covid-19

Testing for the respiratory illness coronavirus disease 2019 (COVID-19) and the associated SARS-CoV-2 virus can be done by polymerase chain reaction (PCR) testing, nucleic acid tests and ELISA antibody test kits. One study published in February 2020 claims that chest CT scans perform better than PCR tests.

View More On Wikipedia.org
  1. COVID-19: Waziri Mkuu Kassim Majaliwa atangaza ongezeko la Wagonjwa Wapya 196. Visa vyafikia 480

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Ametangaza Ongezeko la Wagonjwa Wapya wa Corona Nchini 196. Tanzania Bara Wagonjwa 174 na Zanzibar 22. Amesema kuwa visa vya maambukizi ya Virusi vya Corona nchini Tanzania vimeongezeka na kufikia 480. Vifo vingine 6 vya wagonjwa COVID-19 vimeongezeka na kufanya...
  2. Kwanini Tanzania hakuna daily briefing juu ya Corona virus pandemic?

    Nauliza hili swali sababu kama wananchi tunataka kufahamu ukweli juu ya hili janga. Tunataka waziri wa afya, au msemaji mkuu wa serikali kila siku awe anatoa taarifa zilizo rasmi. Mbona nchi za wenzetu ambazo zimekumbwa na hili janga kila siku lazima watoe taarifa rasmi kuhusu...
  3. Je, kama Taifa, ikigundulika kwamba ama tunaficha au tunatoa takwimu zisizo sahihi kuhusu janga la COVID-19, tunaweza kuwajibishwa kimataifa?

    Ziko taarifa kuwa upo uchunguzi unaoendelea kuhusu tuhuma kuwa China kwa makusudi ama ilizembea au ilizuia utoaji wa taarifa sahihi kuhusu chanzo na kuenea kwa coronavirus pamoja na idadi ya vifo vilivyotokana na janga hilo. Ikiwa tuhuma hii itathibitishwa, kuna uwezekano wa China kuchukuliwa...
  4. Covid-19 Special Commonders on a mission

  5. Marekani yatoa msaada wa dola milioni 6.6 (milioni 705 za Kikenya) ili kusaidia katika mapambano dhidi ya COVID-19

    Vitivi cha kuzuia na kudhibiti Magonjwa cha Marekani (CDC) vimejitolea jumla ya dola 6.6 milioni sawa na (Ksh.705 milioni) kwa nchi ya Kenya ili zisaidie katika shughuli za kuzuia na kukabiliana na ugonjwa wa Covid-19. Katika taarifa iliyotolewa Jumanne, inaeleza kuwa Balozi wa Marekani nchini...
  6. Madagascar wapata dawa ya asili ya Corona

    Wakati wanasayansi duniani wakihangaika kupata chanjo na tiba ya virusi vya corona, rais wa Madagascar Andry Rajoelina amezindua dawa ya mitishamba ''inayotibu'' Covid-19 . Hata hivyo Shirika la Afya Duniani (WHO) linasema kuwa hakuna ushahidi wa tiba ya Covid-19 baada ya Bwana Rajoelina...
  7. Mtazamo, Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Serikali na Wananchi kuhusu Ugonjwa wa Corona - COVID-19

    Uzi huu ni mrefu. Ukichangia naomba ujikite Zaidi katika kutoa maoni yako lakini kukosoa kunaruhusiwa. Binafsi nadhani maamuzi haya yangechukuliwa mwezi mmoja uliopita pale Waziri Mkuu alipotangaza kuzifunga shule na vyuo, lakini haikuwa hivyo badala yake shule zilifungwa kisha hakukuwa na...
  8. Infodemics about COVID-19 poses challenge to WHO

    Infodemic (plural infodemics) means excessive information about a problem or situation such that the solution is made more complex( information +epidemic) In today's world pushed with the advancement of science and technology the production, and diffusion of information has increased...
  9. China lazima iwajibike kwa uzembe iliyofanya Wuhan kusababisha janga la covid-19 Duniani

    Wana JF, Janga la Covid-19 lilianzia nchini China katika mji wa Wuhan-Hubei Province mwezi Desemba 2019! Mpaka leo Taifa la China halijaweka hadharani nini hasa kilitokea kwenye Maabara za WUHAN Institute of Vilorogy(WIV) hadi kupelekea mlipuko huu wa Covid-19. China imeshakiri kuwa kabla ya...
  10. Wizara ya afya watalaamu wenu wapo wapi? Tunahitaji taarifa sahihi juu ya ugonjwa wa Covid-19

