Nimepita maeneo ya feri Dar es Salaam kwa ajili ya kuvuka kwenda upande wa Kigamboni. Nilichokiona pale kwa kweli kimenifikirisha na kunitafakarisha sana na kunifanya niwaze sana juu ya mustakbali wa nchi hii.
1. Kuna dalili kampuni ya Azam imepewa dili kinyemela kufanya kazi ya kuvusha watu...
Kama zipo mbili tu, achia ngazi mchuma uondoke.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Labda ufanye maombi sana.
Haya angalia sasa kama wako hana hata moja:
1. Hupigiwi simu hadi umpigie.
2. Hutumiwi sms hadi umtumie.
3...
Mwanamke yeyote ambaye mimba imetoka au kutolewa anatakiwa kupata huduma ya afya ya uzazi kwa kuokoa Maisha yake katika kituo chochote cha afya kilichopo karibu yake.
Huduma hii ni salama akiipata kwenye kituo cha afya kwani ataweza kupata huduma ya kusafishwa kizazi , atapata ushauri wa...
Mungu ni mwema sana sana.
Hivi sasa roho wa uharibifu ameanza kumalizia kazi yake ndani ya CCM, na tukae mkao wa soap series yenye maeneo mengi ya wanaCCM kutafunana wenyewe kwa wenyewe huku wakielekea kwenye anguko lao taradadi.
I am not joking. Nilishaona kuyumba kwa mwelekeo wa chama hiko...
Tozo za kila namna zinawaangukia wao. Hawana uwezo wa kumudu lakini watafanyaje sasa?
Hawasikii miradi mipya ikianzishwa kwa ajili ya taifa lao. Ina maana pesa wanazokamuliwa zinakamilisha miradi ya zamani.
Kuna genge la wana CCM wanaodai chama ni mali yao limewakalia vibaya wananchi, sasa...
Tukiachana na labda kushindwa kugharamia mambo yale ya lazima ili uweze kuishi, au kutokuwa na nyumba wala usafiri, basi hizi hapa dalili zingine ambazo hazitajwi sana ila zinamtafsiri kuwa huyu mtu ni maskini na anapaswa apambane sana.
1. Kuweza kuhesabu hela zako zote kwa mkono bila msaada wa...
TUCHUKULIE KUWA HAKUNA MUNGU
Ikiwa Mungu hayupo mimi, wewe na vinavyotuzunguka as a nature pia vingekuwa havipo kabisa. Na kwanini labda ninasema hivyo. Vizuri, nina hoja muhimu sana. Tuchukulie tunakubaliana na wanasayansi kuwa sisi tulikuwa nyani au sokwe kama ilivyo elezwa kwenye vitabu vyao...
Tudefine ushamba kama hali ya mtu kutojua utamaduni wa mjini au wa kisasa unataka nini. Mtu mshamba ni kazi sana kuendana naye au kuelewana naye.
Ni kazi sana kuishi na mtu mshamba au kufanya naye makubaliano. Hata ukioa au kuolewa na mshamba utapata taabu sana humo ndani. Ni vema kuwatambua...
Ujauzito huja na tabia nyingi ambazo baadhi huwa za kawaida huku baadhi zikiwa siyo za kawaida.
Ni muhimu sana kwa mama mjamzito kuzungumza na daktari mara kwa mara ili kuondoa sintofahamu hizi ambazo siyo nzuri kwa afya.
Tumekuletea dalili za hatari wakati wa ujauzito ambazo ni lazima...
Yaan kakuchoka au hajawahi kukupenda na aliingia kwenye ndoa akiwa na malengo yake
Mi naanza na;
1. Kosa dogo tu kakasirika au kudai talaka kabisa.
2.
3.
4.
5.
6.Nakuendelea....
Kupopolewa ruksa maana katika maisha lazima upokee hasi na chanya.
UGONJWA WA EBOLA ULIANZA VIPI NA WAPI?
Ebola Virus Disease - EVD (Ugonjwa wa Virusi vya #Ebola) awali ulijulikana kama Ebola haemorrhagic Fever. Ni ugonjwa wenye madhara makubwa kwa Binadamu ikiwamo kusababisha kifo ikiwa haujatibiwa
Ebola kwa mara ya kwanza ilionekana mwaka 1976 katika...
Dadadeki hivi mshakutana n shetwani wa kike kabla hujampata au siku za mwanzo baada ya kumla alikuwa anapiga simu na kutext mara kwa mara.
Pyu baada kamda kidogo anakuwa Anti biper anti mfupi, kujifanyisha kibwengo kinyago. Sijui mi nakosea nawachana fasta nawaambia ujinga sitaki kama...
Be the first to know... hii ndo imekua kanuni kuu ya JF.
Nimepenyezewa taarifa kuwa soon nchi itarudi kwenye mikataba ya umeme wa mafuta mazito.
Kwa sasa scarcity ya umeme inatengenezwa ili kujaladia hoja ya kuirudisha nchi kwenye saga za IPTL.
Fisi kaachiwa bucha, mbwa mwitu wanakanyagana.
Wakuu poleni na majukumu,
Moja kwa moja kwenye mada,kuna hizo indicator of poverty tulizosoma huko shule kama vile lack of capital,lack of education, poor infrastructure nk. Hizo mimi hazinihusu Naomba tuziangalie hizi dalili halisi za Umasikini kwa watanzania kama ifuatavyo👇
1: Unaamini sana...
Sio siri tena kwa sasa vita vya Ukraine imeshika kasi huku Russia ikipitia kipindi kigumu zaidi huenda kuliko kipindi kingine chochote tangu kuanza kwa hii vita.
Kuna dalili fulani ambazo zinazoonyesha kama vile Putin pumzi inaelekea kukata. Hizi hapa chini ni baadhi ya sababu muhimu zenye...
Ebola ni ugonjwa hatari unaosababishwa na virusi vujulikanavyo kitaalam kama (Ebola Virus). Ugonjwa huu ni miongoni mwa magonjwa yajulikanayo kwa ujumla kama Homa za virusi zinazosababisha kutoka damu sehemu za wazi za mwili mfano puani , masikioni , na machoni. Ugonjwa huu unaathiri binadamu na...
Kenya wanatakiwa kuwa makini Sana na huyu jamaa Urais wake unaweza kuwa Kama wa Magufuli alivyofanya Tanzania
Naweka huu uzi ambao utakuwa kumbukumbu miaka 3 mpaka 4 ijayo Mara tu atakaposimika watu wake kwenye system zote za nchi.
Ruto sio kiongozi kwa mtazamo wangu bali ni mtawala...
Tetemeko la ardhi lenye ukubwa wa magnitude 6.8 limetokea katika Jimbo la Sichuan, China na kuua watu 46.
Baadhi ya barabara, nyumba na miundombinu ya mawasilian iimeharibika. Eneo hilo limekuwa na kawaida ya kutokea tetemeko hasa maeneo ya Magharibi ambapo kuna milima.
---
Earthquake in...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.