crown

A crown is a traditional symbolic form of head adornment worn by a monarch or by a deity (as distinct from a hat), for whom the crown traditionally represents power, legitimacy, victory, triumph, honor, and glory, as well as immortality, righteousness, and resurrection. In art, the crown may be shown being offered to those on Earth by angels. Crowns may also be in the form of a wreath of flowers, oak leaves, or thorns. In religious art, a crown of stars is used similarly to a halo. Crowns worn by rulers often contain jewels.

View More On Wikipedia.org
  1. hp4510

    JamiiForums Tanzania Naitaji Toyota Crown Athlet ya mwaka 2011

    Jaman naitaji Toyota crown athlet ya mwaka 2011 Iwe namba E Ikiwa Rangi nyeupe au black no problem Price yangu ni milion Tisa Niko dar es salaam Kama kuna mtu anayo please ndm
  2. A

    JamiiForums Tanzania The United States Treasury has sanctioned Crown Bus Services and two Kenyans for financing the Al Shabaab militia

    The US Treasury said Crown Bus Services has supported al-Shabaab’s logistical operations/FILE ANTI-TERROR WAR US Sanctions Crown Bus, Associates Over Al Shabaab Financing OFAC named Kenya-based Faysal Yusuf Dini (Dini), working closely with Mohamed Jumale Ali Awale (Awale), as an al-Shabaab...
  3. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Kama Crown FM imezinduliwa bila kuwa hewani, litakuwa ni kosa kubwa la kibiashara

    Imagine watu wanataka kupata radha, ubunifu na vipindi tofauti. Uzinduzi umefanyika halafu kitu kisipatikane. Kwanza niseme nimetune channel hiyo zaidi ya mara sita ila sisikii kitu, kwenye kurasa za Crown FM sioni content, Inaonekana kama ilizundiliwa kuwaweka watu tayari wakati wenyewe wakiwa...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Crown Prince wa Iran - Nchi ya Iran kwa sasa ingekuwa Japan ya Mashariki ya Kati

    UTAWALA WA SASA IRAN UNAMULIKWA KWA KURUNZI KALI, NA SABABU ZA IRAN KUFADHILI VURUGU MASHARIKI YA KATI Interview na Crown Prince Reza Pahlavi mwana wa Shah wa mwisho wa Iran Shah Mohamed Reza Pahlavi https://m.youtube.com/watch?v=Gn_glW0wGQ8 Source : Valuetainment Crown Prince Reza Pahlavi...
  5. Jozedan56009

    JamiiForums Tanzania Ipi nzuri kati ya Crown Athletes grs200 na Mercedes Benz C200 Compressor

    Habari wakuu, Wenye uzoefu na hizo gari mbili ipi iko vizuri?
  6. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Ila jamani crown nyeusi ni bonge la gari, inavutia kweli

    CLASS AND ELEGANCE
  7. and 998 others

    JamiiForums Tanzania Toyota Crown Japan Ni taxi

    Tunakumbushana tu kuwa Toyota crown Japan ni taxi tu. So tupunguze shobo na kuvimba bila sababu.
  8. salehe magari

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Nauza magari ya aina mbalimbali

    NISSAN DUALIS *CROSS RIDER Price :17.5mls (GARI NI MPYA 100%) Year 2010/2011 Engine Cc 1990 Full Ac Low mileage Rim sports 0688591584
  9. Abuu Kauthar

    JamiiForums Tanzania SOLD: Crown Athlete kali sana

    PRICE/BEI:14.8M TOYOTA CROWN ATHLETE YEAR: 2004 ENGINE CAPACITY: 2490Cc ENGINE CODE: KILOMETER: 82,000 AUTOMATIC TRANSMISSION COLOUR:SILVER SPORTS RIMS,MUSIC SYSTEAM,NEW TYRES
  10. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Katika ukanda wote wa kusini sijaona wa kuwafikia wanyakyusa katika elimu na power, They have the southern crown!

