Ndugu zangu naleta kwenu hii Nadharia ya Mwisho wa Dunia kwa mujibu wa Mafundisho ya Sauti ya Unabii kutoka kwa Elen G White.
Hawa wenzetu wasabato wanaamini kipindi cha Mwisho wa dunia kimeshawadia kwa hiyo kinachosubiriwa ni Ujio wa Yesu Kristo Masihi.
Andiko hili litakuwa endelevu kadiri...
Habari, Naitwa MGOLE MWITA CHACHA
Nimepotelewa na vyeti vyangu vya shule pamoja na kuzaliwa vyenye jina tajwa hapo juu.
CHETI CHA FORM FOUR-MAJANI YA CHAI SEC SCHOOL
CHETI CHA FORM SIX-UWEMBA SEC SCHOOL
CHETI CHA CHUO-NATIONAL INSTITUTE OF TRANSPORT(NIT)
CHETI CHA KUZALIWA
Iwapo ukibahatika...
Huyu ni mmoja kati ya watu wachache wenye uwezo mkubwa kuwahi kutokea duniani.
Kazaliwa 15April 1452 na kufariki 2May 1519. Huyu jamaa hakuwahi kanyaga shule ila alijaliwa kila aina ya kipaji
Music, Uchoraji, Fasihi, Uhandisi, Geology, Mathematics, Astronomy, Botany, History, Cartography. The...
Parental Advasory: 18+
MATES
Hapo zamani dunia ilipitia kipindi butu/kibaya cha maisha ambapo dunia ilikua imesimama katika kila Nyanja ya maendeleo ya maisha ya mwanadamu kiliathiri zaidi bara la Ulaya. Kipindi hicho kiliitwa Zama za Kati/Middle Age (sio zama za mawe). Kipindi hiki kilianza...
bila shaka naisi tupo wengi ambao tumekumbwa na janga ili la window 10 updates yani kila niki download any app kwenye pc inakuja na icon ya website iliyo downlodia kama ile ya e ambayo ni explorer, naombeni msaada kwa wana jamvi wale ambao mnaujuzi mnipe mwongozo kidogo maaana am not good with...
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 22 nasoma Chuo Degree Mwaka wa Pili, kuna binti mmoja mama yangu alinambia ni mzuri ana tabia nzuri, sema mimi nikawa napotezea sikuwa na haja hiyo. Siku moja nilienda kumsalimia mama nikamuona huyo binti, jamani ni mzuri balaa. Yeye baba ni Mzanzibar na mama...
Mtu akamatwa kwa kesi ya gongo hukumu ilikuwa kama ifuatavyo.
Jaji: Nakuhukumu kwa kosa la kuuza gongo
Mtuhumiwa: Me siuz gongo mnanionane 2
Jaji: Si tumekukamata na kifaa cha kutengenezea gongo
Mtuhumiwa: Dah sasa si mmenikuta na mashine 2 lakini siuzi
Jaji: Hata kama
Mthumiwa: Basi nikamateni...
Habarini za Alhamisi natumaini mpo vizuri sana, poleni kwa wale wagonjwa Mungu awape afya njema. kama ilivyo kawaida yangu ya kuwaletea makala za kutambua mambo mbalimbali kuhusu jamii kadhaa hapa duniani. kuanzia utamaduni wao, mila pamoja na namna ya maisha yao kwa ujumla.
Leo nitakuja...
Naomba msaada wakubwa
kama kichwa cha habari kinavyo jieleza
naombeni msaada mambo ya kuzingatia katika uandishi wa barua ya kazi ila katika kampuni ndogo tu na ninacho hitaji ila anuani hinakaje na inataka vitu vingapi na mambo muhimu ya kuzingatia tu
Nawasilisha wakuu
"samahani pia kwa...
ATTITUDE IS EVERYTHING
-Mawazo chanya ndio msingi wa mafanikio katika maisha yako.
-Inahitajika mikakati na smart hardworking kufikia malengo yako.
-Uwezo ulionao ndani huenda ni mkubwa zaidi kuliko unavyodahani, au pengine kuna mtu aliyewahi kukuambia una uwezo mkubwa ukachukulia poa, au kuna...
Kuna habari za kuaminika Kuwa Russia ameingia Libya na anawaunga mkono Haftar na pia amewapa silaha nzito,
Pia kuna wanausalama wa GRU na vikosi toka Russia vimepelekwa Mashariki mwa Libya kwa kutoa mafunzo.. pia kuna kambi kubwa mbili huko Tobruk na Baghaz pia inaaminika siraha na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.