cwt

  1. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Karne ya 21 Katibu Mkuu wa CWT alikuwa mwalimu wa Daraja la 3A?

    CWT ni laana!! Walimu wapo darasani wana Masters kiongozi wao mkuu kama Katibu mkuu ni form four grade 3A? Tena anateuliwa kuwa mkuu wa Wilaya akaringa!!
  2. Pantomath

    JamiiForums Tanzania Mwalimu Maganga, Katibu Mkuu CWT aliyekataa uteuzi wa Ukuu wa Wilaya arudishwa kwenye Ualimu

    Mkurugenzi wa Manispaa ya Temeke, Elihuruma Mabelya amemtaka Mwalimu Japhet Maganga kurejea kazini kufuatia Katibu Mkuu Ofisi ya Rais- Utumishi, Juma Mkomi kutoidhinisha maombi ya mwalimu huyo kupata kibali cha kuazimwa. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Mabelya, Maganga ni muajiriwa wa...
  3. Tutu kalundji

    JamiiForums Tanzania Nawapenda sana walimu wangu ila CWT kinawasaidia Nini?

    Binafsi nawakubali na kuwapenda sana walimu wangu mlionifundisha mambo anuwai ya Dunia nikaweza kuelimika.Ila nina swali moja hiki chama chenu cha walimu(CWT) kina mchango upi katika changamoto za mwalimu?Kubuni rangi za t-shirt? Binafsi sitapenda mtoto wangu awe mwalimu. Bora tu awe hata dreva boda
  4. Na hili mkalitizame

    JamiiForums Tanzania Kilio cha walimu na CWT imekuwa kilio cha samaki machozi kwenda na maji

    Hao jamaa kwa kitendo cha kugomea nafasi waliopewa na mh Rais kwenda kumsaidia kutekeleza ilani ni tatizo kubwa sana. Na chakushangaza maafisa utumishi katika Halmashauri mbalimbali nchini wanawaunga mkono hao majamaa kwa kuisapoti CWT. Wanaikandamiza CHAKUHAWATA ambayo kimsingi ipo kumsaidia...
  5. Na hili mkalitizame

    JamiiForums Tanzania Kilio cha walimu na CWT kimekuwa kilio cha samaki machozi kwenda na maji.

    Hao jamaa kwa kitendo cha kugomea nafasi waliopewa na mh Rais kwenda kumsaidia kutekeleza ilani ni tatizo kubwa sana. Na chakushangaza maafisa utumishi katika Halmashauri mbalimbali nchini wanawaunga mkono hao majamaa kwa kuisapoti CWT. Wanaikandamiza CHAKUHAWATA ambayo kimsingi ipo kumsaidia...
  6. cupvich

    JamiiForums Tanzania SoC03 Nchi ya kusadikika ambayo kila mwalimu wa kitanzania anaitamani

    "Baba Wande amka unachelewa kazini" ilisikika sauti ya Mke wa mwalimu Matinyi ambaye ni mwalimu wa somo la hisabati katika shule ya sekondari MAPWE. Kwa haraka mwalimu Matinyi aliangalia saa yake na kugundua kuwa ni saa kumi na moja na dakika kumi alfajiri,alikumbuka kuwa yuko zamu kwa wiki...
  7. Black Legend

    JamiiForums Tanzania Rais, kwa mara nyingine unatukosea Watumishi wa Umma nyongeza ya mshahara

    Ni wazi kuwa sasa ni mwaka wa 8 watumishi hawapati shahiki yao ya nyongeza ya mshahara. Matamko mbalimbali hususani kwenye sherehe za Mei Mosi, Rais kupitia majibu ya hotuba ya wafanyakazi alitoa kauli ya kurudisha japo Annual Increment kwa watumishi ifikapo July mwaka mpya wa bajeti. Tofauti...
  8. Lanlady

    JamiiForums Tanzania Jamvi la Habari lawakalia kooni viongozi CWT

    Inawezekana ikawa ni mbinu ya kugawanya na kutawala (divide and rule)? Ni nani wako nyuma ya hii vita?
  9. HaMachiach

    JamiiForums Tanzania Wajumbe waasi wa kamati ya utendaji taifa CWT wakimbilia Wizara ya Kazi

    Kama tulivyowaarifu jana tarehe 15 Juni 2023, kimeitishishwa kikao cha baraza la taifa cha dharura jijini Dodoma tarehe 18 Juni 2023 kati ya mengi ambayo yangejadiliwa ni pamoja na baadhi ya wajumbe wa kamati ya utendaji wa taifa kuvunja katiba na kuvuruga uongozi na chama kwa ujumla. Naibu...
  10. CK Allan

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Serikali: Chama cha Walimu Tanzania (CWT) mali zake ziuzwe na zigawanywe kwa walimu kisha chama hiki kifutwe

    CWT hakuna msaada wowote kwa mwalimu zaidi ya kumkata kuanzia shilingi elf 15,000 hadi elf 60,000 kwa mwezi kulingana na daraja lake, kisha hizo pesa zinaliwa na wajanja wachache. Kupitia hizo pesa, chama kimeweza kutengeneza miradi mbalimbali na hadi kufungua bank (MCB) kwa fedha hizi hizi za...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Hiki kinachotokea kwa viongozi wakuu wa CWT (M/Kiti na Katibu wake) ni UONEVU wa waziwazi

