cwt

  1. S

    JamiiForums Tanzania Ombi kwa rais Samia juu ya mkurugenzi wa wilaya ya Busega ndugu Maiko Richard Kachoma dhidi ya walimu waliozuiwa kuhama CWT

    Kwako,Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan YAH: MALALAMIKO JUU YA MKURUGENZI WA WILAYA YA BUSEGA NDUGU MAIKO RICHARD KACHOMA Mheshimiwa Rais, Kwa heshima na taadhima,Sisi walimu wa halmashauri ya wilaya ya Busega tunapenda kuwasilisha malalamiko yetu...
  2. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Ni nini hatima ya Mwalimu Leah Ulaya, aliyekuwa Rais wa Chama cha Walimu Tanzania (CWT), baada ya kuangushwa kwenye uchaguzi wa CWT

    Mwalimu Leah Ulaya, aliyekuwa Rais wa Chama cha Walimu Tanzania (CWT), anazungumziwa sana baada ya kushindwa katika uchaguzi wa uongozi wa chama hicho. Hatima yake imekuwa ya wasiwasi kwa wengi, hasa kutokana na mchango wake mkubwa katika kuleta mabadiliko katika sekta ya elimu nchini. Baada...
  3. Peter Mwaihola

    JamiiForums Tanzania Kumbukumbu; Leah Ulaya, Maganga Walivyogomea uteuzi wa Rais kisa CWT

    Mwezi Septemba, 2023 Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan alimteua aliyekuwa Rais wa chama cha walimu Leah Ulaya kuwa mkuu wa Wilaya ya Mbogwe mkoani Geita, hata hivyo Leah aligomea uteuzi huo wa Rais hakwenda kituo cha kazi alichoteuliwa. Sambamba na uteuzi huo Rais pia alimteua aliyekuwa wa...
  4. E

    JamiiForums Tanzania Suleiman Ikomba achaguliwa kuwa Rais mpya Chama cha Walimu Tanzania (CWT)

    Chama cha Walimu Tanzania (CWT) kimemaliza kimepata rais mpya, Suleiman Ikomba, aliyeibuka mshindi kwa kupata kura 608 dhidi ya kura 260 alizopata aliyekuwa rais wa awamu iliyopita, Leah Ulaya. Kura moja iliharibika, na kufanya jumla ya kura zilizopigwa kufikia 869. Uchaguzi huo umefanyika jana...
  5. Tutu kalundji

    JamiiForums Tanzania Magesa Protas katibu wa zamani TCS wilaya ya Bunda anastahili unaibu katibu mkuu CWT walimu ngazi ya taifa

    Protas Magesa Katibu wa zamani TSC (Teachers Service Commission)wilaya ya Bunda anatajwa na wajumbe wengi kama kiongozi anayestahili kuwa naibu Katibu mkuu CWT. Hakika kwa walimu huyu mtu anastahili kuwa naibu Katibu mkuu ngazi ya Taifa.Wajumbe wa mkutano mkuu msitangulize waganga njaa,huyu...
  6. Lanlady

    JamiiForums Tanzania Kampeni za uchaguzi CWT ngazi ya taifa zimepamba moto. Huyu naye anagombea

  7. Damaso

    JamiiForums Tanzania Chama cha Walimu Tanzania (CWT) Mkoa wa Ruvuma, kimeiomba serikali kuwaongezea walimu kikokotoo kutoka asilimia 40 mpaka asilimia 50

    Chama cha Walimu Tanzania (CWT) Mkoa wa Ruvuma, kimeiomba serikali kuwongezea walimu kikokotoo kutoka asilimia 40 wanayopokea sasa hadi kufikia asilimia 50 waliyokua wakiipokea awali ili iweze kuwapunguzia makali ya maisha na kuongeza ari na tija zaidi kwa walimu kufundisha wanafunzi...
  8. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Mbozi: Walimu wawataka viongozi wapya CWT kuishauri serikali kuondoa makato ya asilimia mbili kwenye mishahara yao

    Baadhi ya walimu na Wajumbe wa Chama cha Walimu (CWT), wilayani Mbozi, mkoani Songwe, wameomba viongozi waliochaguliwa kuwaongoza kwa awamu nyingine kuhakikisha wanatetea maslahi yao ikiwa ni pamoja na kuishauri serikali kuondoa makato ya asilimi mbili ambayo hukatwa kwenye mishahara yao ...
  9. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 DC Songea: Kuna Chama mbadala cha walimu imesababisha competition ya kisiasa zaidi, inaleta madhara utendaji kazi

    Mkuu wa Wilaya ya Songea Wilman Kapenjama Ndile amemshauri msajili wa vyama vya wafanyakazi Tanzania kutathmini upya demokrasia ya uwanzishwaji wa vyama vingi vya wafanyakazi kwa kada moja kutokana uwepo wa athari unaopelekea ushindani usio na sababu Wilman ametoa ushauri huo katika Mkutano...
  10. A

    JamiiForums Tanzania KERO Cliniki ya walimu inayoendeshwa na CWT mateso kwa walimu

    Hii inajitokeza hapa Morogoro Mjini kwani wale wanaostahili kupata huduma hawapati ni waliochelewa ndio wanaopata huduma. Ni ubabaishaji mtupu, Yani mtu anafika saa 1 asubuhi na kupewa namba lkn hazifuatwi, wahusika chukueni hatua hili zoezi litawachafua
  11. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Waliodhani CWT tutafoka foka kwenye media ili haki ipatikane, wanatushangaa

