#COVID19 Chanjo ya Johnson & Johnson yaidhinishwa India

beth

JF-Expert Member
Aug 19, 2012
3,275
2,000
Serikali Nchini humo imeidhinisha matumizi ya dharura ya Chanjo ya Johnson and Johnson dhidi ya Ugonjwa wa COVID-19. Hadi sasa Mamlaka za Afya za India zimeidhinisha Chanjo kadhaa ikiwemo AstraZeneca.

Taifa hilo limekuwa likirekodi wastani wa Visa vipya 30,000 hadi 40,000 kwa siku tangu mwezi Julai. Licha ya maambukizi kupungua kutoka 400,000 Serikali imeonya bado hatari ipo.
======

India has reported an average of 30,000 to 40,000 new coronavirus cases every day since July, and the federal government has warned that although cases have dipped from a high of 400,000 daily at the peak of the deadly second wave, the danger has not abated yet.

India has approved Johnson & Johnson's (JNJ.N) single-dose COVID-19 vaccine for emergency use on Saturday, health minister Mansukh Mandaviya said in a tweet.

The pharmaceutical giant had applied for emergency use approval of its vaccine, the company had said on Friday. The shot will be brought to India through a supply agreement with homegrown vaccine maker Biological E Ltd, J&J had said.

Indian health authorities have so far approved the use of vaccines developed by AstraZeneca (AZN.L), Bharat Biotech, Russia's Gamaleya Institute and Moderna (MRNA.O).

Coronavirus cases worldwide surpassed 200 million earlier in the week, according to a Reuters tally, as the more-infectious Delta variant threatens areas with low vaccination rates and strains healthcare systems.

India has reported an average of 30,000 to 40,000 new coronavirus cases every day since July, and the federal government has warned that although cases have dipped from a high of 400,000 daily at the peak of the deadly second wave, the danger has not abated yet.

Source: Reuters
 
The Underboss

JF-Expert Member
Mar 21, 2014
3,895
2,000
For emergency use.

India imeruhusu kutumia J&J kwa matumizi ya dharula.

Maana yake hiyo chanjo itatumika tu pale hakuna chanjo nyingine.

Nchi kama India zimetumia muda mrefu kujiridhisha na matumizi ya hiyo chanjo, sisi imeletwa leo kesho wataalam wetu wanatuambia tukachanje, iko salama, walijiridhisha lini?

Ukisoma form ya ya kujiondoa kwenye liability, wanasema WHO imejirishisha kua chanjo ni salama, kwa nini hawasemi wizara ya afya ya Tanzania imejirishisha kua chanjo ni salama, kwani tumeletewa kuchanjwa na WHO ama na wizara ya afya?

Mimi sichanji.
 
Prince216

Member
Mar 28, 2014
11
45
Wanaochanja na wachanje tu, nikifa itakua siku yangu imefika. Mwisho wa siku Mungu akikuhitaji mja wake hakuna kinachoweza kukuepushia mauti ila corona itakua ni sababu tu ya kuondoka kwangu.
 
malantu

Senior Member
May 26, 2021
104
250
For emergency use.

India imeruhusu kutumia J&J kwa matumizi ya dharula.

Maana yake hiyo chanjo itatumika tu pale hakuna chanjo nyingine.

Nchi kama India zimetumia muda mrefu kujiridhisha na matumizi ya hiyo chanjo, sisi imeletwa leo kesho wataalam wetu wanatuambia tukachanje, iko salama, walijiridhisha lini?

Ukisoma form ya ya kujiondoa kwenye liability, wanasema WHO imejirishisha kua chanjo ni salama, kwa nini hawasemi wizara ya afya ya Tanzania imejirishisha kua chanjo ni salama, kwani tumeletewa kuchanjwa na WHO ama na wizara ya afya?

Mimi sichanji.
Sasa unamwambia nani. Ni uamuzi wako hivyo kaa kimya.
 
kamdudu

JF-Expert Member
Jan 20, 2015
1,071
2,000
msimamo ni ule ule hata mngesemaje mimi huwezi kunichanja hata iweje
 
Bujibuji Simba Nyanaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
61,752
2,000
Haya ni mawazo ya kipumbavu kupindukia.Gonjwa la ndui lilipotishia kuingamiza dunia yote kama binadamu angekuwa na mawazo ya kifala kama haya hii dunia isingekuwa na binadamu sasa hivi.
Nadhani hujaelewa nadharia yangu. Ni wito kwa wanaopinga chanjo, kwamba mwisho wa yote ni mauti, hamna haja ya kuogopa chanjo.
Unapopata chanjo unafungua fursa ya uwezekano wa kuutokomeza ugonjwa wa korona
Kukataa chanjo hakutakufanya uishi milele
 
Kitoabu

JF-Expert Member
Jul 7, 2011
8,556
2,000
For emergency use.

India imeruhusu kutumia J&J kwa matumizi ya dharula.

Maana yake hiyo chanjo itatumika tu pale hakuna chanjo nyingine.

Nchi kama India zimetumia muda mrefu kujiridhisha na matumizi ya hiyo chanjo, sisi imeletwa leo kesho wataalam wetu wanatuambia tukachanje, iko salama, walijiridhisha lini?

Ukisoma form ya ya kujiondoa kwenye liability, wanasema WHO imejirishisha kua chanjo ni salama, kwa nini hawasemi wizara ya afya ya Tanzania imejirishisha kua chanjo ni salama, kwani tumeletewa kuchanjwa na WHO ama na wizara ya afya?

Mimi sichanji.
Alafu wanakutaka usaini, litalo kukuta wao hawahusiki.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom