Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 7,243
- 12,766
Habari wakuu. Naomba kufahamishwa dalili/sifa za mtu aliyelewa madaraka. Natanguliza shukrani.
Anapoanza kutmia Ni... badala ya Tu...Habari wakuu. Naomba kufahamishwa dalili/sifa za mtu aliyelewa madaraka. Natanguliza shukrani.
Ni kama yule anayevaa nepi akanawieHabari wakuu. Naomba kufahamishwa dalili/sifa za mtu aliyelewa madaraka. Natanguliza shukrani.
Case study yako tumia yule wa fedhaHabari wakuu. Naomba kufahamishwa dalili/sifa za mtu aliyelewa madaraka. Natanguliza shukrani.
TozoHabari wakuu. Naomba kufahamishwa dalili/sifa za mtu aliyelewa madaraka. Natanguliza shukrani.
mbona kama, okay subiri ninyamaze1. Maamuzi yake yanakua ya mwisho, (hajali raia wanasema nini)
2. Marufuku kukosoa
3. Kutoa kauli za maudhi kwa wanaolalamika
4.
5.
6.
7.
8.
9.
10. Anapenda kusifiwa sana, yani ukimsifia hata kama kafanya vibaya basi utapewa hata cheo
Ukiona mtu anakwambia "...amini nayokwambia unaongea na Daktari wa uchumi" ujue huyo ni empty setHabari wakuu. Naomba kufahamishwa dalili/sifa za mtu aliyelewa madaraka. Natanguliza shukrani.