cwt

  1. B

    JamiiForums Tanzania CWT oneni aiibu

    Baada ya serikali yetu pendwa kushusha kodi kwa watumishi wake wakiwemo waalimu na kuanza kufaidi ni mda sasa chama cha waalimu kutekeleza majukumu yake kwa wanachama kushusha makato mpaka 1%. Tunawapa miezi mitatu kuanzia leo mwezi wa nane, bila hivyo tutaitisha maandamano ya kisheria nchi...
  2. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli afungua mkutano Mkuu wa Chama cha Waalimu, Corona imeisha, Shule za Msingi kufunguliwa karibuni

    Salaam Wakuu, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, Leo anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika Mkutano Mkuu wa Uchaguzi wa Chama Cha Walimu Tanzania-CWT. Mkutano huo utafanyika katika Uwanja wa Jamhuri Jijini Dodoma, huku watu wote wakitakiwa kuzingatia na kuchukua...
  3. F

    JamiiForums Tanzania Walimu tunaishtaki CWT Mahakamani. Mwisho wa uonevu ni sasa

    MKAKATI WA KUIN'GOA CWT KISHERIA NA KUWARUDISHIA WALIMU PESA ZAO WALIZOIBIWA NA CWT PAMOJA NA FIDIA Nimepitia mijadala mingi na malalamiko mengi ya WALIMU dhidi ya CWT,Hotuba ya Rais Magufuli na Mkuu wa Wilaya wa Hai dhidi ya madudu ya CWT Nashauri,CWT wanamengi ya kutujibu Walimu kwa KUTUMIA...
  4. balimar

    JamiiForums Tanzania Nagombea nafasi ya Urais CWT

    Naomba sana kura yako, Mimi naweza kuwa Rais Bora kabisa wa Chama cha Walimu Nina SHAHADA ya Uzamili katika Elimu toka Udsm 2017 Pia nina degree na Cheti cha Ualimu nilichosomea Ilonga ttc 2003. Uzoefu Ni mwenyekiti wa Cwt Wilaya kwa sasa Nina uzoefu kwenye uundaji wa vikundi na uwekaji wa...
  5. chamilo nicolous

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi CWT: Wakuu wa Shule na Ma-MEK hawafai

    -Wengi wao ni vibaraka wa Wakurugenzi na Maafisa Elimu (DEO);Wametumwa --Wakuu wa shule, Waratibu Elimu Kata (MEK) hawafai kuchaguliwa Siku na Tarehe ya kufanya uchaguzi wa kupata viongozi wa Chama Cha Walimu (CWT) utatangazwa muda wowote, hii ikiwa ni baada ya tarehe ya awali kuhairishwa...
  6. Mdaiwa-Sugu

    JamiiForums Tanzania Madudu ya Chama cha Walimu (CWT)

    CWT inavuna pesa za walimu isivyohalali kila mwezi kutokana na ukweli kuwa kwa mujibu wa sheria zilizopo hawana mamlaka ya kuchukua ada ya uanachama kwa asilimia ya mshahara wa mtumishi. Nasema hayo kwakuwa hakuna sheria yoyote nchini Tanzania inayowaruhusu kufanya hivyo; Kuna sheria ya mwaka...
Back
Top Bottom