    Kila mtu sasa hivi amechanganyikiwa, watu wanaishi kwa hofu maana elimu au taarifa kuhusu huu ugonjwa zinachanganya. Mimi binafsi nilitarajia kuwa hata kila baada ya saa moja anakuja mtaalamu wa wizara ya afya na kutoa elimu juu ya huu ugonjwa kwenye Tv. Mfano mmoja tu ni kwenye kuvaa mask ni...
  11. I

    Zambia kufunga mpaka wake na Tanzania kwa hofu ya kuenea kwa COVID-19

  12. H

    Baada ya Covid-19 kuimiza sana Tanzania, pia itaumia sana Kiuchumi

    Huwezi kuficha Moshi kwa kufunga milango kwasababu, mambo mawili yatatokea; Kwanza, Utaumia sana wewe uliyeko ndani kwasababu ya Suffocation na PILI Moshi utachafua sana NYUMBA wakati MOSHI unatafuta pa kutokea na Lazima utatoka tu. Raisi Mh Magufuli ni binadamu wa kawaida na pia hajui kila...
  13. Vitamin D can help to reduce the risk of covid-19

    Coronavirus: Should I start taking vitamin D? Public Health England is recommending people consider taking daily vitamin D supplements throughout the spring and summer as the coronavirus lockdown continues. Normally, many of us get enough of it by spending time outdoors. Our skin makes it...
  14. RPC Muroto: Tulizuia Mkutano wa Mbowe ili kumlinda na maambukizi ya COVID-19

    Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma, Gilles Muroto, amesema kuwa jana walizuia mkutano wa Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe kwa lengo la kumlinda yeye pamoja na waandishi, kutopata maambukizi ya COVID-19 na kwamba kama alikuwa na jambo basi angeenda kulisemea Bungeni. Pia soma > Polisi Dodoma...
  15. M

    Mahasimu wa rais Buhari wanadai COVID-19 imemuua body guard wake wa karibu

    Personal body guard wa rais wa Nigeria ndugu Mohamadou Buhari afariki dunia jana. Ofisi ya rais imetaarifu Lawal Mato alifariki kwa kisukari ambayo imemsumbua kwa muda wa miaka mitatu. Ila Mahasimu wa Buhari ambao bado wanaendelea kusheherekea kifo cha aliyekuwa powerful chief of staff wa...
  16. Rais Magufuli: Hakuna Lockdown kwa Dar wala Tanzania, NEVER! Tusiwatishe watanzania, hofu ni ugonjwa mkubwa kuliko Corona

    Raisi wa jamhuri ya muungano wa Tanzania Mhe. Magufuli anatarajiwa kuzungumza mubashara na Wakuu wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama kuhusu ugonjwa wa Corona kutokea Chato saa 9:45 alasiri leo tarehe 22.4.2020 -- HOTUBA YA RAIS MAGUFULI (KWA UFUPI) Rais ameshauri tuendelee kutumia njia za...
  17. COVID-19: Two Wuhan Doctors Turn Black After Spending Weeks In ICU

    Wuhan doctors who were critically ill with coronavirus wake up to find that their skin has turned black after virus damaged their liver Dr Yi and Dr Hu were left fighting for their lives after catching the virus at work Doctors saved them by hooking them to a life-support machine called ECMO...
  18. Mapambano ya Corona: Amnesty International yasema Serikali ya Tanzania inaminya habari

    Kwa nini serikali yetu kila siku inapenda iwe inakosolewa tuu kwa mambo ambayo inaweza kutumia weledi na kuepusha migongano na jumuia za kimataifa? Nini kiini hiki cha jeuri hii? -- Tanzanian authorities on 20 April suspended Talib Ussi Hamad, a journalist with the Tanzania Daima daily...
  19. Covid-19: Serikali Ilinde wataalamu wetu kwa kuwapa likizo

    Amani Iwe Kwenu Napenda kutoa wito kwa Serikali Yetu ya Awamu ya Tano Kuwapa Likizo Wataalamu wetu kada mbali mbali, hasa waliopo Dar Es Salaam, ili kuwaepusha na janga Hili la Corona Virus Desease 2019. Nimewasiliana na Mzee mmoja mfanyakazi wa TBS, Ni mtaalamu aliyesomeshwa kwa gharama kubwa...
  20. Corona: Maiti za Waafrika zitatapakaa mitaani – Melinda Gates

    MELINDA GATES, mke wa bilionea Bill Gates wa Marekani, ameonya kwamba iwapo dunia na hususani Afrika haitachukua hatua za haraka za kukabiliana na janga la virusi vya Corona vinavyosababisha ugonjwa wa COVID-19, maiti za Waafrika zitatapakaa katika kila mitaa ya Afrika mijini na Vijijini. Bi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…