dakika

20 Dakika ("20 Minutes") is a Turkish television drama series broadcast on Star TV. This story talks about a beautiful family. A father, mother, daughter and a son that lived together in happiness and peace. One day, the police stormed in and took the mother (Tuba Buykustun) to jail. She was suspected of committing a murder and sentenced to 20 years in prison. Her husband (Ilker Aksum) tries to prove her innocence while at the same time the criminal investigator (Firat Celik) tried to find as much evidence as he can to find out the truth. But the big question is did she really commit the murder?

View More On Wikipedia.org
  1. Mangi shangali

    JamiiForums Tanzania Daima usiamini maneno yao mpira dakika 90..

    Habari zenu.. Mpira sio uchawi wala mpira sio mdomo na maneno ya kijinga. Bali mpira ni dakika 90.. Daima usipende kuamini utabiri wao. Mpira unadunda. Walitabiri mengi sana. Mara itakuwa aibu ya taifa. Aisee mwarabu amelala na viatu. Amepelekewa moto mpaka kaomba poo. Daima mbele nyuma mwiko
  2. Maleven

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wahenga, Kuongea bure baada ya dakika ya 3 :Tigo, My number 1: Vodacom

    Kama ulitumia hizi huduma nadhani sasa uko kwenye ndoa au unawatoto Kwakweli Tigo na Vodacom walisaidia sana mahusiano ya watu mana hata utaratibu wa kujiunga bando haukua sawa. Tigo unasubiri saa sita baada ya dk ya tatu, unakua unaongea bure mpanga asuburi Vodacom: unajiunga shiling 50...
  3. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Dakika chache baada ya kuapishwa, Rais wa Nigeria afuta Ruzuku ya Mafuta

    Rais mpya wa Nigeria, Bola Tinubu ametumia hotuba yake ya kwanza baada ya kuapishwa kutoa tangazo kuu la kuondoa ufadhili serikali kwenye mafuta ikiwa ni sera zake mpya ili kupunguza shinikizo la kiuchumi. "Ruzuku ya mafuta haipo," aliuambia umati uliojaa katika mji mkuu, Abuja. Alishinda...
  4. 2018

    JamiiForums Tanzania SoC03 Kutokana na Stori ya kweli: Maisha Yangu yalivyobadilika ndani ya dakika moja

    Salaam (Namfahamu Mama nijasiri, anaondoa Utando unapodandia kuta,anatoa nyoka makatili,anapambana na majangiri wanapovamia nyumba,anaweka paa juu ya vichwa,sikuogopa njaa -nilishiba,Niliona wengine nguo za kuvaa zimechanika,wakati kwetu nyuso ziling'aa migongo ilifunikwa,Radi ilipiga wala...
  5. mtwa mkulu

    JamiiForums Tanzania Mwamba Mpina abishana na Bunge zima, wamzomea. Asimamisha Bunge kwa dakika 20

    Mwamba huyu hapaa
  6. H

    JamiiForums Tanzania Hivi watu wanaozama ndani ya maji na kukaa zaidi ya dakika 1 bila mashine wanatumia mbinu gani?

    Heri ya sikukuu ya Iddi Jamani. Tusahau kidogo mada ngumungumu na mada za mmu. Leo sikukuu angalau tupunzishe akili na kusahau kidogo shida. Nimewahi kusikia kuna wajuvi wanaweza kwenda ndani ya maji zaidi ya nusu saa,Mimi sijawahi kushuhudia hiyo kitu Sasa sijui Kama ni kweli au story za...
  7. benzemah

    JamiiForums Tanzania Makamu wa Rais Dkt. Mpango apiga marufuku Polisi kufunga Barabara kwenye Misafara

    Makamu wa Rais, Dkt. Philip Mango akiwa ziarani Mwanza amesema hataki kusikia tena Barabara zikifungwa kwa masaa mengi ili apite, huku akisema dakika 10 zinatosha ili Wananchi waendelee na shughuli zao. Dr. Mpango amewaomba radhi Wananchi kwa usumbufu walioupata baada ya jana Barabara kufungwa...
  8. kyagata

    JamiiForums Tanzania Saa 1 na dakika 11 usiku hapa Mbeya jua bado linawaka

    Niko Mbeya, hapa ni saa moja usiku kwa mujibu wa saa yangu ila bado jua linawaka. Nimewasiliana na mtu yuko Dar ananiambia wao huko giza tayari na wako wanakula supper. Kwanini kuna tofauti hii ya kuzama kwa jua kati ya mikoa hii miwili?
  9. M

    JamiiForums Tanzania Kwa dakika zangu 45 tu za Kuwatizama Kiufundi Raja Casablanca wakicheza na Vipers FC hakika Simba SC tuna Shughuli Pevu tarehe 18/2/2023

    Kiufundi na Kiujuzi wametuzidi almost kila Idara hivyo nashauri ili Kupunguza Magoli tukimalizana na Horoya Kesho tukirudi tutafute Waganga wa Kienyeji sehemu mbalimbali ya nchi ili wawapunguze Kasi Raja Casablanca na tujitahidi tufungwe nao Goli chache kwa Mkapa au tutoke nao Sare japo najua...
  10. Greatest Of All Time

