#COVID19 Mbwa kutumia kuwatambua wenye mambukizi ya corona Rwanda

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Feb 24, 2012
5,000
9,862
Makubalino


Rwanda na Ujerumani wamesaini makubaliano ya ushirikiano katika mradi wa kutumia mbwa kuwatambua walioambukia virusi vya Corona.

Makubaliano hayo yamesainiwa kati ya Balozi wa Rwanda nchini Ujerumani Dkt. Thomas Kurz na Mkuu wa kituo cha kitaifa cha utambuzi wa utambulisha wa watu (RBC) Dkt Nzanimana Sabin.

Mradi huo uliopewa jina la ‘’ utambuaji wa harufu’’ (scent Identification) utawahusisha mbwa waliopewa mafunzo maalum ya utambuzi wa watu wenye maambukizi ya Covid -19 na hivyo kuharakisha juhudi za kuzuwia usambaaji zaidi wa virusi vya corona.
 

Attachments

  • 1606222078066.gif
    1606222078066.gif
    42 bytes · Views: 1
Back
Top Bottom