Delivery service: Computer Maintenance and & Household appliances repair

Alfatonics

Member
Mar 2, 2022
18
29
Alfatonics Electronics tumekuja na huduma ya "delivery" kwenye ufundi wa kompyuta na vifaa vya umeme majumbani

Huduma hii mteja unaweza kufanya booking Kwa kupiga simu au kuchati na mhudumu wetu kupitia Whatsapp namba 0656586676

Huduma hii ni Kwa wateja wote wa maofisini na majumbani.
Mteja utasema tatizo lako na mahali ulipo , tutafanya makadirio ya gharama kulingana na tatizo lako na umbali wa sehemu uliyopo ndipo mafundi wetu watakufata ulipo na kurekebisha kifaa chako Kwa muda mfupi

Tuna mafundi wabobezi zaidi kwenye ufundi wa kompyuta, networking, vifaa vya umeme majumbani n.k

Huduma yetu Kwa Sasa inapatikana maeneo yote ya viunga vya Dar es salaam na maeneo ya jirani ya mkoa wa Pwani
Ofisi zetu ziko kariakoo Mtaa wa Ndanda na Aggrey

Karibu sana.
Alfatonics
0656586676
alfatonicstz@gmail.com
 
Back
Top Bottom