dalili

Dalili is a Persian surname. Notable people with the surname include:

Raz Dalili (born 1959), peace educator in Afghanistan
Raz Mohammed Dalili (born 1959), Governor of Paktia Province in Afghanistan

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Bashiru v/s Sponsor: Kuna dalili mtu kutema au kutemeshwa mnofu soon

    Mungu ni mwema sana sana. Hivi sasa roho wa uharibifu ameanza kumalizia kazi yake ndani ya CCM, na tukae mkao wa soap series yenye maeneo mengi ya wanaCCM kutafunana wenyewe kwa wenyewe huku wakielekea kwenye anguko lao taradadi. I am not joking. Nilishaona kuyumba kwa mwelekeo wa chama hiko...
  2. JamiiForums Tanzania Dalili kuu kuwa wanaomizwa na kunyonywa ni raia maskini ni hii hapa

    Tozo za kila namna zinawaangukia wao. Hawana uwezo wa kumudu lakini watafanyaje sasa? Hawasikii miradi mipya ikianzishwa kwa ajili ya taifa lao. Ina maana pesa wanazokamuliwa zinakamilisha miradi ya zamani. Kuna genge la wana CCM wanaodai chama ni mali yao limewakalia vibaya wananchi, sasa...
  3. JamiiForums Tanzania Hizi ni dalili za kwamba wewe bado ni maskini/fukara na unatakiwa ukaze zaidi

    Tukiachana na labda kushindwa kugharamia mambo yale ya lazima ili uweze kuishi, au kutokuwa na nyumba wala usafiri, basi hizi hapa dalili zingine ambazo hazitajwi sana ila zinamtafsiri kuwa huyu mtu ni maskini na anapaswa apambane sana. 1. Kuweza kuhesabu hela zako zote kwa mkono bila msaada wa...
  4. JamiiForums Tanzania Hoja zinazofundua akili: Uwepo wa Mungu na dalili zake

    TUCHUKULIE KUWA HAKUNA MUNGU Ikiwa Mungu hayupo mimi, wewe na vinavyotuzunguka as a nature pia vingekuwa havipo kabisa. Na kwanini labda ninasema hivyo. Vizuri, nina hoja muhimu sana. Tuchukulie tunakubaliana na wanasayansi kuwa sisi tulikuwa nyani au sokwe kama ilivyo elezwa kwenye vitabu vyao...
  5. JamiiForums Tanzania Dalili moja ya mtu mshamba ni kujua kuongea 'kilugha'

    Tudefine ushamba kama hali ya mtu kutojua utamaduni wa mjini au wa kisasa unataka nini. Mtu mshamba ni kazi sana kuendana naye au kuelewana naye. Ni kazi sana kuishi na mtu mshamba au kufanya naye makubaliano. Hata ukioa au kuolewa na mshamba utapata taabu sana humo ndani. Ni vema kuwatambua...
  6. JamiiForums Tanzania Dalili za hatari kwa ujauzito

    Ujauzito huja na tabia nyingi ambazo baadhi huwa za kawaida huku baadhi zikiwa siyo za kawaida. Ni muhimu sana kwa mama mjamzito kuzungumza na daktari mara kwa mara ili kuondoa sintofahamu hizi ambazo siyo nzuri kwa afya. Tumekuletea dalili za hatari wakati wa ujauzito ambazo ni lazima...
  7. JamiiForums Tanzania Dalili za mke au mume aliyekuchoka

    Yaan kakuchoka au hajawahi kukupenda na aliingia kwenye ndoa akiwa na malengo yake Mi naanza na; 1. Kosa dogo tu kakasirika au kudai talaka kabisa. 2. 3. 4. 5. 6.Nakuendelea.... Kupopolewa ruksa maana katika maisha lazima upokee hasi na chanya.
  8. JamiiForums Tanzania Ugonjwa wa EBOLA: Asili, Dalili, Usambaaji na Kinga dhidi yake

    UGONJWA WA EBOLA ULIANZA VIPI NA WAPI? Ebola Virus Disease - EVD (Ugonjwa wa Virusi vya #Ebola) awali ulijulikana kama Ebola haemorrhagic Fever. Ni ugonjwa wenye madhara makubwa kwa Binadamu ikiwamo kusababisha kifo ikiwa haujatibiwa Ebola kwa mara ya kwanza ilionekana mwaka 1976 katika...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Kupendwa au kudangiwa ebu tujadili kasumba ya kubeepiwa kama dalili ya kudangwa

    Dadadeki hivi mshakutana n shetwani wa kike kabla hujampata au siku za mwanzo baada ya kumla alikuwa anapiga simu na kutext mara kwa mara. Pyu baada kamda kidogo anakuwa Anti biper anti mfupi, kujifanyisha kibwengo kinyago. Sijui mi nakosea nawachana fasta nawaambia ujinga sitaki kama...
  10. JamiiForums Tanzania Tetesi: Kuna kila dalili hii nchi tunarudi kwenye IPTL nyingine

    Be the first to know... hii ndo imekua kanuni kuu ya JF. Nimepenyezewa taarifa kuwa soon nchi itarudi kwenye mikataba ya umeme wa mafuta mazito. Kwa sasa scarcity ya umeme inatengenezwa ili kujaladia hoja ya kuirudisha nchi kwenye saga za IPTL. Fisi kaachiwa bucha, mbwa mwitu wanakanyagana.
  11. JamiiForums Tanzania Je, kuhamishwa hamishwa Wizara kwa Bashungwa ni dalili ya Ufanisi mkubwa au 'Tunabeti' tu Uwezo wake?

    Nipo tayari kusubiria Majibu yenu (Mirejesho yenu) ya Kutukuka Great Thinkers wa JamiiForums niyasome na Nielimike zaidi.
  12. JamiiForums Tanzania Hizi hapa ni dalili za Umasikini Watanzania wenzangu

    Wakuu poleni na majukumu, Moja kwa moja kwenye mada,kuna hizo indicator of poverty tulizosoma huko shule kama vile lack of capital,lack of education, poor infrastructure nk. Hizo mimi hazinihusu Naomba tuziangalie hizi dalili halisi za Umasikini kwa watanzania kama ifuatavyo👇 1: Unaamini sana...
  13. JamiiForums Tanzania Kuna kila dalili kuwa Putin kaanza kukata tamaa!

    Sio siri tena kwa sasa vita vya Ukraine imeshika kasi huku Russia ikipitia kipindi kigumu zaidi huenda kuliko kipindi kingine chochote tangu kuanza kwa hii vita. Kuna dalili fulani ambazo zinazoonyesha kama vile Putin pumzi inaelekea kukata. Hizi hapa chini ni baadhi ya sababu muhimu zenye...
  14. JamiiForums Tanzania Ujue Ugonjwa wa Ebola, dalili, unavyoambukizwa, madhara...

    Ebola ni ugonjwa hatari unaosababishwa na virusi vujulikanavyo kitaalam kama (Ebola Virus). Ugonjwa huu ni miongoni mwa magonjwa yajulikanayo kwa ujumla kama Homa za virusi zinazosababisha kutoka damu sehemu za wazi za mwili mfano puani , masikioni , na machoni. Ugonjwa huu unaathiri binadamu na...
  15. JamiiForums Tanzania Ruto anaonyesha kila dalili za kuja kuwa Kama Magufuli

    Kenya wanatakiwa kuwa makini Sana na huyu jamaa Urais wake unaweza kuwa Kama wa Magufuli alivyofanya Tanzania Naweka huu uzi ambao utakuwa kumbukumbu miaka 3 mpaka 4 ijayo Mara tu atakaposimika watu wake kwenye system zote za nchi. Ruto sio kiongozi kwa mtazamo wangu bali ni mtawala...
  16. JamiiForums Tanzania Ni zipi dalili za mtu aliyelewa madaraka?

    Habari wakuu. Naomba kufahamishwa dalili/sifa za mtu aliyelewa madaraka. Natanguliza shukrani.
  17. JamiiForums Tanzania Tetemeko la ardhi laua watu 46 China

    Tetemeko la ardhi lenye ukubwa wa magnitude 6.8 limetokea katika Jimbo la Sichuan, China na kuua watu 46. Baadhi ya barabara, nyumba na miundombinu ya mawasilian iimeharibika. Eneo hilo limekuwa na kawaida ya kutokea tetemeko hasa maeneo ya Magharibi ambapo kuna milima. --- Earthquake in...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Kuna kila dalili simba kupigwa kanzu kwenye dili la manzoki

    Kuna mambo yanaendelea kimya kimya yanaweza yasiwafurahishe mashabiki wa simba lakini Mpira ni pesa na pesa ni sabuni ya roho,,tujipe muda
  19. JamiiForums Tanzania Naomba kufahamu dalili za mtu mwenye Upungufu wa Akili Kichwani

    Habari mabibi na mabwana wa jukwaa kubwa la JamiiForums Sitaki kwenda mbali sana nikawachosha naomba tu kufahamu dalili za mtu anayeanza kuwa na matatizo ya akili kichwani. Uzi tayari!
  20. JamiiForums Tanzania Kwa Wanawake: Zijue dalili za Mwenza anayeweza kukuua katika Mahusiano, tafakari mahusiano yako na Uchukue Hatua

    Kwa mujibu wa Ofisi ya Umoja wa Mataifa ya Kupambana na Dawa za Kulevya na Uhalifu, takriban wanawake na wasichana 47,000 duniani kote waliuawa na wapenzi wao wa karibu au wanafamilia wengine mwaka 2020. Hii ina maana kwamba, kwa wastani, mwanamke au msichana huuawa na mtu katika familia yake...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…