Mimi ni mteja wa Benki ya CRDB zaidi ya miaka 10 sasa, maana kwa ninavyokumbuka niko pale kama mteja wao tangu mwaka 2008,
Tangu nilipoijua CRDB mwaka 2008 huduma walizokuwa wanatoa ndio zilinifanya nijiunge na benki yao, ila kwasasa huduma wanazotoa zitanifanya niikimbie benki yao na kurudi...