dakika

20 Dakika ("20 Minutes") is a Turkish television drama series broadcast on Star TV. This story talks about a beautiful family. A father, mother, daughter and a son that lived together in happiness and peace. One day, the police stormed in and took the mother (Tuba Buykustun) to jail. She was suspected of committing a murder and sentenced to 20 years in prison. Her husband (Ilker Aksum) tries to prove her innocence while at the same time the criminal investigator (Firat Celik) tried to find as much evidence as he can to find out the truth. But the big question is did she really commit the murder?

View More On Wikipedia.org
  1. TODAYS

    JamiiForums Tanzania Dr. Bashiru kaongea dakika anajibiwa wiki

    ☝🏾Ukipenda muite Dr. Bashiru Ally Kakurwa Anatibu upele, harara, Surua, Kaswende Gono na muwasho kwenye ngozi. Kaongea kwa dakika moja ila anajibiwa wiki nzima, kaongea sehemu moja anajibiwa nchi nzima. Mpaka sasa Bashiru kajibiwa na CCM karibia nchi nzima. Na hawajibu alichozungumza ila...
  2. Nigrastratatract nerve

    JamiiForums Tanzania Mawakala wa wanyonyaji hawawezi hata kuwa wanafunzi wa Dkt. Bashiru yaani hawajui kwamba Bashiru anasimamia ilani ya CCM

    Ilani ya CCM inasema kwamba CCM itapambana na Rushwa na ufisadi kwa nguvu zake zote Sasa Hawa mawakala wa wanyonyaji wanatoka chama gani kama siyo ushamba tu wanaoulekeza yaani watu wengi ukifuatilia hawana hata elimu. Maana kumpinga Bashiru ni kujitoa ufahamu. Bashiru anawaeleza wazi wazi kuwa...
  3. GENTAMYCINE

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais wa Yanga Hersi na Msemaji Kamwe wana Yanga SC, tunauliza tukiwa Tunisia tusimame Kushangilia dakika ya ngapi?

    Nimehakikishiwa kuwa Rais wa Yanga SC Injinia Hersi Said na Msemaji wa Yanga SC Ally Kamwe nyote mnanisoma na kunifuatilia Kutwa ( 24/7 ) GENTAMYCINE hapa JamiiForums hivyo natumai mtanijibu mwana Yanga SC Mwenzenu hili Swali langu. Cc: Ulimakafu
  4. Dr Matola PhD

    JamiiForums Tanzania Hivi ni sahihi kiongozi kwenye hotuba yake kutumia dakika 10 kutambua itifaki ya waliopo?

    Sijui Mimi ndio sielewi au ndio utaratibu au ni ujinga wetu wa kiitifaki Africa? Unakuta kiongozi anapanda kwenye podium wanatumia dakika mpaka 10 kutambuwa itifaki wakati hotuba yake yenyewe ni kama ya dakika saba tu. Na point yangu hapa kama itifaki ingekuwa ni ya kumtaja Rais tu na kusema...
  5. Shujaa Mwendazake

    JamiiForums Tanzania 'Tuliishi kwa hofu ya vita, walituambia tungekufa chini ya dakika 30': Jinsi ulimwengu ulivyonusurika kwenye Cuban Missile Crisis

    Zaidi ya nusu karne baadaye, inahisi kama ulimwengu umesahau masomo ya wakati huo wa ajabu katika historia ' Mnamo 1961, Amerika ilituma makombora ya masafa ya kati ya Jupiter huko Türkiye, silaha ambazo zingeweza haraka - na kwa urahisi - kufikia miji ya magharibi mwa USSR, pamoja na mji mkuu...
  6. Diversity

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Mchezaji Thomas Langu Sweswe alicheza mpira dakika 90 bila kugusa mpira

    Thomas Lungu Sweswe ni mchezaji wa zamani wa Zimbabwe, beki wa kati anadaiwa kushikiria rekodi ya kucheza dakika 90 dhidi ya Keiza Chiefs bila kugusa mpira Soma (hapa).
  7. Sildenafil Citrate

    JamiiForums Tanzania CDC: Dakika 150 za mazoezi mapesi zinafaa kwa wiki

    Kwa mujibu wa Kituo cha Udhibiti na Kinga ya Magonjwa Cha Marekani (CDC), mtu mzima anashauriwa kushiriki mazoezi mepesi kwa walau dakika 150 kwa wiki. Mazoezi huongeza utimamu wa afya ya mwili na akili, ni jambo jema katika kujikinga na maradhi ya mwili, hasa yale yasiyo ya kuambukiza...
  8. Unavoidable Servant

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Maneno ya mashabiki wa Simba baada ya dakika 90 za mchezo wa leo

    Leo Yanga inakwenda kuonesha kwa vitendo maana ya uwekezaji kwenye soka ni nini? Baada ya Al hilal kupigwa kama ngoma mashabiki wa Simba watasikika wakisema hii Al hilal ni Zalan iliyochangamka tu. Sasa na wewe waulize wale waliopigwa mbili mbele na nyuma na Fiston Mayele kwenye ngao ya jamii...
  9. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Wenye mahitaji maalum waongezewe dakika mitihani ya darasa la 7, kesho Oktoba 5, 2022

