dalili

Dalili is a Persian surname. Notable people with the surname include:

Raz Dalili (born 1959), peace educator in Afghanistan
Raz Mohammed Dalili (born 1959), Governor of Paktia Province in Afghanistan

View More On Wikipedia.org
  1. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Dalili za ubingwa kwa Yanga katika Ligi Kuu Bara 2021/22 hizi hapa

    Mpaka leo Jumatano Machi 16, 2022 katika mzunguko wa 17 wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara (NBC PL 2021/22), kikosi cha Yanga kimeongoza kwenye takwimu muhimu nne. ● Magoli ya kufunga – 29 ● Magoli ya kufungwa – 4 ● Assists – 21 ● Cleansheets – 13 Je, unadhani hizi ni dalili tosha za ubingwa kwa...
  2. Inside10

    JamiiForums Tanzania Paul Makonda adai kutopata hati ya wito Mahakamani zaidi ya kusikia kwenye vyombo vya habari

    Wakili wa mjibu maombi Paul Makonda, ameieleza Mahakama ya wilaya ya Kinondoni kuwa mteja wake bado hajapokea hati yoyote ya wito wa Mahakama dhidi yake, zaidi ya kuzipata taarifa hizo kupitia vyombo vya habari. Wakili huyo aliyejitambulisha kama Goodchance Regnald ameyasema hayo leo mbele ya...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Sioni Dalili ya show ya "Afroeast Carnival" ya Harmonize kufanyika

    Mzee wa kuahirisha matukio Kaanza Konde Mgahawa sijui uliishia wapi, mwaka juzi baada ya kuzindua Afro East Mlimani City, akasema mwezi wa tano 2020 atafanya show taifa siku ikafika kimya, akaja tena na idea ya kufanya show siku tatu mfululizo mwezi wa 11, 2020 huku akipewa support na EFM siku...
  4. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania IGP Sirro, yanayoendelea kwa Jeshi la Polisi siyo dalili nzuri kwako na kwa taifa

    Matukio makubwa yanayoendelea hapa nchini Tanzania ni kuhusu mauaji, wapo wanaowaua wengine na wengine wanajiua, daa! Bongo hali mbaya. Lakini upande wa pili kuna kesi na taarifa kadhaa kuhusu askari polisi kuua raia na wengine kuuana wao kwa wao. Mtwara kule kuna kesi ya askari kuua...
  5. BAKIIF Islamic

    JamiiForums Tanzania Kwetu sisi waislamu, tunaamini umasikini ni dalili ya kiama

    Inafahamika kuwa umasikini ni ukosefu wa chakula, makazi, mavazi, huduma za afya na mahitaji mengine ya msingi kwa sababu ya kipato duni. Licha ya fursa zinazopatikana kutokana na maendeleo ya teknolojia, umasikini hivi leo ni moja kati ya matatizo makubwa kabisa yanayoukabili ulimwengu. Katika...
  6. The Sheriff

    JamiiForums Tanzania Epuka kujitibu mwenyewe kwa taarifa za mtandaoni. Muone mtaalam wa afya kila unapopata dalili mbaya za kiafya

    (Picha: The Sheriff) Umewahi kupata dalili ya afya ambayo haijawahi kutokea hapo awali na ukaanza kujiuliza ni nini kinachoweza kuwa tatizo? Of course, huenda jibu lako ni kama langu pia, "Kabisa!" Sasa basi, inapotokea hivi hatua ya kwanza inayopaswa kufanyika ni kuwasiliana na mtoa huduma wa...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Naziona dalili zote kwamba Mbowe na wenzake wanatoka Gerezani

    Awali tuliona nguvu kubwa inatumika kudhibiti Watu wasiingie mahakamani. Tukashuhudia Majaji wakitoa hukumu zilizo kinyume kabisa na mwenendo wa kesi na baada ya kutoa hukumu hizo wakapandishwa vyeo Switch za ukutani tukaambiwa zimeharibiwa kudhibiti umeme usipatikane Tukashuhudia ubunifu wa...
  8. Bushmamy

    JamiiForums Tanzania Zipi dalili za mtu aliyepungukiwa sukari mwilini ?

    Naomba kujua dalili za mtu alipungukiwa sukari mwilini kabisa. Asanteni
  9. M

    JamiiForums Tanzania UVCCM wamekengeuka, kumkomalia Spika kujiuzulu ni dalili kuwa hampendi bunge kufanya kazi zake za kuisimamia Serikali. Mnatumika bila kufikiri

    Huu ni upuuzi usiofaa hata kidogo. Vijana wa Ccm wamegeuka nyumbu. Nyumbu huwa hatumii akili maana hufuata mkumbo kwa kila jambo. Akiona kundi la nyumbu wenzake wanavuka mto, naye anavuka bila kuangalia hatari au litalotokea. Ndio hii Uvccm ya leo imekurupuka kama Nyumbu kutaka Spika Ndugai...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Naona dalili zote za kuwa mganga

    Nilileta thread hapa niliwahi kumiliki maduka 11 lakin sasa nimefilisika. Kwa kweli sikuwahi kumfikiria yoyote ubaya na hesabu zilikua zinakwenda uzuri ingawa wengi wasiojua sababu ya kufisika wanakuona mzembe lakin wajiulize kama ulianza chini ukafika juu uzembe huo unatokea wapi? Kuna...
  11. Mtondoli

