cwt

  1. B

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Makamu wa Rais wa CWT yaondolewa baada ya uteuzi wa kuwa DC

    14 February 2023 Dodoma, Tanzania Makamu wa Rais Chama cha Walimu Tanzania CWT aondoa kesi yake ya Kupinga kungolewa Mbele ya jaji wa Mahakama Kuu mheshimiwa jaji Mdemu, pingamiza aliloweka makamu wa rais CWT bi . Dinah Mathamani kupinga kuvuliwa cheo na mkutano mkuu wa CWT kesi imeondolewa...
  2. HaMachiach

    JamiiForums Tanzania Nini hasa kinaendelea ndani ya CWT (iwafikie walimu wote na jamii ya Watanzania)

    NINI HASA KINAENDELEA NDANI YA CWT (IWAFIKIE WALIMU WOTE NA JAMII YA WATANZANIA) Kama umekuwa mfuatiliaji mzuri wa mitandao ya kijamii huenda umekutana na taarifa za uteuzi wa baadhi ya viongozi waandamizi wa chama cha walimu Tanzania (CWT) kuwa wakuu wa wilaya mnamo tarehe 25 Januari 2023...
  3. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Suala la wateuliwa CWT: Jenista Mhagama, Waziri wa Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Walemavu kashindwa kazi

    Suala la wateuliwa kutoka CWT kukataa uteuzi kwa baadhi yao kwa kweli ni fedheha kwa serikali ya rais Samia. Waziri husika hakufanya kazi yake. Tunavyofahamu uteuzi wowote serikalini, hasa kwa ngazi ya juu ni lazima utanguliwe na vetting. Vetting hii inafanywa na vyombo tofauti ikiwemo TISS...
  4. Sir robby

    JamiiForums Tanzania Je, unaweza kuacha mshahara wa milioni 7.8 na kuwa Mkuu wa Wilaya anayelipwa milioni 3 kwa mwezi?

    Mambo yamekuwa mambo. Wewe ni mtumishi wa taasisi fulani unalipwa mshahara wa Tsh.Mil.7.8 Unateuliwa kuwa DC ili upate mshahara wa Tshs mil.3 na shangingi Je, utakubali teuzi au utakataa?
  5. Mlalamikaji daily

    JamiiForums Tanzania Tunapowaambia CWT ni tawi la serikali muwe mnaelewa!

    Angalia pamoja na mgogoro uliokuwepo lakini viongozi wakubwa wa CWT wamekula uteuzi wa wakuu wa WILAYA! Tunapowaambia hiki chama ni tawi muwe mnaelewa! Sina mengi kwa leo
  6. Msanii

    JamiiForums Tanzania Nini tija ya Chama cha Walimu Tanzania (CWT) kwa Walimu?

    Amani iwe kwenu, Katika tafakuri yangu weekend hii nimejiuliza maswali kadhaa kuhusu faida wanayoipata waalimu kupitia chama chao cha waalimu kitaifa. Kuna mambo kadhaa yanayotafakarisha nikaona vyema nije kwenu wanaJF tusaidiane kupata majibu. Tukianza na usajili wa chama cha waalimu, je ni...
  7. BARD AI

    JamiiForums Tanzania UPDATE: Leah Ulaya arejeshewa Urais wa CWT

    Rais wa CWT aliyesimamishwa, Leah Ulaya amefika mbele ya wajumbe wa mkutano Mkuu kwa ajili ya kutoa utetezi wake wa kwa nini arudishwe katika nafasi yake. Ulaya ameingia ukumbini kwa kelele za wajumbe walipoimba wimbo wa mlete mzungu na wimbo wa mshikamano. Dakika chache kabla ya kuingia kwa...
  8. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Rais Chama cha Walimu Tanzania(CWT) atolewa kikaoni kwa nguvu

    Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Chama cha Walimu Tanzania (CWT) wamemuondoa kwa nguvu Kaimu Rais wa chama hicho, Dinah Mathaman na kumchagua mjumbe mwingine kuongoza kikao. --- Rais CWT atolewa kikaoni kwa nguvu Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Chama cha Walimu Tanzania (CWT) wamemuondoa kwa nguvu Kaimu...
  9. saidoo25

    JamiiForums Tanzania Inadaiwa kuna Vurugu kubwa mkutano wa CWT Dodoma muda huu

    Kuna tetesi za kuwepo vurugu kubwa kwenye mkutano mkuu wa Chama cha Walimu Tanzania unaoendele muda huu ndani ya Ukumbi wa CCM wa Jakaya Kikwete Dodoma. Vyombo vya Dola tunaomba muwahi eneo la tukio mkatulize hiyo sintofahamu inayoendelea muda huu ukumbini.
  10. BARD AI

    JamiiForums Tanzania TUCTA, TUGHE waishangaa CWT kuhusu kikokotoo cha PSSSF

    Siku chache baada ya wanachama wa Chama cha Walimu Tanzania (CWT), kutaka mjadala wa kikokotoo urudi upya, Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi Tanzania (Tucta) limesema utaratibu wote ulifuatwa na suala hilo lilishafikiwa mwisho. Kauli hiyo imekuja baada mkutano ulioshirikisha CWT na Mfuko wa...
  11. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Kikokotoo chavuruga mkutano CWT, PSSSF

