬7‬ ‭SUV‬‬ [1] Lakini ufahamu neno hili, ya kuwa siku za mwisho kutakuwako nyakati za hatari. [2] Maana watu watakuwa wenye kujipenda wenyewe, wenye kupenda fedha, wenye kujisifu, wenye kiburi, wenye kutukana, wasiotii wazazi wao, wasio na shukrani...
  5. JamiiForums Tanzania Baada ya siku 37 mtoto amepatikana chini ya majumba yaliyoripuliwa na wa Israel, Ni Miujiza na dalili Palestine inalindwa kiroho !!

    Ukisikia kitukuu cha mtume ndo ichoo..
  6. JamiiForums Tanzania Kuvaa jezi yenye mabango mawili yaleyale ni dalili ya afya ya akili kwa mvaaji.

    Uvaaji wa maVazi ni ishara ya jambo fulani kwa mvaaji kama vile huzuni, furaha, umoja, aina ya kazi ufanyayo na ujumbe unaotaka kuwasilisha kwa jamii. Jezi mpya ya Simba Ina mabango 2 kifuani yanayoitangaza bidhaa ya moxtra, hii inamaanisha nini kwa atakaekuwa ameivaa hii jezi, imekosewa...
  7. JamiiForums Tanzania Dalili za mwanamke anaekupenda

    Nimekuwa nikijiuliza Sana kuhusu dalili za mwanamke anaekupenda unamjua kwa ishara zapi? Mimi ninayofahamu ni tabia ya kuwa na tabasamu unapokuwa nae, vipi kuhusu body language yake......?
  8. JamiiForums Tanzania Ni dalili zipi za Awali ukienda Kumtembelea Mwanaume Kwake akiwa na Bintiye 'Aliyeumbika Mashaallah' utahisi kuwa Anambandua / Wanabanduana tu?

    Kuna Familia nimetoka Kuitembelea leo kwa nilichokiona nikiambiwa yule Baba hamlali ( hambandui ) Mwanae ( Bintiye ) basi GENTAMYCINE nitaukweka ( nitapuu ) kuanzia hapa Mkoani Dar es Salaam hadi Kwetu Mkoani Mara nikiyapanga tu Barabarani kwa Kutoamini. Natamani sana nikiweke hicho...
  9. JamiiForums Tanzania Tukio la Mkataba wa Bandari kwenda sambamba na Uteuzi wa Makonda ni Dalili za CCM kujivika kitanzi cha hiari

    CCM ina watu wabovu sana kwenye kitengo cha propaganda, kufanya uteuzi wa Paul Makonda kuwa Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM kama spinning ya kuzima mjadala na fikra tunduizi kwa tukio la aibu la Mkataba wa Bandari ni timing mbovu na imekuwa miscalculated. Falme za namna hii hizi ni nyakati...
  10. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Soko la Karume (Dar) kuna dalili za rushwa, TAKUKURU ije ikague mapato na matumizi ya makusanyo

    Kero yangu kubwa ambayo naomba jamii itambue ni kuwa Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam ni kwamba Soko la Karume tunachanga michango mingi kama pesa ya usafi na ulinzi lakini hutujawahi ona mapato na matumizi ya pesa zetu zinaendaje. Naomba kufikisha ujumbe huu kwa Serikali Kuu kupitia...
  11. P

    JamiiForums Tanzania Fahamu zaidi kuhusu chanzo na dalili za ugonjwa wa fangasi ukeni (Vaginal Candidiasis)

    UGONJWA WA FANGASI UKENI (VAGINAL CANDIDIASIS) Maambukizi ya fangasi sehemu za siri imekua ni tatizo kubwa sana Duniani 75% ya wanawake wote Duniani wanasumbuliwa na tatizo hili. Fangasi ukeni ni miongoni mwa magonjwa ambayo hutesa wanawake kwa namna mbalimbali. Husababisha miwasho, harufu...
  12. JamiiForums Tanzania Usije uka google dalili za Ukimwi kama unajihisi unao "Utakufa kwa presha"

    Habari zenu wakuu Hope mko powa kabisa. Kwanza naomba ifahamike kabisa kwamba kuwa na UKIMWI sio mwisho wa maisha kwakua wapo watu wengi wanaoishi na ugonjwa huu lakini bado wanaendelea kuishi vizuri kwa kufuata ushauri wa madaktari. Pia uzi huu haupo kwaajiri ya kuwanyanyapaa watu waishio na...
  13. JamiiForums Tanzania Hizi ni Dalili za ugonjwa wa uti wa mgongo:

