computer

  1. Namora

    JamiiForums Tanzania Nielekezeni jinsi ya kuunganisha computer na printer

    Wakuu msaada pls. Kuna computer hapa inatumika kama Server, hiyo server ndio imeunganishwa na printer. Sasa nilitaka niunganishe computer zingine zipo kama 7 through wifi ili ziweze kuprint. Yaani mtu akitaka kuprint sio mpaka aende pale kwenye computer iliyounganishwa na printer. Muongozo...
  2. Kelela

    JamiiForums Tanzania Desktop Computer Inauzwa Tsh 220,000 Tu

    IMEUZWA
  3. stineriga

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi vijana wawili form four na wanojua kutumia computer

    NAFASI ZA KAZI Posts: 2 -Elimu kuanzia form four -Uwe unajua kutumia computer, nb kama hujui computer usiombe plz -Ukiwa na certificate ya computer ni kigezo cha nyongeza -Kama una degree au diploma hatukuhitaji usiombe plz -Location ya kazi ni Dar es salaam -Jinsia ya kiume tu -Umri...
  4. MASSOUD AHMED

    JamiiForums Tanzania Msaada: Computer yangu haitaki kuwaka na kuconnect hotspot na device nyengine

    Jamani PC yangu haitaki kuwaka na kuconnect hotspot na device nyengine.
  5. African Geek

    JamiiForums Tanzania Computer4Sale Gaming PC Inauzwa, Complete Setup kwa kazi za production

    Habari wana JF. Nauza Gaming PC yangu Mashine pamoja na Monitor ya LG, keyboard na mouse. Unaweza itumia kwa shughuli mbali mbali za production kama Video Editing, Photo Editing, VFX, 3D Animation, Rendering, etc. Iko very powerful. Specifications hizi hapa chini. Gaming Desktop Computer...
  6. L

    JamiiForums Tanzania Mwenye hp printer drivers naomba, au namna nyepesi ya kuinstall printer hp kwa computer

    Mwenye hp printer drivers naomba ,au namna nyepesi ya kuinstall printer hp kwa computer
  7. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Kadri teknolojia ya computer inavyozidi kujitosheleza kwenye simu, umepunguza au umeacha kabisa kutumia laptop na desktop ?

    Sote ni mashuhuda wa jinsi teknolojia ya computer inavyozidi kuboreshwa kwenye simu za kiasasa smartphones, vitu kibao ambavyo zamani vilitulazimu kuvifanya kwenye desktop au laptop siku hizi tunavifanya kwenye smart phones hasa ukizingatia. Software kibao sikuhizi hata kwenye simu zipo na pia...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Computer4Sale Desktop computer

    Nauza destop Aina ya dell Bei 170,000/= Desktop Aina ya dell Ram 2 Hard disk 320GB CPU DUO 1.6Ghz Hali: Imetumika Mahali: Mkoa wa Dar es salaam Simu no 0658 106 630 Karibu.
  9. Action and Reaction

    JamiiForums Tanzania Aliyesoma diploma ya IT au computer science, Je! aweza kusoma degree ya telecommunication?

    Okay marafiki wa JF....... naomba kujuzwa kuhusu swala hili kama inawezekana kusomea degree ya telecommunication kutokea deploma tajwa!
  10. mocoservices

    JamiiForums Tanzania SOFTWARE Mobile Phones and Computers Services (MOCOS)

    MOCO Services ni Wabobezi wa kurekebisha vifaa vya mawasiliano SIMU na Kompyuta. Tupo Mkoani Mbeya, Mwanjelwa, Barabara ya Juakali. Tumejikita katika ufundi wa "hardware pamoja na software". Ofisi yetu inatumia vifaa vya na teknolojia ya kisasa ili kukidhi mahitaji na matarajio ya wateja wetu...
  11. sanalii

    JamiiForums Tanzania Mmezipata habari za ChatGPT? Automation inatishia ajira za watu

    ChatGPT ni artificial intelligence iliotengenezwa na openAI, unaweza iuliza ikuandikie barua, report, inaweza kutengeneza website na mengine mengi, yajayo ni hatari sana
  12. Toto la bi shayo plumber