    JamiiForums Tanzania FT: CAF Champions League: Raja Casablanca 5-0 Vipers

    Huyu Vipers anaweza akawa ndio kibonde wa kundi la Simba. Anacheza na Raja Casablanca tayari kashalambwa 2-0 na game ndio kwanza mbichi.. ======== Updates Raja 5 - 0 Vipers Wafungaji: Hamza Khabba 5', Jamal Harkass 11', Mohamed Zrida 38' , Yousri Bouzok 59' , Raja Aholou 71'
  11. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Chukua dakika 3 kufikiria pale unapokuwa zuzu bila kujua

    Hello family!! Hebu fikiria kidogo kisa Cha kawaida mfano Mr X anamsema vibaya Mr Z kwa Mr Y kuwa Z si chochote ni fala hana pesa anaishi Sinza pa kishamba sana gari yake GX 100 japo iko fresh ila ya longtime kitambo yule bwege tu. Cha ajabu Mr Y anaeambiwa hayo maneno anakaa Nyumba ya...
  12. NetMaster

    JamiiForums Tanzania Tuutathmini mzigo wa dakika 8 wa Dizasta kiuandishi, flows, punclines na rhymes

    Huh Nina washkaji home dili ikija wanapindisha sera Inawaumiza napopiga hela Wote wanangu bado sijawahi wapinga jambo Hata wakificha Cargo Bado nawapa hi ‘cause we best friends Wapo wavivu wapatwe na dhiki Wako hoi hawatoboi hata uwape matrick Ni marafiki na wanaita wanawake ma-bitch Utadhani...
  13. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Ikiwa binadamu hana uwezo wa kutambua kinachoenda kumtokea dakika zijazo kwanini binadamu huyu huyu amekuwa mtu wa chuki sana?

    Mfano Leo tupo hai twachukiana Sana. Usoni twacheka hila ni rohoni vita vikali Sana. Nasema hivi kwanini mwaka 2013 mtoto wa Mama Mdogo ambaye alitabiriwa kuja kuwa Mwangaza wa Maisha na aliyeonekana Kama Nyota ya Familiya, na aliyekuwa anaweka bidii kwa masomo na kuipambania future yake...
  14. Mlolongo

    JamiiForums Tanzania Nimetumia dakika nane (8) kupika na kuivisha njugumawe!

    Nimenunua njugumawe nusu kilo. Huku Makongo Juu wanauza 1 kg = 3,400 Nikachambua, nikatia kwenye thermos flask kisha nikaweka maji ya moto (100°c), nikafunga chupa. Hapo ilikua saa tatu usiku. Asubuhi nikafungua thermos, nikamimina njugumawe kwenye sufuria. Zilikua hazijalainika ile kuiva...
  15. C

    JamiiForums Tanzania Mrisho Gambo acha kutamba maadui zako wakiamua kukupata ni mara moja tu!

    Kwa mfano unavyopenda mara kwa mara kwenda kwa Rafiki yako mkubwa mwenye Media yake nyuma ya Kebby's Hotel Bamaga na jinsi ile njia ilivyo na Giza na Ukimya ule Wakikuamulia Watakukosa? Nimeshangaa na Kusikitika kuona mahala fulani kwa Nyodo na Jeuri kabisa ukitamba na kusema kuwa hawakuwezi na...
  16. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Msemaji wa Yanga SC Ali Yanga SC je, baada ya Kipigo cha Leo na Ihefu FC tuendelee Kushangilia kila Dakika?

    Nitarudi hapa Saa 4 Kamili Usiku leo na wana Yanga SC mtanikoma.
  17. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Dakika 5 zimeongezwa za nini katika Mechi ya Ihefu FC na Yanga SC inayoendelea?

    Marefa wa Tanzania ni Wapuuzi na Wanafiki mno tu na Wanatumika vibaya sana. Tegemeeni Goli kusawazishwa ili Kuibeba Yanga SC isifungwe na Unbeaten Record yao iendelee. Hizi dakika 5 zimeongezwa za nini?
  18. NetMaster

    JamiiForums Tanzania Hawa ni marefa wa rede au? Dakika 4 zinaongezwa iweje Refa anauchuna mpaka dakika 11

    Hii kitendo cha refar's kujiongezea dakika hata kama walipoteza mda hii sio sahihi kabisa refa anatakiwa afungiwe huu Sasa sio mpira ni rede, Dakika 90 zimesha unaongeza 4 ni ruksa na sio zaidi ya hapo, Refa we unajiongezea kama nani?😢 Wewe kama ni Yanga au Simba vuta picha mechi ya Derby...
  19. Daktari W Sindabhalla

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Goli 1 baada ya dakika 45 za tendo la ndoa

    Salaam wana JF. Awali ya yote, niseme kwamba, Raha ya Mechi ni ule udambwidambi, vyenga vya kutosha na Magoli ya kiufundi. Binafsi, Uzoefu wangu ktk tendo la ndoa, goli la kwanza huwa naliingiza nyavuni kabla ya dk 5 kuisha then najiweka sawa kwa round ya pili na 3. ambazo huchukua si...
  20. NetMaster

    JamiiForums Tanzania Mchezo wa Ureno na Ghana kuongezewa dakika kumi kuna nini kinatafutwa?

Back
Top Bottom