computer

  1. JamiiForums Tanzania Computer science na Information Technology

    Habari wadau, poleni na kazi. Hivi mwalimu aliyesoma Mathematics na IT chuo anaweza kufundishia Computer science Kwa ngazi ya A-Level? Nawasilisha mada.
  2. JamiiForums Tanzania Naomba kufahamu computer specifications kwa mtu anayesoma Bsc. Cyber security

    .
  3. JamiiForums Tanzania Jinsi ya connect simu yako na Computer/ laptop kwa kutumia Xender

    1. Washa hotspot yako ili uweze kuunga simu yako na computer/ laptop hii ni free haihitaji kuwa na data/ bando kwenye simu yako 2.ingia kwenye Xender yako gusa neno Connect to PC itakupeleka sehemu hii hapo picha ya pili kwa chini 3.Kuna number hapo kwenye steps 3 izo ni web address...
  4. JamiiForums Tanzania List ya laptop za bei nafuu

    LAPTOP ZA BEI NAFUU ZAIDI KWA PICHA ZA LAPTOP NICHEK INBOX NITUMIE JINA LA LAPTOP HP PROBOOK X360 ITEL SSD 128 RAM 4GB BEI 335,000 πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯ DELL 3189 SSD 128 RAM 4GB BEI 350,000πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯ HP 640G1 CORE i5 HDD 500 RAM 4GB BEI 400,000πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯ HP FOLIO 9470 CORE i5 HDD 320 RAM 4GB BEI 400,000πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯ HP...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Je, una tatizo lolote kwenye Computer au Website yako? Niko hapa kwa ajili yako

    Habari!, ndugu wana JF natumai wote ni wazima. Mimi ni Computer Technician pia Web developer, nina skills na experience ya kutosha kwenye computer maintanance na web development and designing Skills nilizonazo :- 1. Html, CSS 2. Javascript 3. PHP & laravel framework 4. Python & Django...
  6. D

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa fursa za kujiajiri kwa Mhitimu wa chuo fani ya Computer Science

    Habari wakuu Mimi ni mwanafunzi wa chuo katika fani ya Computer science (degree mwaka wa pili), Naomba ushauri kutoka kwenu juu ya fursa ambazo naweza kujiajiri nazo ,( kwenye fani hii ya Computer science) nikimaanisha nitajiajiri vipi? Pale nitakapo maliza degree yangu ya Computer science...
  7. JamiiForums Tanzania Data Analyst and Computer Technician (DACT) at HelpAge Tanzania (HAT) January, 2024

    Position: Data Analyst and Computer Technician (DACT) Job purpose The Data Analyst and Computer Technician will provide support on programme data analysis and learnings, IT technical support and proactively leading and implementation of our HAT Data Protection and General Data Protection...
  8. JamiiForums Tanzania Mwongozo wa Kazi ya Mhandisi wa Kompyuta (Computer Engineer Career Overview)

    Mhandisi wa kompyuta huchanganya uhandisi wa umeme na sayansi ya kompyuta ili kutegeneza teknolojia mpya. Wao hupanga, kujenga, na kuratibu vifaa vya kompyuta katika kompyuta za kisasa. Wahandisi hawa wanazingatia kuunganisha vifaa(hardware) na programu(software) katika mfumo mmoja...
  9. JamiiForums Tanzania SOFTWARE FedhaBook: Tunza kumbukumbu zako za mapato na matumizi bila malipo ya kila mwezi wala mwaka

    .
  10. JamiiForums Tanzania Msaada wa Ku download Computer Software FREE

    Watalaaam kwemaa kama kichwa cha habari kinavyo sema, Zaman mm nilikuwa mtumiaji mkubwa wa sites kama pirrate bay kwa ajili ya ku download movies na softwares mbali mbali , lkn siku izi nimekuwa nikipata shida sana kupata softwares ambazo (cracked)., naomba msaada wenu wataala kama kuna anaye...
  11. JamiiForums Tanzania Mbeya: CHADEMA Digital yatikisa, Wazee kwa Vijana wamiminika kujisajili

    Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema , Joseph Mbilinyi, leo ameongoza Kampeni Kabambe ya Kusajili wanachama wapya kwa njia ya kisasa ya Mtandao (Chadema digital) Umati Mkubwa uliojitokeza unaonyesha kwamba CHADEMA ndio chama kilichobeba matumaini ya wananchi , Sugu na timu yake ni dhahiri kwamba...
  12. JamiiForums Tanzania Mafunzo ya computer kwa walimu wa hesabu

    Hello, Tunatoa mafunzo ya computer kwa walimu wa hesabu ili kuwezesha kufanya kazi kwa ufanisi zaidi. Jinsi ya kutumia digital tools kuandaa graphs, diagrams na kupata step by step solution using AI tools. Mawasiliano : 0689917513
  13. JamiiForums Tanzania Ukimaliza kutumia computer ya public futa vitu vyako na logout kwenye akaunti yako

    Ni muhimu kukumbuka kuacha computer inayotumiwa na wengi ikiwa safi na vilevile taarifa zako zikibaki kwenye account yako bila kujulikana kwa wengine. Nimetoka kwenye stationery moja mitaa ya Ubungo karibu na hostel za chuo kikubwa zilizojengwa kwa matofari ya kuchomwa. Kuna mdau ameacha kila...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Master in Computer Security online

    Wanajamvi habari za leo, nataka kufanya Masters in Computer security online, nimepata collage moja ipo spain inaitwa tech technological university, wapo nchini spain na wamekuwa wakinipigia simu mara kwa mara ili nijiunge nao. Sasa kabla sijafikia maamuzi naomba ushauri kwenye hili jambo kama...
  15. JamiiForums Tanzania Uliza chochote kama umekwama kupiga windows ama kuingiza operating system kwenye PC ama computer yako

    Epuka windows iliyo chakachuliwa kwenye computer yako maana inaweza kuharibu data zako namaanisha zile windows cracked na je umeshindwa jinsi ya kupata software uliza pia ntakujibu na kukuelekeza kwa usahihi jinsi ya kufanya booting na kudownload drivers. Pia soma πŸ‘‡πŸ‘‡...
  16. B

    JamiiForums Tanzania Huduma za Computer

    Tunafanya huduma zifuatazo Kwa Bei nafuu zilizo na ofa za kutosha :- 1. Windows installation ( 10, 11) - 20,000 Tsh Utapata ofa ya - ms office activated - windows activation - na basic software 2. Linux installation for all distro (cent os, Ubuntu, parrot, kali Linux) - 25,000 Tsh 3...
  17. JamiiForums Tanzania Biashara ya kuanzisha Chuo cha Mafunzo ya Kompyuta

    Wadau, hivi business ya kufungua computer training institute kuwafundisha watu software mbalimbali za computer kama word excel provides point na ujuzi mwingine wa kidijitali. Je, biashara hii kwa sasa inalipa?
  18. JamiiForums Tanzania Natafuta mwalimu wa computer mkoani Mwanza

    Natafuta mwalimu wa kufundisha kozi ya basic computer applications katika chuo kimoja jijini Mwanza. Kama una hii skillset karibu pm
  19. JamiiForums Tanzania Delivery service: Computer Maintenance and & Household appliances repair

    Alfatonics Electronics tumekuja na huduma ya "delivery" kwenye ufundi wa kompyuta na vifaa vya umeme majumbani Huduma hii mteja unaweza kufanya booking Kwa kupiga simu au kuchati na mhudumu wetu kupitia Whatsapp namba 0656586676 Huduma hii ni Kwa wateja wote wa maofisini na majumbani. Mteja...
  20. JamiiForums Tanzania Hivi ni kweli wanafunzi wa secondary wanasoma computer kwanzia form one?

    Nimeambiwa kwamba wanafunzi wa secondary nowadays wanasoma somo la computer na wanafanyia mtihani kidato cha nne, Je, kuna ukweli wowote? Je, kuna syllabus ya computer kwanzia form one?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…