    JamiiForums Tanzania Tunauza Plumbing material

    Duka la vifaa vyote vya bafuni na masink ya jikon na dining bila kusahau mabomba ya maji. Duka linapatikana Kariakoo/Gerezani mtaa wa mbaruku/Nyamwezi str,dar es salaam, Tanzania. Mawasiliano:+255677713490 (whatsapp) WAHI UPATE MZIGO MZURI KWA BEI NZURI[emoji1478]
  13. H

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi nimesoma computer science pia nina uzoefu wa ualimu

    Habari ndugu zangu!! Natafuta kazi ili nijikwamue kiuchumi maana mtaani ni kugumu sana. Elimu: Degree ya Computer Science UWEZO 1. Programing (C++, Python, Visual basic) 2. Computer Mantainance and troubleshooting 3. Photocopy Mantainance and troubleshooting 4. Printer Mantainance and...
  14. chiembe

    JamiiForums Tanzania Wataalamu wa computer, nina documents nyingi sana katika laptop, namna gani naweza kuzipanga iwe rahisi kuzipata in a friendly way!

    Nina thousands of documents, nyingine hata kuzipata ni kazi japo za muhimu. Kuna namna naweza kufanya? Au Kuna application inaweza kusaidia? Naiingizaje hiyo application? Any one with experience ?
  15. kidi kudi

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu MacOS Computer

    Wakuu poleni na majukumu ya wiki nzima. Nijikite kwenye mada mojakwamoja bila kuchelewa. nimepata changamoto kwenye hii computer ya utoaji wa sauti. Nilimpa fundi anifanyie installation ya Windows 10 pro lakini baada ya kuweka windows hiyo nimekuja kugundua computer haitoi tena sauti kwa...
  16. Complex

    JamiiForums Tanzania Computer4Sale Jipatie Computer Yenye SSD Storage, RAM 8 GB kuanzia 349,000 Pekee

    Heri ya mwaka mpya kwenu nyote wana teknolojia. Ozone Technologies imerudi tena kivingine katika mwaka huu wa 2023 kuhakikisha kila mtu anakuwa na Computer mpakato yenye kasi na ufanisi. Ili wateja wetu wapate kufurahia kasi ya computer watakazonunua kutoka kwetu, tumehakikisha computer zetu...
  17. P

    JamiiForums Tanzania Computer graphic, photoshop, illustration, Logo design, printing, marketing

    Nime soma course ya computer graphic miaka minne kutoka JWTZ Kama kuna mtu anatafuta kijana wa computer graphic anaye weza kutengeneza kama photoshop, photography, logo design, web design, app design, video director nipo hapa 4 years experience. Lakini pia nina mafunzo ya ukamanda kutoka JWTZ...
  18. T

    JamiiForums Tanzania Wapi napata latest generation tablet na desktop/laptop computer ?

    Hello wapi hapa mjini (maduka gani ?) Dar napata latest generation tablet na desktop/laptop computer kwa bei nzuri - reasonable price?
  19. kali linux

    JamiiForums Tanzania INSTINCTS ARE MATHEMATICAL / MACHALE NI MAHESABU :: From my personal experience as a Data Engineer and Computer Programmer

    Hello bosses........ Nadhan hii inawakuta watu wengi pia. Kuna muda unafanya decision bila kuwa na sababu yoyote ya msingi au logical. Hii wazungu hupenda kuiita 'gut feeling'. Yaan unaweza panga kwenda safari lakini ghafla tu unaamua kuahirisha halafu unasikia basi ulilopanga kusafiria...
  20. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Je, unafahamu sababu za computer kuzima ghafla unapoitumia?

    Kama wewe ni mtumiaji wa kifaa hiki, hili jambo halitakuwa geni kwako! Changamoto hii tumekuwa tukikumbana nayo kwa kiwango kikubwa na hapo hapo tusijue nini chanzo chake. Leo hii hebu tupate ufafanuzi ni sababu zipi hupelekea kutokea kwa jambo hili. Sababu hizi ni kama ifuatavyo; 1. Laptop...
Back
Top Bottom