    Makamu Wa Rais CWT SULEIMAN IKOMBA Amewataka Walimu Kuwa Mstari Wa Mbele Kwenye Kuijenga na Kuacha kusikiliza Yanayosemwa Nje Ya Chama Hicho Suleiman Ameyasema Hayo Wakati Wa Kliniki ya Samia Na CWT inaratibiwa na chama cha walimu Tanzania (CWT) kwa kushirikiana na ofisi ya Rais utumishi...
  12. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Walimu Nchini Watakiwa Kujiunga Na Benki Ya Walimu 'MCB BANK' Kwa Lengo La Kuendelea Kukuza Kipato Cha CWT

    Makamu Wa Rais Chama Cha Walimu Tanzania ( CWT ) Ndugu Suleiman Mathew Ikomba Amewataka Walimu Nchini Kujiunga Na Benki Ya Walimu 'MCB BANK' Kwa Lengo La Kuendelea Kukuza Kipato Cha CWT Aneyasema Hayo Mapema Leo Wakati Wa Ufunguzi Wa Kliniki Ya Walimu Na Samia Mikoani Arusha Yenye Lengo La...
  13. Lanlady

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi wa CWT wilaya ya Butiama utazamwe na TAKUKURU

    Kuna tetesi kuwa mchakato wa uchaguzi wa CWT katika wilaya hiyo umegubikwa na visa vingi vinavyokiuka taratibu za uchaguzi. Mojawapo ya visa hivyo ni pamoja na usambaji wa fomu kwa wagombea ngazi ya matawi unaoambatana na kupewa kiasi fulani cha pesa. Tunaiomba TAKUKURU imulike uchaguzi huo...
  14. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Samia Teachers Mobile Clinic inayoratibiwa na CWT inatarajiwa kusikiliza changamoto mbalimbali za walimu Geita

    Ziara ya kusikiliza na kutatua changamoto za walimu nchini (Samia Teachers Mobile Clinic) inayoratibiwa na Chama cha Walimu Tanzania (CWT) kushirikiana na serikali inatarajia kuwasili mkoani Geita Februari 25, 2025 na kumalizika tarehe 26 Februari ambapo lengo ni kusikiliza changamoto mbalimbali...
  15. mr pipa

    JamiiForums Tanzania CWT tawi la Songea kwanini hamtoi hela za wastaafu waliopunjwa kuanzia 2016 hadi 2024 wakati nauli zao mlikula?

    2021 aliwaita wastaafu wote ambao walipunjwa pensheni zao na mkafanya nao kikao mkakubaliana atumwe katibu dodoma kwenda kufuatilia hayo mapunjo ambayo baadhi ya wastaafu katika penshen zao walipata pesa tofauti na wanachodai na mkakiri kweli mahesabu hayakufanyika vizuri. Baada ya katibu...
  16. G

    JamiiForums Tanzania CWT wamejipanga kurudisha imani kwa wanachama wao waliokimbilia CHAHUWATA

    Wakati mwaka ndio kwanza umepinduka, hali ya mwalimu bado ni tete. Ahadi walizopewa na mwajiri hazijatekelezwa. Sasa viongozi wa CWT wilaya wanafanya ziara ili kurudisha imani na matumaini kwa wanachama wao kwamba mambo yatakuwa mazuri muda siomrefu. Kwa ufupi maswali wanayoulizwa wanashindwa...
  17. A

    JamiiForums Tanzania KERO CWT Ubungo wanatulazimisha walimu kuwa kwenye chama. Tunakatwa mishahara kwa lazima

    Kumekuwa na uonevu mkubwa sana wa CWT UBUNGO ikilazimisha kuwakata walimu mishahara kama michango ya chama bila idhini ya wahusika Wala makubaliano. Na hata wanapoomba kusitishwa Kwa michango hiyo hawasikilizwi au kupewa mlolongo mrefu wa namna ya kujitoa au hutolewa ndani ya muda mfupi Kisha...
  18. thadayo jr

    JamiiForums Tanzania C.W.T mnakwama wapi kutoa mikopo wezeshi kwa Walimu?

    ipo wazi kuwa c.w.t Ina mchango mkubwa Sana katika kulinda haki za walimu.hoja yangu ni kwamba kwanini michango inayokusanywa na c.w.t isitumike kutoa mikopo WEZESHI kwa WALIMU ilikuinua ustawi wao.
  19. Cheology

    JamiiForums Tanzania KERO CWT ni Chama cha wafanyakazi kisichopendwa na wadau wake. Wanalazimisha uanachama!

    Chama pekee kinacholazimisha wanachama na wao bila kupenda kukatwa michango yao ni cwt. Chama.cha walimu Tanzania. Unaweza ukakipa nafasi ya kidunia katika vyama ambavyo 95% wanachama leo ukiwahoji muhitadha wao na chama watasema ni negative. Hawana mpango nacho na kwa.kuwa kuna mikono ya...
  20. M

    JamiiForums Tanzania CWT cha sasa ni mchwa unaotafuna faida iliyotengenezwa na CWT ya Gratian Mkoba. Walimu waamke na kupiga kelele juu ya unyonyaji huu mkubwa

    Chama cha walimu kilianza miaka ya 2000 kikiongozwa na baadhi ya viongozi akiwemo Magreth Sitta aliyepokelewa kijiti hicho na ndugu Gratian Mkoba. Ni katika kipindi cha miaka ya 2010's ndipo chama kilianza kuweka mipango na dira ya maendeleo ya chama kwa kutumia michango ya walimu kama ilivyo...
Back
Top Bottom