    Siwafahamu kiundani,.lakini nina uhakika vyombo vya dola vinawafahamu vizuri zaidi na ndio maana vikapeleka majina yao kwa Mh. Rais kwa nafasi za Ukuu wa Wilaya. Sasa kinachoonekana kwa sasa ni kwamba, hawa viongozi wa walimu, wanaandamwa kwa sababu ya kugomea uteuzi wa Mh. Rais! Kama kweli...
  12. Mkyamise

    JamiiForums Tanzania Hii ndiyo CWT niijuayo

    Mimi ni mwanachama kwa zaidi ya miaka 15. Miaka michache iliyopita CWT ilitangaza nafasi 12 za makatibu wa wilaya. Nikajaribu kuomba. Mchakato ulikuwa ni kama ifuatavyo: 1. Unaandika barua ya maombi kwa katibu mtendaji Taifa, ukiambatanisha nakala za vyeti, salary slip, kitambulisho cha...
  13. Mpwayungu Village

    JamiiForums Tanzania Mwenye katiba ya CWT na Sheria ya vyama vya Wafanyakazi Naomba tafadhali

    Habari za mda huu ndugu zangu. Ombi langu ni moja. Nahitaji vitu viwili 1.KATIBA YA CWT 2.SHERIA YA VYAMA VYA WAFANYAKAZI Nitumie hapa hapa au PM
  14. W

    JamiiForums Tanzania Chama Cha walimu Tanzania (CWT) VS Chama Cha kutetea haki za walimu Tanzania (CHAKUHAWATA)

    Chama Cha walimu TANZANIA na Chama Cha kutetea haki za walimu TANZANIA Hivi ni vyama vimeundwa Kwa mujibu wa Sheria Kwa lengo la kusimamia na kutetea haki na maslahi ya walimu. Tofauti yake: 1. CWT wanakata 2% kwenye msharahara wa mwanachama lakini CHAKUHAWATA wanakata 5000/= kwenye mshahara...
  15. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Mwalimu mwenye kujua kazi ya 2% ya makato ya Mshahara wake kwenda CWT tukutane hapa

    Niko siti ya mbele karibuni walimu. Tahadhari, walimu wa ajira mpya itakayotolewa mapema mjihadhari na mkato ya 2% ya vyama vya wafanyakazi, lipeni 5,000 makato ya kila mwezi. KARIBUNI
  16. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Wimbi la walimu kuhama CWT Tanzania limeshika kasi

    JPM alikuwa nabii Katika moja ya hotuba zake, Rais Magufuli alizungumzia michango ya 2% ambayo walimu hukatwa kwenye mishahara yao ili kuchangia Chama Cha Waalimu (CWT). Magufuli alisema michango hiyo hukipa CWT zaidi ya bilioni 3 kila mwezi, na walimu wamekuwa hawajiulizi ni kwa namna gani...
  17. Mlalamikaji daily

    JamiiForums Tanzania Hongereni serikali kwa kuinyoosha CWT

    Kama mnavyojua hakuna chama cha hovyo kuwahi kutokea duniani kama hiki chama Cha walimu Tanzania (CWT) Zaidi ya kuwakata walimu 2% ya mshahara Kisha kuwaletea tisheti na kofia Kila mwaka hakuna kingine Cha maana kilifanya, Wakati wa Raisi Magufuli aliibua hoja kuhusu hiki chama ikiwemo kuuliza...
  18. anti-Glazer

    JamiiForums Tanzania CWT ihukumiwe kwa wizi huu

    Cwt ni chama Cha walimu nchini Tanzania. Hakifanyi jambo lolote zaidi ya kuvuna asilimia mbili ya mishahara ya walimu. Mei mosi ndio siku pekee ya tamko Kwa waajiri wote kusitisha makato ya 2% Hadi hapo suala hili litakapoangaliwa upya. Juzi hapa waliokuwa viongozi was Cwt walipata uteuzi was...
  19. UMUGHAKA

    JamiiForums Tanzania CWT ni Genge la Matapeli wanaokula kwa Mgongo wa Walimu

    Nsikuchoshe na Usinchoshe, tusichoshane! Kila mwaka kumekuwa na madai ya walimu kuchangia katika michango mbalimbali ya shughuli za kiserikali kwa ushurutishwaji hasa na wakurugenzi wa Halamashauri ama manaibu wakurugenzi. Moja wapo ya kilio cha muda mrefu kwa walimu ni hii kero ya Michango ya...
  20. M

    JamiiForums Tanzania CWT mpya inawezekana

    Naombeni muongozo wakuu ni pitr njia zipi, Na ndoto kuwa siku moja nije kuwa rais wa chama Cha walimu Tanzania. Bado nipo chuo mwaka wa pili nasoma bachelor of science with education. Vipaumbele takapo kuwa rahisi wa CWT apo mwaka 2040 01. Pambana nyongeza za mishahara kwa walimu. 02. Huduma za...
Back
Top Bottom