computer

  1. kikoozi

    JamiiForums Tanzania Nauza computer yangu HP ProBook 450 G4

    NAUZA COMPUTER YANGU BINAFSI AINA YA HP PROBOOK YENYE SIFA ZIFUATAZO Model: HP Probook 450 G4 CPU: core i7 7th GENERATION Storage: 512GB (Ssd). Ram: 16Gb Price: Tsh. 680,000/= NOTE: Location DSM TANZANIA Whatsap No: 0716056030 Call Number: 0714739838
  2. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania Computer Analyst Programmer II – 3 Post at Bank of Tanzania (BOT) December, 2024

    Job type: Full-time POST COMPUTER ANALYST PROGRAMMER II – 3 POST EMPLOYER Bank of Tanzania (BOT) APPLICATION TIMELINE: 2024-12-05 2024-12-19 JOB SUMMARY NA DUTIES AND RESPONSIBILITIES i.Administer computer systems by ensuring that at all times the systems are properly functioning and help users...
  3. Binadamu Mtakatifu

    JamiiForums Tanzania Computer inauzwa bei 230k ram 8, ssd 128

    Bei ni 230k nipo dar Problem ni hii nilinunua mwezi wa kwanza mwaka huu refub, ishu ni inapassword kwenye eufi sijui ni bios (ambayo siijui na niliponunulia warranty ni miez sita) Ram 8GB, Ssd 128, Battery 3hrs Bei maelewano
  4. D

    JamiiForums Tanzania Computer4Sale ACER cx 708

    ACER cx 708 8GB RAM, 500 HDD 19" Monitor Window 10 Pro Bei 330000
  5. P

    JamiiForums Tanzania Institute of accountancy Arusha (IAA) Complaint Regarding Delay in Issuance of Bachelor of Computer Science Certificate

    am writing to formally express my complaint regarding the delay in receiving my Bachelor of Computer Science certificate, which I completed in 2023 at your institution. It has now been over one year and four months since I graduated, yet I have not been able to obtain my certificate. This delay...
  6. Davidmmarista

    JamiiForums Tanzania Naomba Usharuri Mimi ni kijana wa Mwaka wa Kwanza Computer Science Nina shauku ya kutoka na GPA kuanzia 4.5 mpaka 5 Je nizatie jambo gani na gani?

    Naomba mtu yeyote mwenye experience anipe mawazo je hawa wanafunzi wanaopata GPA hizi za juu huwa wanafanya Jambo gani na gani?
  7. Davidmmarista

    JamiiForums Tanzania Kati ya IT(Information Technology) na Computer Science je ni kozi ipi Ina fursa zaidi na inaongoza kwa watu wengi waliofanikiwa?

    Wadau msaada Je, kati ya IT(Information Technology) na Computer Science je ni kozi ipi Ina fursa zaidi na inaongoza kwa watu wengi waliofanikiwa?
  8. Yoda

    JamiiForums Tanzania Alan Turing: Baba(pioneer) wa computer za kisasa aliyeishi maisha ya utata kama shoga na kufa kifo tata kilichohusisha ushoga wake

    Alan Turing anachukuliwa kama baba(mwanzilishi) wa computer za kisasa, Muingireza aliyezaliwa mwaka 1912 na kufariki mwaka 1954 katika kifo chenye utata mkubwa akiwa na miaka 41 tu. Huyu ndiye aliyepangilia na kurasimisha nadharia za ufanyaji kazi wa computer za kisasa na pia kutengeneza Turing...
  9. Last sentinel

    JamiiForums Tanzania Computer classes

    Natoa computer courses for beginners na computer programming classes pia. Ms-office, excel, PowerPoint, access, publisher na programming classes kama c,c++, java. Mwenye uhitaji piga 0759-124378, nipo mbezi ya kimara.
  10. Sun Wukong

    JamiiForums Tanzania Computer4Sale Naunza computer imezima ghafla

    Bei 70k Niyamtu hivyo hatujui inaram ngapi wala hdd wala tatizo Imezima muda kidogo (kwa mujibu wa aliye nayo)
  11. excel

    JamiiForums Tanzania Computer ya IBM mwaka 1947: Wazungu wametoka mbali sana.

    Huyu ni Computer engineer, hapa anafanya wiring mwaka 1947 safari ya wazungu katika suala la Tech wametoka mbali sana
  12. Azer Zepha

    JamiiForums Tanzania Ipi kozi bora kati ya Computer Engineering na Civil Engineering?

    Nimepata nafasi ya kuchaguliwa na vyuo viwili hapa Tanzania chuo cha kwanza nimepangiwa kusomea civil engineering na chuo cha pili nimepangiwa kozi ya computer engineeringi. Wana JF nipeni ushauri kati ya kozi hizo mbili ipi ni marketable?
  13. Jay_255

    JamiiForums Tanzania Wakali wa IT Programming, wazee wa Games na application za computer zinazohitaji machine ya maana hii hapa sio ya kukosa

    SOLD
  14. E

    JamiiForums Tanzania Nimechaguliwa kusoma Computer Engineering nisaidieni!! Vipi ajira zake zipo?

    Nimechaguliwa DIT kusoma computer Ingineering naomba kujua fursa Zake katika kujiajiri kuajiriwa pia! Niongozeni wakuu.
  15. Yopinto

    JamiiForums Tanzania Kwa sasa nchini Tanzania tuna watu wazuri katika IT au tunaweza kuziita computer issues

    Kwa nini Hawa watu tusiwaekee forum Yao na kiuwezeshi kidogo ili waweze kuibua mambo mapya katika computer technology.
  16. Cecil J

    JamiiForums Tanzania Je, naweza badili matumizi ya monitor ya computer na kuitumia kama screen ya kawaida na kuiunganisha na king'amuzi?

    Swali langu ni hilo tu, sina mengi. Awali ya yote natoa shukurani kwa watakaochangia.
  17. jT0078

    JamiiForums Tanzania Tuna Service, Repair & Maintenance aina zote za Computer

    Lete Computer yako mbovu tukutengenezee! Tunafanya Services aina zote za Computers Tunauza Spares & Accessories za Computer aina zote Tupo Ilala Dsm 0718290779
  18. Z

    JamiiForums Tanzania Computer4Sale Laptop and computer accessories

    Kwa mwenye uhitaji wa vifaa vya laptop na vya computer kama vile adapters ,keyboard, mouse,battery za aina zote display ,display port,hard disk ,external case na vingine vingi naomba nicheki kwa namba hizi 0622793422 au fika kariakoo MTAA wa ndanda ulizia duka la doris laptop and computer...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Nina kipaji cha kuchora kwa kutumia computer, nawezaje kukitumia kutengeneza pesa?

    Naombeni mawazo yenu wadau nawezaje kutengeneza pesa kupitia kipaji changu.. nimeambatanisha sample za michoro
  20. E

    JamiiForums Tanzania Computer Science inaongoza kutoa wadau wengi waliofanikiwa duniani

    Orodha ya Watu Waliosoma Computer Science na Wamefanikiwa 1. Elon Musk - Mwanzilishi wa SpaceX na Tesla(Japo alisoma physics na economics lakini Computer science imemtoa) 2. Mark Zuckerberg - Mwanzilishi wa Facebook (Meta). 3. Bill Gates - Mwanzilishi wa Microsoft. 4. Larry Page - Mwanzilishi...
Back
Top Bottom