    Mkutano kati ya Chama cha Walimu Tanzania (CWT) na Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa watumishi wa Umma (PSSSF) umevunjika baada ya kuibuka kwa hali ya kutoelewana. Sababu za kuvunjika kwa mkutano huo ni kikokotoo ambacho baadhi ya wajumbe wa CWT walitaka mjadala urudi upya mezani katika sheria ya...
  12. T

    JamiiForums Tanzania Nani aliiunganisha CWT na Serikali? Badala ya kutetea Walimu kinawakandamiza, ukitaka kuanzisha cha kupigania Walimu unashughulikiwa mpaka ukome

    Kwa mtazamo wangu naona kuna tatizo kubwa kati ya waalimu cwt na serikali. Ninachoelewa mimi ni kwamba cwt ni chama cha waalimu Tanzania, yaani chama cha kutetea maslahi waalimu. Cwt haifanyi hiyo kazi kabisa. Wapowapo tu. Waalimu wa nchi hii wanaonewa na kunyonywa na kudharauliwa na kila...
  13. Linguistic

    JamiiForums Tanzania CWT ni Shamba la Bibi, kila anayepata nafasi anavuna atakavyo, Seif (Katibu Mkuu) na Allawi (Mweka Hazina) ni kielelezo sahihi

    Katibu Mkuu wa Chama Cha Walimu nchini Tanzania (CWT), Deus Seif na Mwekahazina wa chama hicho, Abubakari Allawi, wamehukumiwa kifungo cha miezi sita jela, baada ya kupatikana na hatia ya kutumia madaraka yao vibaya kwa kuchepusha Sh 13.9milioni mali ya CWT. Hukumu hiyo ilosomwa week iliyopita...
  14. one one chief

    JamiiForums Tanzania Kwanini CWT inatumia nguvu kubwa kutaka wanachama wake kujaza fomu TUF 15?

    Chama Cha walimu Tanzania, kwasasa wanatumia nguvu kubwa kuwashawishi walimu kujaza form ya TUF 15 ambayo ukiisoma inataka mwanachama aijaze ili kuridhia makato yanayokatwa na mwajiri kwenda CWT. Swali ninalojiuliza kama makato yao yamekuwepo miaka yote Tena wakati mwingine bila ridhaa ya...
  15. F

    JamiiForums Tanzania Katibu mkuu CWT taifa ahukumiwa

    Katibu mkuu wa Chama Cha walimu Tanzania CWT amekutwa na hatia hivyo kuhukumiwa yeye na mwenzake muweka hazina kifungo Cha miezi sita Kisha kurejesha fedha hizo baada ya kifungo. Ndugu zangu tusitumie vibaya fedha za walimu tunapopewa nafasi.
  16. MjumbeOGG

    JamiiForums Tanzania CWT inashusha ari ya Walimu

    WALIMU TUMEWAKOSEA NINI? Salam Kwanu 1.Mhe.Rais wa JMT Samia Suluhu Hassan. 2.Mhe.Waziri Wa Utumishi na Utawapa bora..Jenista Mhagama 3.Mhe.Waziri Wa TAMISEMI...Innocent Bashungwa. Kwa miaka Zaidi ya Ishirini Walim wa nchi hii wamekuwa wakiwakilishwa na Chama kimoja cha Wafanyakazi kiitwacho...
  17. JET SALLI

    JamiiForums Tanzania Kwanini CWT inatesa Waalimu na kuiba fedha zao kila uchao?

    Ndugu za wanaJamiiForums, nimepata taarifa leo hii kwamba kumbe CWT ambacho kimekuwa chama cha walimu kwa muda mrefu sasa kimepata chama mwenza ambacho ni chama cha CHAKUHAWATA. Taarifa hii nimeambiwa na mwalimu mmoja leo hii. Mwalimu huyo amesikitika kuona kwamba pamoja na yeye kujiungana na...
  18. CK Allan

    JamiiForums Tanzania Ni wakati sasa kwa Chama Cha walimu Tanzania (CWT) kupunguza Makato kutoka 2% Hadi 0.5% ili kumuunga mkono mama

    Tayari lile jambo letu limekuwa 23.3% Kama tujuavyo mshahara unavyopanda na Makato, Kodi, bima, n.k nayo yanapanda. Kwakuwa CWT inajiweza na Ina wanachama wengi (pengine kuliko Chama chochote Cha wafanyakazi) hapa nchini, Basi nao wapunguze asilimia 1.5 Ibaki 0.5% Ili kusudi nyongeza hii...
  19. A

    JamiiForums Tanzania Chama cha Walimu Tanzania kijitathmini

    Jambo limekuwa na UKAKASI. Fedha irejeshwayo kwenye matawi × Miezi iliyozuiwa ili kugharamia Mkutano Mkuu wa Siku 1, haiendani kabisa (irrelevant) hata na posho zitarajiwazo kulipwa kwa Wajumbe wa mikutano hiyo. #Ujumbe huu tusiupuuzie, Walimu huku shuleni HOJA hiyo Imepamba moto 🔥🔥🔥...
  20. CK Allan

    JamiiForums Tanzania Kuelekea Mei mosi 2022 tunaomba Rais Samia tusaidie hili kuhusu CWT

    Raisi wa awamu ya Tano Ndugu John Magufuli alijaribu kuanzisha hili Jambo kwa kuonesha namna viongozi wa CWT (chama Cha walimu Tanzania) wanatumia michango ya wanachama na rasilimali kujinufaisha wenyewe na wakiendelea kuwanyonya walimu , Chama hiki hakina msaada wowote kwa walimu Tanzania...
Back
Top Bottom