crown

A crown is a traditional symbolic form of head adornment worn by a monarch or by a deity (as distinct from a hat), for whom the crown traditionally represents power, legitimacy, victory, triumph, honor, and glory, as well as immortality, righteousness, and resurrection. In art, the crown may be shown being offered to those on Earth by angels. Crowns may also be in the form of a wreath of flowers, oak leaves, or thorns. In religious art, a crown of stars is used similarly to a halo. Crowns worn by rulers often contain jewels.

View More On Wikipedia.org
  1. C

    Toyota crown

    Kwa yeyote mwenye uzoefu na toyota crown grs 180 naomba atoe uzoefu wake hapa 4gr itapendeza zaidi. Kipengele cha mafuta weka pembeni, chapa interms of reliability wa vipuli na engine, common problem ni nini and etc
  2. darautobroker

    Car4Sale Crown athlete yenye sunroof na sport rims iko sokoni

    Bei/Price🏷️👉🏽TSH 25M Call📞+255 747 999 927 TOYOTA CROWN Year: 2007 Engine: 2,490Cc Mileage: 66,000+ Transmission: AUTO SunroofSport RimsLeather Seats Android Radio -100% Duty Paid -Free Registration -wap Deals Allowed
  3. K

    Premio vs crown vs mitsubishi RVR

    Kunae uncle wangu , bachelor baada ya kumaliza chuo na kupata kazi ameanza kujipata , anataka kununua usafiri wa kumsaidia kwenye shughuli zake za kila siku jijini Dar es Salaam . Ameniomba ushauri kati ya Crown, Premio new model au RVR ni ipi itamfaa zaidi based on comfort, running and...
  4. P

    Ushauri kwa Crown FM hasa kipindi cha michezo asubuhi

    Kwanza niwapongeze kwa kazi nzuri mnayoifanya hasa kwa kipindi chenu cha mochezo kinachoongozwa na mkuu wa dawati bwana JEMEDARI SAID KAZUMARI Ushauri wangu n kwenu ambao mnaongoza kipindi yaan bwana JUMA AYO , PAUL MKAI NA JESCA MHAGAMA kuna mchambuzi hapo anaitwa JEFF LEA naona haheshimu KITI...
  5. Kipenzi Changu

    Crown Media acheni kuilisha maneno Chadema kuhusu maridhiano

    https://www.youtube.com/watch?v=jfQlh6d74a0 Katika taarifa yao wameonyesha Chadema wapo tayari kukaa mezani. Lakini katika majibu yake Lyenda ameeleza vizuri kabisa msimamo wa Chadema. Ila huyu jamaa Lyenda ni kichwa sana, sijui Chadema wanatoa wapi hawa watu
  6. Mtoto wa tajiri

    Car Battle Thread: 2011 Ford Crown Victoria vs 2011 Toyota Crown

    Karibuni kwenye uzi wa kujadili mpambano kati ya magari yanayofanana kigezo na kimuundo. Leo ni 2011 ford crown victoria vs 2011 toyota crown.2011 toyota crown
  7. Zirconium

    Huduma za Kofia Ya Jino ( Dental crown)

    Kuweka jino dental crown ni muhimu hasa Kwa meno ambayo yameoza zaidi ya asilimia 50% ya kiasi Cha ukubwa wa jino. Vile vile hata ambayo yapo chini ya asilimia 50 % unaweza shauriwa pia kuvisha kofia ya jino Bandia . Hii husaidia kuongeza uimara na matokeo ya muda mrefu. Hapa Kabla Na Baada Ya...
  8. D

    A Bloody crown

    And a bloody headscarf too!! The Standard newspaper (Kenya) wametutumikia Watanzania kwa moyo wa uaminifu sana. Pasipo gazeti hili, dunia isingefahamu uchafu wa Hassani. Ni jambo la heri pia kwa Umoja wa Mataifa kuhamishia baadhi ya Ofisi zao Jijini Nairobi. Hii ni baraka iliyohitajika...
  9. Mr Confidential

    Subaru Forester Xt (Sjg - Turbo) 2015 vs Subaru Forester 2015 (Sj5 - Non Turbo)

    Wakuu natumaini ni wazima wa afya. Nina mpango wa kuagiza Subaru Forester XT (SJG) 2014 - 2016. To be specific ni hii ya 2015 Personal details Income : 2.5M + Net per month plus other businesses. Total family members (4) Safari za mkoani ni 5 hadi 6 kwa mwaka, huko kuna rough road. Safari za...
  10. tonicimmobility

    RC Chalamila: Golikipa asipofungwa leo aje kuchukua crown kwangu

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, Agosti 22, 2025 ametangaza motisha ya Shilingi milioni 20 kwa wachezaji wa Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) kuelekea mchezo wa robo fainali ya Michuano ya CHAN dhidi ya Morocco, unaotarajiwa kupigwa usiku huu katika Uwanja wa Benjamin...
  11. Melki Wamatukio

