crown

A crown is a traditional symbolic form of head adornment worn by a monarch or by a deity (as distinct from a hat), for whom the crown traditionally represents power, legitimacy, victory, triumph, honor, and glory, as well as immortality, righteousness, and resurrection. In art, the crown may be shown being offered to those on Earth by angels. Crowns may also be in the form of a wreath of flowers, oak leaves, or thorns. In religious art, a crown of stars is used similarly to a halo. Crowns worn by rulers often contain jewels.

View More On Wikipedia.org
  1. Kadwanguruzi

    JamiiForums Tanzania Toyota Mark X 2007 na Crown 👑 Athlete 2007 ipi yenye better fuel efficiency

    Habari wadau, naomba kuuliza, ni ipi kati ya Mark X 2007 na Crown Athlete 2007 yenye fuel economy kuliko nyenzake? Nafaham zote zina zinatumia engine ya 4GR japo kwa Mark X Kuna pia 2GR na 3GR ile ya Cc 3000. Lakini hapa namaanisha ile 4GR ya cc2500 2WD na Athlete Crown yenye cc2500 2WD...
  2. ngoja ngoja

    JamiiForums Tanzania TAA YA CROWN ATHLETE INAUZWA!!!

    Rejea kichwa cha habari hapo juu. Jana pasipo bahati maeneo ya posta clock tower mtaa wa indira gandi nimeigonga crown Athlete upande wa kulia taa ya nyuma. nilikua nina canter na gari imepaki karibu na kona hivyo tairi ya nyuma ikaigonga lensi ya taa hiyo wakati nakata kona. Taa ni nzima na...
  3. Satirical Yet Awesome

    JamiiForums Tanzania Crown Media ni bora kuliko Wasafi Media

    Kwa kipindi kidogo ambacho crown media imeanza kazi nadhani tunaweza sema ni bora kuliko Wasafi na hapo bado haina hata mwaka. Sijasema kwamba wasafi hamna vipindi vizur ila most of their contents ni mambo ya umbea-umbea tuu ambayo hayana maana. Kadri siku zinavozidi kwenda itazidi kuimarika...
  4. Mwl.RCT

    JamiiForums Tanzania The Crown of Doubt: A Man's Guide to Navigating the Uncertainties of Marriage

    The Crown of Doubt: A Man's Guide to Navigating the Uncertainties of Marriage Marriage, often portrayed as a fairy tale with a guaranteed happy ending, is in reality a complex journey fraught with uncertainties. For many men, the pressures of societal expectations, personal insecurities, and the...
  5. Kasri Homes Tz

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Toyota Crown Royal For Sale (Powerful For Masafa ya Mbali na Karibu)

    • Condition: Used in Tanzania • Second condition: Mint • Registration: D • Document: Full • Status: Duty & Insurance paid • Price: TZS 20 million • Location: Dar (0767157788) . ✓ saloon ✓ white ✓ year 2010 ✓ engine 4GR ✓ petrol ✓ cc 2490 ✓ seat 5 ✓ automatic ✓ gear stick shift ✓ from...
  6. BabaMorgan

    JamiiForums Tanzania Crown Media ni kama wamepania sana

    Team ya Crown Media ni kama wapo serious na kazi kama watakuwa na consistency kwa muda mrefu basi ni wazi kuwa atachange tasnia ya media bongo Tz(game changer). King Kiba anastahili kupewa pongezi kuanzisha project kama hii sio jambo dogo licha ya uhitaji wa rasilimali muhimu kama fedha pia...
  7. aka2030

    JamiiForums Tanzania CEO wa JKT, Jemedari Said ataweza kuikosoa timu hiyo redioni Crown FM?

    Nauliza tu huyu jamaa ambaye huku ni mchambuzi wa mpira Crown FM huku ni CEO wa JKT Tanzania ataweza kutofautisha vipi haya mawili? Asije kuongea kwa hisia akajikuta amefungiwa muda mrefu TFF
  8. salehe magari mazuri

    JamiiForums Tanzania Car4Sale CROWN ATHLETE ONSALE

    ON SALE🚘 (DLQ) CROWN ATHLETE KALI 0688591584 LOW MILEAGE 84000 YEAR 2OO6 ENGINE 2490 💺 🫧 CLEAN SEAT *Price (8.900.000) ✅Exchange allowed 📍Loc Dsm
  9. B

    JamiiForums Tanzania Ofisi za crown FM zpo wap?

    Wakuu naomba kuuliza ofisi za crown FM radio zpo wapi? Nikaombe Kaz na mm ya photographer na videographer na uandaaji wa vipindi Mwenye kufahamu anokuze .. ,🙏🙏
  10. N

    JamiiForums Tanzania FCC, TCRA, Pitieni jina la Crown Fm linashabihiyana na Clouds Fm!