    Kaimu Katibu Mtendaji wa Baraza la Mitihani (NECTA), Athumani Amasi, amewataka wasimamizi wa mitihani ya darasa la saba inayoanza kesho Oktoba 5, kulinda haki ya watahiniwa wenye mahitaji maalum kwa kuwapatia mitihani yenye maandishi ya nukta nundu kwa wenye uono hafifu. Na kwamba watahiniwa...
  10. BARD AI

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Instagram kuruhusu video za dakika 1 kwenye Insta Stories

    Instagram inaongeza kikomo cha urefu wa video zinazoshirikiwa kwenye kipengele chake cha Hadithi kutoka sekunde 15 hadi dakika 1. Hapo awali, video za dakika moja zilizoshirikiwa kwenye Hadithi za Instagram zingegawanywa katika klipu za sekunde 15 lakini jukwaa linalomilikiwa na Meta linasema...
  11. BARD AI

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Floyd Mayweather ashinda pambano la dakika 9 na kuondoka na Tsh. Bilioni 46.9

    Bondia Floyd Mayweather leo amerudi ulingoni dhidi ya Bondia Mjapan Mikuru Asakura katika pambano la maonesho la uzito huru lililochezwa Japan. Katika pambano hilo Mayweather amefanikiwa kushinda kwa KO round ya 2 na kufanya pambo hilo limalizike, Mayweather kabla ya pambano hilo alikuwa...
  12. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Njoo nikupe degree ya Banking & Finance ndani ya dakika 5

    Ukiweza kuelewa huo mchora basi degree umeashaipata.
  13. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Dakika 90 leo, kufahamika Geita Gold CAF

    Geita gold walipoteza mchezo wao wa ugenini kwa kuruhusu goli 1-0 dhidi ya Hilal Alsahil, leo ndio siku ya marudiano je? Hilal Alsahil warndeleza moto ama Geita watalala yoooo? tusubiri dakikak 90.
  14. Nyuki Mdogo

    JamiiForums Tanzania Nauza "Usafiri" wa fasta, Mwanza to Dar ni dakika 15 tu!

    kumekucha kazi zimeanza jamani Bei elekezi ni milioni 5. hamna nafasi ya punguzo. 91km per minute. karibuni sana kina Mshana Jr
  15. Z kali

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Dogodogo alivomuharibia baba mkubwa dakika za mwisho

    Nawasalimu nyote, Ni baba angu mkubwa kabisa, ni mstaafu mpya kutoka serikalini ana mwaka ivi na miezi kadhaa uraiani. Akiwa kazini alioa na kupata watoto wanne, mambo yalikuwa POA tu amani na furaha, watoto wamekuwa na washaolewa/kuoa Mwaka Jana mzee akamaliza mda wa utumishi wake na...
  16. JanguKamaJangu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania EPL: Chelsea, Spurs zatoka sare ya 2-2, Harry Kane apiga bao dakika ya 90+

    Goli la dakika 90 mfungaji akiwa ni Harry Kane wa Tottenham limekatisha furaha ya Chelsea ambapo limesababisha mechi baina ya timu hizo kumalizika kwa sare ya 2-2 katika Premier League, leo Agosti 14, 2022 kwenye Uwanja wa Stamford Bridge. Kalidou Koulibaly na Reece James ndio waliofunga...
  17. Heavy User

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nitajieni fast charger nzuri ya kuchaji simu ijae full chini ya dakika 40

    Natumia smartphone yenye technology ya 15W fast charging, techie hii inasapoti kuchaji simu ijae ndani ya dakika 20, nafikiri inasapoti mpaka chini ya hapo. Nitajieni wadau, nimechoka kuchaji simu masaa mawili mazima.
  18. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania Mbowe akizungumza kuhusu Mdee na wenzake kwenye kikao cha Baraza Kuu

    Kama ni kweli anayoyasema Mh. Freeman A. Mbowe kwenye video hii wakati wa kikao cha Baraza Kuu kuhusu Halima Mdee na wenzake maarufu kama COVID-19 ni kweli, basi huyu mtu IS REALLY A TRUE and A GOOD LEADER of this millenium in Tanzania..!! Mimi kwa 99% naweza kuamini kuwa ni kweli maana hata...
  19. A

    JamiiForums Tanzania Prof. Shivji: Kwanini zoezi liwe la haraka kuwahamisha? Ni kweli Wamaasai wameshirikishwa?

    Heri ya siku kuu na mapumziko, Nikiwa nafatilia ITV leo katika kipindi cha Dakika 45, profesa shifji kajadili mambo mengi, ika mimi naleta la wamasai kuhamishwa Ngorongoro. Anasema mwaka 1958 walihamishwa kutoka serengeti kwenda Ngorongoro kwa ahadi ya kutokuja kuhamishwa tena na serikali ya...
  20. libeva

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mkakati wa TFF kuibeba Simba dakika za majeruhi tumeushtukia

    1. Kupewa kadi nyekundu kwa kocha Nasri Nabi kwa kulalamika mchezaji wake kukanyagwa na Kelvin Yondani mwamuzi sijui anajua kifaransa au kiarabu? Ndizo lugha anazo tumia Nabi alizotumia kulalamika tukio la mchezaji wake kukanyagwa je swali la kujiuliza mwamuzi aliyetoa huku ni mbobezi wa lugha...
Back
Top Bottom