    JamiiForums Tanzania Moshi unaofukuta Kuna Kila dalili Moto mkubwa utalipuka,mamlaka isidharau dalili hizi

    Ndugu zangu dalili zinaonyesha Kuna Jambo haliko sawa.mama asidharau viashiria vinavyojitokeza.askofu lusekelo aliongea Mambo mazito kuhusu mbowe kushikiliwa na polisi kwa makosa ya ugaidi.kaja askofu mwingira kaongea mazito Sana ,na muona pia job ndugai nikama anakitu hakubaliani nacho na...
  12. U

    JamiiForums Tanzania Kuna Kila Dalili Mbowe akawa Rais wa Tanganyika(TZ) 2025, jela Tu ndo itamzuia

    Ukipita huku mtaani watu wanashauku sana na uchaguzi wa 2025, ni uchaguzi wa kimkakati, Kati ya chadema na Ccm. Kama hakutakuwa na uwizi wa kura na magumashi basi mpambano utakuwa mkali kuliko ule wa magufuli na lowasa. Ni mpambano uliojificha ndani ya migogoro ya muungano, watu moyoni wanalao...
  13. T

    JamiiForums Tanzania Kirusi Kipya, kama ugonywa ushakupitia dalili zake zi zipi ili wote tujue na kuchukua tahadhari

    Wanajamvi Kuna huu ugonjwa ( kirusi kipya ), ambao unasambaa kwa kasi sana Tanzania Dalili zake ni zipi.? kama ushawahi kupata Mimi najisikia uchovu sana, kuanzia kichwani mpaka mguuni Je wewe kama umeumwa, unajisikiaje.? Na kama umepona umetumia dawa gani.?
  14. 2019

    JamiiForums Tanzania Ukimya wa wanaharakati na wapinzani kwenye mfumuko wa bei ni dalili Rais Samia amekubalika au?

    Tumeshuhudia kila kitu kupanda bei, ndio kila kitu kasoro vinywaji tu. Tulizoea kelele na ukosoaji mkubwa enzi za JPM na muhanga mkubwa kabisa akiwa ni JK. Sioni hayo yakiwa kama zamani hii ina maana gani?
  15. Rais wa Matajiri

    JamiiForums Tanzania Shaka: Ikitokea kuna dalili za Uhuru wetu kutaka kuwekwa rehani na sisi tukakaa kimya tusishangae makaburi ya wasisi wetu yatakapotetemeka

    == "Kazi ya kulinda tunu ya uhuru na Mapinduzi matukufu ya Zanzibar ni jukumu la kufa na kupona kwa kila mzalendo kwani fatiki ya kupigania uhuru imepoteza maisha na mali za watu, nguvu na jasho jingi" Shaka Mwenezi Taifa "Urithi wa Uhuru unapaswa kuthaminiwa na watanzania wote ambao ni...
  16. J

    JamiiForums Tanzania Dalili za Corona ambazo hutokea kwa watu wachache

    Shirika la Afya Duniani limeweka bayana dalili za COVID-19 ambazo hutokea kwa watu wachache. Dalili hizo zinatajwa kuwa ni: Kupata maumivu ya kichwa Kuwashwa kooni Kupata maumivu sehemu mbalimbali za mwili Kuhara Kupata upele kwenye ngozi, au kubadilika rangi kwa vidole Macho kuwa mekundu...
  17. Ben Zen Tarot

    JamiiForums Tanzania Ukiona dalili hizi jua mahusiano yako yashakufa yanasubiri kuzikwa tuu

    Penzi ni makubaliano baina ya watu wawili walioamua kuacha kila kitu na kuwekana moyoni lakini sio mara zote unayempenda na wewe akupende swali linabaki utajuaje kama uliyenaye anakupenda, leo tupate nafasi ya kuangalia mambo matano(5) ambayo ukiyaona ujue wazi kuwa penzi lenu lipo rehani 1...
  18. J

    JamiiForums Tanzania Dalili nne za kawaida za Covid-19 ambazo hutokea kwa watu wengi

    Shirika la Afya Duniani limeweka bayana dalili nne za kawaida za Covid-19 ambazo hutokea kwa watu wengi zaidi. Dalili hizo zinatajwa kuwa ni kupata homa, kupata kikohozi, kuhisi uchovu usio wa kawaida pamoja na kupoteza uwezo wa kuhisi ladha na harufu. Dalili hizi zinakadiriwa kuanza...
  19. T

    JamiiForums Tanzania Dalili za ufisadi kwenye posho za wasimamizi wa mtihani wa Kidato cha nne

    Baadhi ya Halmashauri zimedaiwa 'kuwapiga' cha juu wasimamizi wa mitihani ya kidato cha nne inayoendelea hivi sasa. Kwa utafiti wangu usio rasmi wa kuwapigia watumishi wa Halmashauri tofauti tofauti, nimegundua kwamba kuna Halmashauri zingine zimewalipa wasimamizi siku 19, zingine zikalipa siku...
  20. J

    JamiiForums Tanzania Dalili tatu hatari za Covid-19

    Shirika la Afya Ulimwenguni limeweka bayana dalili tatu za hatari za #coronavirus ambazo zinahitaji uangalizi wa karibu wa wataalamu wa afya . Inaelezwa kuwa dalili hizo ni kupata tabu ya kupumua, kupoteza uwezo wa kuzungumza na kupata maumivu kifuani. Dalili hizi zinakadiriwa kuanza kuaonekana...
Back
Top Bottom