Tanzanite klm
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 453
- 376
ATTITUDE IS EVERYTHING
-Mawazo chanya ndio msingi wa mafanikio katika maisha yako.
-Inahitajika mikakati na smart hardworking kufikia malengo yako.
-Uwezo ulionao ndani huenda ni mkubwa zaidi kuliko unavyodahani, au pengine kuna mtu aliyewahi kukuambia una uwezo mkubwa ukachukulia poa, au kuna kipindi katika maisha yako ukikua una uwezo mkubwa lakini sasa umepungua kidogo kutokana na kuingiza negative thoughts in your mind.
-Attitude ndio kila kitu maana kila kitu ufanyacho huanza na wazo
-ulivyo na utendavyo ni matokeo ya mawazo uliyonayo
-Moyo wako ni control centre ya nawazo yako
-Filtet ya mawazo ni ubongo wako
-Mawazo sio chochote bali ni matokeo ya vile vilivyojaa ndani ya moyo wako
-kubadili your attitude/ mtizamo kwanza lazima ubadili moyo wako.
- COMPUTER KUBWA KUKIKO ZOTE NI UBONGO WA BINADAMU.------- na kama ni computer software ni your mind; unaeza fanyia programming ubongo wako ili uwe super human being
- umewahi jiuliza hollywood wanatumia mabilion mangapi ya pesa kutengeneza na kutangaza filamu zao? Kwenye akili yako nikikuuliza ukisikia kuna gaidi kwenye akili yako atakuja muarabu, ukisikia jambazi kwenye akili inakuja mwafrica, ukisikia mfanyabiashara ya madawa ya kulevy inakuja mmexico, ukisikia kuna mtu kagundua kitu kikubwa akilini mwako anakuja mzungu:
Huo ni mfumo wataalamu wa saikolojia wanaufahamu ukitaka kumbadili na kumtawala mtu mfanyie systematic programming ya akili yake:
Poul Freire aliopandika kitabu chake Pedagogy of oppressed huko brazili alikasirisha wajanja wachache akafukuzwa, maana wajanja wengi hawataki wajinga wajitambue: Hekima ya shule haiwezi kukufanya uwe Enlightened being; bado utakua human being aliyekariri mawazo ya watu wengine ili hali hawezi kutengeneza yake.
Braining Programing ni muhimu mmno
- Ear gate- chukua positive things to listen, do you know hata musics unasikiliza zina effect in your life?
-Mouth gate- chunga unachoongea maana ni energy una send......
Eye gate- chunga unachoangalia sana kina effect kwenye mfumo wako wa kufikiri
--------------
https://chat.whatsapp.com/EIAOWEN4ymW70tMFo2X0ra Subscribe group kujifunza mengi zaidi