    Hizi ni dalili za ugonjwa wa uti wa mgongo: 1 Maumivu mkali ya mgongo 2 Maumivu makali sehemu ya kiuno (Nyongo) 3 Maumivu ya kichwa yasiyoacha 4 Maumivu ya shingo na mabega 5 Vichomi sehemu ya kiuno Kama una dalili yoyote kati ya hizo, basi kuna uwezekano mkubwa kuwa una shida kwenye uti wa...
  14. JamiiForums Tanzania Kila dalili zinaonesha Bwawa la Nyerere kuhujumiwa na wapigaji ili kupata kile wangekosa chini ya Hayati Magufuli

    Kuchelewa kufunguliwa mradi wa bwawa la Nyerere kwa hali yoyote ni njama ya wale ambao mradi kama huo ungewaingizia binafsi mabilioni kwa upigaji au wataathirika upigaji wao kwa mradi mkubwa wa hydro kuzalisha umeme megawati 2000 na zaidi. Kuna maajenti wa mabeberu wa kigeni wako tayari kwa...
  15. JamiiForums Tanzania Kwanini dalili hii ya kubalehe haifundishwi hata shuleni?

    Habari wanaJf! Mimi sio mwandishi mzuri lakini naamini tutaelewana tu. Kipindi cha kubalekhe kina dalili nyingi ambazo tunazisikia na zaidi zinafundishwa mashuleni, dalili kama vile kuota matiti, nywele sehemu zilizojificha, kuvunja ungo na kuanza kupata wet dreams, hizi zinafundishwa ili...
  16. JamiiForums Tanzania Naona dalili za anguko la kiuchumi la Watanzania na sidhani kama Serikali yao imejiandaa kulikabili

    Ni maoni yangu, ni hisia zangu, reference point ni consumption patterns, consumer markets, business markets, expenditure patterns, currency consumption value, income generation sources vs expenditures. Turbulence on economic engines, Government interventions don't exist Sijui itakuwaje naiona...
  17. D

    JamiiForums Tanzania CCM itagawanyika kabla ya 2025. Chama kipya kinakuja. Dalili zote zipo

    Iko hivi, vikao vya chama mambo yamekuwa magumu, wanachama hawaaminiani, hadi kwenye jimbo langu, Mwenyekiti wangu yupo mguu ndani mguu nje, helewi nini kinandelea. Anasema hiki sio chama alichokuwa anakijua na kukipigania. Influence imeshuka, watu hawaelewi, sijui campaign mambo yatakuwaje...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Sakata la mkataba wa bandari: Kuna kila dalili (kuna asilimia kubwa) kuwa Viongozi wetu wamekuwa "Blackmailed"

    Maana si kwa kukomaa huko! Hivi mtu ukiwa blackmailed unafanyaje kujinasua? Tufanyeje tuweze kuwanasua? Maana kwa kweli naanza kuwaonea huruma na inabidi tuwaombee sana!!
  19. L

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi liendelee kuwakamata wote wenye kuleta maneno ya Uchochezi na kuwatupa Ndani kwa mahojiano

    Ndugu zangu Watanzania, Nalipongeza jeshi la polisi kuanza kuchukua hatua za kuwakamata na kuwahoji wote wenye kutumia lugha za uchochezi, ubaguzi na zenye hatari ya kuligawa Taifa na kuleta machafuko na mpasuko nchini. Japo naona ni kama hatua zinazoanza kuchukuliwa kwa sasa zilichelewa...
  20. K

    JamiiForums Tanzania Kuna kila dalili watu wakaomba ufanyike ukaguzi maalumu wa matumizi ya ruzuku ya CHADEMA au pengine kutaka isitishwe kutolewa

    Naona kuna kila dalili huko mbeleni watu wakadai ufanyike ukaguzi maalumu wa matumizi ya Ruzuku wanayopata CHADEMA. Na dalili kuu ninazoziona mpaka watu kufikia hatua hiyo: Mosi, watu hawataelewa kabisa matumizi makubwa ya CHADEMA kwa mambo ambayo mengi yao hawaoni umuhimu wake. Pili, watu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…