neo1

JF-Expert Member
Joined
Sep 1, 2013
Messages
561
Points
1,000

neo1

JF-Expert Member
Joined Sep 1, 2013
561 1,000
Kuna habari za kuaminika Kuwa Russia ameingia Libya na anawaunga mkono Haftar na pia amewapa silaha nzito,

Pia kuna wanausalama wa GRU na vikosi toka Russia vimepelekwa Mashariki mwa Libya kwa kutoa mafunzo.. pia kuna kambi kubwa mbili huko Tobruk na Baghaz pia inaaminika siraha na makombora ya kinga ya anga S300 zipo tayari huko Libya

My take nini kinafuata hapo Libya, je atafanikiwa kuikomboa na kuiunganisha kama mwanzo au nae yupo kunyonya kama wengine??

UK Intel Claims Putin Aims to Make Libya "New Syria" to Pressure West - Reports - Sputnik International

Na pia kuna habari kuwa waziri wake amefanya mazungumzo na serikali ya Libya...
Je hii bahati Mbaya kweli??

Russia's Deputy Foreign Minister Holds Talks With Head of Libyan Government
 
Wick

JF-Expert Member
Joined
Dec 19, 2012
Messages
8,354
Points
2,000

Wick

JF-Expert Member
Joined Dec 19, 2012
8,354 2,000
Alishindwa msaidia Gadafi... why ?
Ghadafi alikuwa kibaraka wa CIA/ USA chini ya The Five Eyes. Unajua kuwa watu USA aliokuwa anawateka/kamata walikuwa wanaishia Libya kuteswa!.
Hii ilifanyika maana wakiingia Ardhi ya Marekani wasingeweza teswa ndio akaamua fungua black sites na huko Libya ina maana unatekwa/kamatwa bongo watu wanajua unaenda state, angani unabadilishiwa route unaenda kwenye black sites zao!. Huko matendo yake utasema yaliyomo tu!. Inaitwa Extraodinary Renditions
Maslahi walikuja tofautiana tu!. Lakini waasi baada ya kumpindua Ghadafi ndio walikutana na documents za haya mambo Ofisi ya waziri wa ndani Libya!.
 
Mazindu Msambule

JF-Expert Member
Joined
Feb 22, 2012
Messages
6,085
Points
2,000

Mazindu Msambule

JF-Expert Member
Joined Feb 22, 2012
6,085 2,000
Ghadafi alikuwa kibaraka wa CIA/ USA chini ya The Five Eyes. Unajua kuwa watu USA aliokuwa anawateka/kamata walikuwa wanaishia Libya kuteswa!.
Hii ilifanyika maana wakiingia Ardhi ya Marekani wasingeweza teswa ndio akaamua fungua black sites na huko Libya ina maana unatekwa/kamatwa bongo watu wanajua unaenda state, angani unabadilishiwa route unaenda kwenye black sites zao!. Huko matendo yake utasema yaliyomo tu!. Inaitwa Extraodinary Renditions
Maslahi walikuja tofautiana tu!. Lakini waasi baada ya kumpindua Ghadafi ndio walikutana na documents za haya mambo Ofisi ya waziri wa ndani Libya!.
Mmh, aise!
 
Wick

JF-Expert Member
Joined
Dec 19, 2012
Messages
8,354
Points
2,000

Wick

JF-Expert Member
Joined Dec 19, 2012
8,354 2,000
Mmh, aise!
The Five Eyes (FVEY) muunganiko wa mashirika ya ujasusi (Australia, Canada, New Zealand, UK na USA).
Ingawa hii 5 eyes inaweza tanuka hata kufika 20 Eyes kutegemea na threat zilizopo, lakini bado watu wanaobaki muhimu ni hawa watano tu, Ufaransa alitaka akijiunga apewe access zote wakamgomea.
Ila ndani ya hii 5 eyes taarifa zote za kijasusi zinakuwa shared, CIA wanaweza access database za SIS/MI6 na wao database zao zinaweza kuwa accessed na wenzao pia.
Kwa mfano Tz tungekuwa ndani yake huu mkataba basi TISS wangeweza tumia taarifa za CIA kumfatilia mtu yoyote wanayemuona ni hatari kwa usalama wa taifa then wazee wa CIA wanamteka akakabidhiwa kwa TISS wao watajua wanamfanya nini.
Ndio kilichotokea kwa ghadafi walimpa access kuwafatilia wabaya wake na yeye akawapa access kufungua black sites nchini mwake!.
Aliyotoa Ed Snowden ni madogo sana zaidi ya yanayofanyika kwenye 5 Eyes!.
 
Washawasha

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2006
Messages
11,469
Points
2,000

Washawasha

JF-Expert Member
Joined Aug 7, 2006
11,469 2,000

Ahsante sana kwa kutujuza
Nalog off
 
Nyanjomigire

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2013
Messages
5,019
Points
2,000

Nyanjomigire

JF-Expert Member
Joined Jan 28, 2013
5,019 2,000
Hizo ni redio mbao tu. Russia anazidi kubanwa na vikwazo kila uchao ndio apate nguvu ya kwenda tena kufanya chokochoko Libya.

These must be fictitious stories since the Russians have even failed to clear Syria of the so called "Foreign Invaders".
 
Wick

JF-Expert Member
Joined
Dec 19, 2012
Messages
8,354
Points
2,000

Wick

JF-Expert Member
Joined Dec 19, 2012
8,354 2,000

Forum statistics

Threads 1,390,596
Members 528,215
Posts 34,055,972
Top