    Jana (Julai 01' 2024) ndio siku rasmi Crown Fm wameanza kutangaza baada ya kumaliza majaribio, na leo ( Julai 02' 2024) wamerusha kipindi cha michezo. Kwa mtazamo wangu naona jina la Crown Fm na Clouds Fm kama hautakuwa makini katika usikilizaji unaweza sikIa kama wametamka Clouds Fm, na hiyo...
  11. E

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna uwezekano wa kubebana kwa kufuatana Ndani ya Crown ?

    Kuna story ya ulawiti imenifanya niwaze sana hili suala linawezekanaje ndani ya crown . Wazoefu wa mambo kazi kwenu
  12. M

    JamiiForums Tanzania Jinsi Crown media ilivyoajiri. Ni somo kubwa kwa Graduates wanaotafuta ajira. Zama zimebadilika

    Habari wadau. Kwenye media industry ya Tanzania kuna media mpya imeanzishwa ambayo inasemekana inamilikiwa na Joseph Kusaga , salim kikeke wakishirikiana na msanii alikiba Kusaga ni mzoefu mmiliki wa media nyingi ikiwemo cloudsfm, wasafimedia etc. Mfumo wa kuajiri uliotumika kupata...
  13. salehe magari mazuri

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Crown new model on sale

    ON SALE (EES) - Price 23.7ml 0768160670 👑 CROWN ATHLETH 🆕✔️ MODEL KALI SANA Color 🖤 BLACK MWAKA * 2009* Engine 2490CC Low mileage 55000 New tyre Clean sana 0768160670 EXCHANGE ALLOWED
  14. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kwanini nikimuangalia Diamond naiona Sura ya Umiliki wake wa Wasafi Media, ila kila nikimuangalia Ali Kiba siioni Sura ya Umiliki wa Crown Media?

    Kwa tuliosoma vyema Psychology hasa ile ya Communication naomba tutafute Clips za Interviews za Diamond kuhusu Umiliki wake wa Wasafi Media kisha naomba tuchukue na Clips za Interviews za Ali Kiba na Umiliki wake wa Crown Media ( halafu zingatieni pia katika Body Languages zao ) na mkimaliza...
  15. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Wakuu hivi Crown ni gari ya ndoto za vijana wengi Bongo?

    Wakuu hivi Crown ni gari ya ndoto za vijana wengi Bongo? Tupia maoni yako hapo?
  16. BARD AI

    JamiiForums Tanzania DJ D Ommy ajiunga na Crown FM kutoka Clouds FM

    Kituo cha Redio kinachomilikiwa na Nyota wa Bongo Flava pamoja na Mtangazaji Salim Kikeke kimemchukua DJ D Ommy aka “The INTERNATIONAL DJ! JITU na sasa ni “Head of Music Department” hapa CROWN Media. @djdommy pale ni Nyumbani. WIKI YA MATUKIO Imeanza na TUKIO la kwanza la Kimkakati Limepigwa...
  17. B

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Nauza magari ya aina mbalimbali

    Altezza inauzwa million 5, Dar es Salaam… mwaka wa kufosi huu lazma uwe na ndinga yako. Kwa mawasiliano 0612630936
  18. Intelligent businessman

    JamiiForums Tanzania Salim Kikeke ajiunga rasmi na Crown FM & TV

    Mtangazaji Nguli, Mwanahabari na Mwandishi wa habari mashuhuri Afrika Mashariki na Kati, Salim Kikeke amejiunga na Redio/TV ya Crown FM/TV inayomilikiwa na Alikiba. Hii ni baada ya Alikiba kusasisha video inayoonyesha Salim Kikeke akikataa kupokea simu ya Wacha Fu FM inayotafsiriwa kuwa ni...
  19. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania Salim Kikeke rasmi kwenda Crown TV

    Salama Wakuu? Watu walitabiri na kutabiri mara Kikeke anaenda TBC, mara anaenda Wasafi, mara atalamba teuzi za Rais Samia akaungane na Zuhura, sasa kutabiri kumeisha, Kikeke huyooo kwa CROWN. Mjadala sasa umeisha. Ila hii mbinu ya kudiss kuonesha anaenda sehemu fulani kwa kudiss redio nyingine...
  20. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Dullah Planet aliyeacha kazi EATV sasa rasmi ahamia CROWN FM ya Ali Kiba

    Aliyekuwa mtangazaji nguli wa EATV na East Africa Radio, Dullah Planet, Mjukuu wa Wambua rasmi ametambulishwa na kukaribishwa kwenye Radio ya Ali Kiba, Crown Radio. Ambapo tayari accounts za instagram zimepost kuonesha kumkaribisha nguli huyo wa vipindi vya TV na Radio. Wiki chache zilizopita...
Back
Top Bottom