    Naweka facts kwa jinsi zilivyo based on demographics, so hakuna ukabila hapa bali ni demographical facts. Lets just admit kina Mwaisa they have the southern crown, Southern namaanisha mikoa ya kusini Mbeya, Songwe, Rukwa, Iringa. Njombe, Ruvuma, Mtwara, Lindi, Nawakumbusha tena Power...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Mshindi wa kampeni ya SimBanking akabidhiwa gari aina ya Toyota Crown

    Mkuu wa Wilaya ya Dodoma, Jabir Kimweri (mwenye kanzu) akimkabidhi mshindi wa kampeni ya Benki ni SimBanking, Mayani Yahaya Hassan mkazi wa Dodoma funguo ya gari baada ya kuibuka kidedea katika droo iliyochezwa mapema mwezi huu. Wengine pichani ni wafanyakazi wa Benki ya CRDB ambao walishiriki...
  12. T

    JamiiForums Tanzania Cresta 1g kavu vs crown

    Wakuu naomba msaada wa utofauti wa matumizo ya mafuta kati ya crown na cresta 1g kavu
  13. Concoo

    JamiiForums Tanzania 2008-2009 Toyota Crown Hybrid the Next trending Car in TZ

    Hili gari origin yake ni crown majesta, engine 3.5Ltr 😬😬lakini Usiiogope 😄😄maana ni HYBRID, mfumo wake ni CVT yaani kiufupi ulaji wake wa mafuta ni kama wa 2.0Ltr engine cars😋😋 kwa average ni 15km/ltr . Hii ni premium Edition ya crown iliyotengenezwa miaka iyo na kama tujuavyo kwa Majesta ndio...
  14. Mwizukulu mgikuru

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Gari zuri Toyota Crown namba D inauzwa

    Gari nzuri ipo mwanza mjini ni Toyota crown namba D..rangi ya silver ipo katika hali nzuri bei ni millioni 10 japo maongezi yapo..0769344686 nipigie tuzungumze.
  15. Bexb

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Crown royal namba 'DSC' inauzwa 9.5m

    Habari ya mchana waungwana, gari hii hapa haina shida yoyote ni nzima kabisa. Gari ipo Goba njia ya kwenda Madale. Bei ni 9.5 pekee. Ukitaka kuiona, kukagua na kumaliza ama picha zaidi nicheki chap 0755963775 calls/WhatsApp
  16. twafa-kali

    JamiiForums Tanzania Hdraulic oil kwa Crown Athlete

    Tafadhali wenye hizo gari mnatumia hydraulic oil aina gani ambazo ni recommended? Asante
  17. Bavaria

    JamiiForums Tanzania 2023 Toyota Crown

  18. goroko77

    JamiiForums Tanzania Billionaire Shillah amzawadia pisi kali gari aina ya Crown

    Nabii huyu Ni Nani ?pesa anazipataje yey ni kweli ni tapeli Kama wanavyosema watu kuwa tapeli au Ni kijan mchapa Kaz Basi tusema wivu tu kwa kuwa pia anaonekana na pisi Kali na kula Bata hapa jiji dsm Kjn Ni mchapakaz kwani nimeona mirad Yake ya nguruwe na kuku hata tukisema sadaka anazitumia...
  19. Mbimbinho

    JamiiForums Tanzania Nichague ipi kati ya Nissan Fuga New model au Toyota Crown new model

    Wakuu kwema. Naombeni ushauri kwenu wataalam, nataka ninunue Sedan siku chache zijazo, na gari hizo mbili zote New model Fuga (Hy51) na Crown (Grs200) ndio nimezipenda. Ushauri wenu, ipi nichukue? Sent using Jamii Forums mobile app
  20. S

    JamiiForums Tanzania Crown Prince wa Abu Dhabi (UAE) akiri haki ya msingi ya Kremlin kuhakikisha usalama wa taifa la Russia

    Crown Prince wa Abu Dhabi ktk United Arab Emirates, Mohammed bin Zayed Al Nahyan amesema kuwa anaamini kuwa Russia ina haki ya kuhakikisha usalama wa taifa hilo (Russia) hauhatarishwi. Maneno hayo kiongozi huyo ameongea alipokuwa akizungumza kwa simu na rais wa Russia, Putin. Viongozi hao...
Back
Top Bottom