Huduma za Kofia Ya Jino ( Dental crown)

Huduma za Kofia Ya Jino ( Dental crown)

Zirconium

Senior Member
Joined
Feb 1, 2025
Posts
189
Reaction score
238
Kuweka jino dental crown ni muhimu hasa Kwa meno ambayo yameoza zaidi ya asilimia 50% ya kiasi Cha ukubwa wa jino. Vile vile hata ambayo yapo chini ya asilimia 50 % unaweza shauriwa pia kuvisha kofia ya jino Bandia . Hii husaidia kuongeza uimara na matokeo ya muda mrefu.

Hapa Kabla Na Baada Ya Matibabu
Booking & Appointment 📅 0658950085
Location Kibaha - Pwani, Magomeni- Dar es salaaam
IMG_7855.jpeg
IMG_7857.jpeg
IMG_7857.jpeg
 
Ingekuwa vema ungeweka na gharama zake kwa faida ya members!, wahitaji ni wengi
Ni sahihi kuweka gharama lakini kila mtu yupo na tatizo tofauti , hivyo ni vizuri akawasliana moja kwa moja tujue tatizo lake ndyo tutajua na gharama zake unaweza weka bei kumbe tatizo lake ni tofauti
 
Uimara wake ukoje? Yanadumu kwa muda gani?
Yanadumu zaidi ya miaka 25+ kulingana materials zilizotumika kutengeneza meno bandia , karibu kwa huduma na Elimu unaweza ipata kwa kuwasiliana nasi 🙏
 
Kuweka jino dental crown ni muhimu hasa Kwa meno ambayo yameoza zaidi ya asilimia 50% ya kiasi Cha ukubwa wa jino. Vile vile hata ambayo yapo chini ya asilimia 50 % unaweza shauriwa pia kuvisha kofia ya jino Bandia . Hii husaidia kuongeza uimara na matokeo ya muda mrefu.

Hapa Kabla Na Baada Ya Matibabu
Booking & Appointment 📅 0658950085
Location Kibaha - Pwani, Magomeni- Dar es salaaam
View attachment 3524471View attachment 3524472View attachment 3524472
Ukiachana na Dental Crown / Kofia Ya Jino

Kuna Huduma ya Meno bandia ya Kuvaa na Kutoa ( Removable Partial Dentures) ambayo yatakusaidia

-Kutafuna Chakula Vizuri
- Kuwa na Muonekano mzuri
-Kulinda meno mengine Yasiharibike
- Kujiamini na Kuwa na tabasamu bora

Unaweza Fika Offisini kwetu kwa Kuweka Appointment : 0658950085 ( DAR ES SALAAM , PWANI )
IMG_3740.jpeg
IMG_3741.jpeg
 
Piga kazi tuko nje y muda.
Kazi ni kipimo cha utu
 
Back
Top Bottom