    Nahitaji connections za redioni hasa hasa Crown fm, Mjini fm, Times fm na E fm

    Wakuu, nimeamua kujiBabu Tale. Nimefikiria mbali sana kimaisha, ikanibidi nitafute wasanii chipukizi wanaopanua makoo yao kwenye viwanja vya mpira nyakati za jioni nikaona wacha niwasapoti kimuziki huenda nitapata chochote hapo baadae hususani kwenye ma show pindi watakapokuwa wakubwa Au kama...
  12. NALIA NGWENA

    Mashabiki wa Montra the future , mwambieni Nikki mbishi alishauliza "where my crown at?? diss ya "my crown" ni utoto unamsumbua tu

    Motra the future tofauti na diss track ukisikiliza nyimbo zake zingine huwezi kumuelewa kabisa, katoa diss trck mwenyewe nadai kuwa ni east africa diss track, ukiisikiliza kachana utoto mtupu ukianzia kuchagua mdundo na punchlines zake kiufupi bado kabisa hana kiwango cha east africa kama...
  13. donlucchese

    Motra The Future ( My Crown )

    Hii diss-track aisee ambayo motra ameitoa like seven days ago ni noma sana according to my ears, Mex Cortez needs a serious comeback. Hajamuacha mtu salama humo hadi kina Freddy Mullah, Conboi etc. Wametajwa. Hii inanikumbusha few year ago, pale Big Sean alivyotoa ngoma ya Control ( Ft...
  14. Dalton elijah

    Wanasheria wa Yanga, Excellent Attorneys wamempa Demands Notice Reporters wa Crown, Nassib Mkomwa

    Wanasheria wa Yanga, Excellent Attorneys wamempa Demands Notice ripota wa Crown, Nassib Mkomwa aliyepost kuwa Yanga ipo tayari kukosa ubingwa wa Ligi na kukatwa alama 15 kwa kutocheza Derby. Wamemzuia kutoa taarifa za yanga o bila uthibitisho wa viongozi na aombe radhi ndani ya 24 hrs.
  15. aka2030

    Crown media uongozi wenu wa juu unatuchanganya hebu uwekeni wazi

    Mtu mmoja anaonesha ananafasi zaidi ya moja Watuwekee uongozi ili tujue kila jambo mtu wa kumfikia
  16. M

    Wakuu Sh 6M mwenye Crown royal saloon

    Wakuu habari zenu. Nina sh 6m naulizia mwenye Toyota crown royal saloon anauza ameichoka aweke picha na namba ya simu tufanye biashara Au kama hata mwenye Mark X aweke namba Asante
  17. GENTAMYCINE

    Kumbe Mtangazaji Mchambuzi Hans Rafael Kiburi chako chote cha Unazi wako ni kwakuwa umepata Ofa Kubwa Azam Media na karibuni unaachana na Crown Media?

    Mchambuzi mahiri Hans Rafael ameomba kuvunja mkataba wake na Crown FM 👑, hatua inayozua maswali kwa mashabiki wa uchambuzi wa michezo. Taarifa nilizozipata kutoka kwa chanzo changu cha uhakika zinaeleza kuwa Hans amepewa ofa nono na Azam Media, jambo lililomsukuma kuomba kuondoka Crown FM...
  18. GENTAMYCINE

    Mtangazaji na Mchambuzi Hans Rafae wa CROWN FM jiangalie sana kwani Wewe bado ni Kijana na una Safari ndefu utajiharibia

    Haiwezekani kila uwapo Kipindini Wewe 95% ya Majadiliano yako / Uwasilishaji wako ni kuisema tu vibaya Simba SC ila Yanga SC ambao Mdhamini wao anakulipa Kisiri huku Rais wa Klabu hiyo akiwa ni Rafiki yako kutokana na Kujipendekeza Kwako Kwake wala huisemi. Umejaa tu Unafiki, Wivu na Chuki kwa...
  19. ngara23

    Singida Black Stars wamtolea uvivu coach Aussems na Crown FM Kwa kupotosha habari

    Singida BS wamesema kocha wao aliondolewa kikosini kwakuwa hakuwa na sifa za kukaa kwenye bench kutokana na kanuni na matakwa ya bodi ya ligi na TFF wala sio eti Kwa sababu alipanga kikosi kilichoipa upinzani Yanga Singida BS wameongeza kuwa coach Aussems alipenda maisha ya Anasa ya kula bata...
  20. Dialogist

    Hivi Uongozi Wa Taji Media, Hua Unasikiliza Kipindi Chao Cha Michezo Cha Asubuhi...???

    Wakuu Habarini... Wakati Hii Redio Inakuja, Ilianza Kwa Kishindo Sana Na Wengi Tukafurahi Kwamba Sasa Tunapata Uwanda Mpana Wa Kupata Habari Toka Vyanzo Na Redio Mbalimbali. Ila Kuna Mbinu Ambayo Waliitumia Kwa Kushawishi Na Kuiba Wafanyakazi Wenye Uzoefu Toka Redio Zingine. Ni swala zuri...
Back
Top Bottom