computer

  1. Nijosnotes

    JamiiForums Tanzania Mwanza Computer Shop: Jipatie Desktop Computer Complete kwa Tsh. 350,000

    ✅ Uwezo wa processor Core i3 3.30Ghz ✅ Kioo nchi 19 ✅ RAM 4GB ✅ HDD 500GB 🔥Tsh. 350,000 Complete pamoja na kioo nchi. 19 wide. 🔥 📌 Refurbished kutoka Dubai MAWASILIANO: 0620748068 LOCATION: Buzuruga Shule, Mwanza
  2. R

    JamiiForums Tanzania Kabla hatujaanza kutumia smartphone ndani ya mablanketi, Miaka ya 90s na 2000s nyumba zilikuwa na chumba special kwajili ya computer (computer room)

    Ramani za nyumba zilikuwa na chumba maalum cha computer Chumba cha computer kilikuwa na meza kubwa, screen yenye chogo, speaker mbili, mouse yenye mpira ndani, cpu yenye kitufe kikubwa cha kuwashia unachoweza tumia dole gumba la mguu.
  3. Sun Wukong

    JamiiForums Tanzania Computer4Sale Nauza computer bei ya hasara 230k

    Kampuni Lenovo think pad Ram 8gb Hdd 256 gb Processor Intel Celeron 1007U (1.5 GHz, dual-core) Njoo PM kwa maelezo zaidi nipo dar es salaam tegeta
  4. jT0078

    JamiiForums Tanzania Nanunua Computer zilizotumika/kuharibika (Laptop au Desktop) kama spare

    Wakuu Nanunua Computer zilizotumika/kuharibika iwe Laptop au Desktop kama spare Wasiliana nami kwa 0767953873
  5. The Transporter

    JamiiForums Tanzania Msaada wapi kwa kupata cover bora za computer kwa DSM

    naomba msaada sehemu au mahali gani naweza kwenda kubadirisha cover ya Laptop kwa DSM ,Nina changamoto laptop HP imedondoka .
  6. A

    JamiiForums Tanzania Kilimo, jeshi na computer yawe masomo ya lazima

    Nisiwachoshe asubuhi hii hata chai hamjanywa Ila ningekuwa waziri wa elimu ningeondoa masomo ya historia, uraia, hisabati na kiswahili kuwa masomo ya lazima sekondari badala yake ningeweka COMPUTER, ENGLISH, KILIMO NA JESHI kuwa masomo ya lazima kuanzia chekechea sio primary, secondary na...
  7. EvilSpirit

    JamiiForums Tanzania Kuna msomi wetu yeyote wa Computer Science amewahi hata kutengeneza simple computer games kama hizi?

  8. R

    JamiiForums Tanzania Ni kwanini ma genius wengi wa mambo ya computer wana changamoto ya ugumu wa kuchangamana na jamii / social skills ?

    Mark Zuckbereg - Facebook, Instagram, Whatsapp Bill Gates - Windows, Xbox, n.k. Elon Musk - Starlink,,cybertuck, n.k. Steve Jobs (RIP) - iPHONE Sam Altman - Chat GPT n.k. Ni nini kinachochangia hali hii? Je, ni hulka yao au ni mazingira wanayokulia? Je, kuna uhusiano nakazi...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Operesheni tokomezeza flash disk na mawaya, Nawezaje kutazama video za kwenye computer kwenye Tv kwa kutumia wifi ( wireless )

    Nahitaji kuifanya Tv yangu iwe kama youtube au Netflix lakini niweze kustream video kutoka kwenye laptop yangu bila bando. Laptop nitakuwa naiacha chumbani, niweze kuchagua video moja kwa moja kwenye TV bila kugusa laptop. Nimechoka kudownload videos kwenye pc kisha niiingieze kwenye flash...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Msaada wa title ya computer science iwe ya web based , nimefikiria ila mambo magumu instructor anakaa zote

    Wadau naomba mnisaidie title ya computer science iwe ya web based nilizofikiria zote instructor amezikataaa
  11. J

    JamiiForums Tanzania Naweza kusoma Computer Science ikiwa Mathematics nina F?

    Habarini wana JF naombeni kuelimishwa je inawezekana kusoma computer sience ikiwa 4m4 math nilipa F na kama inawezekana ni kivipi au nifanyaje? na kama haiwezekani nisome it inawezakua na maslah mazuri? Naombeni msaada na ushauri ahsanteni. Nb: matokeo ni haya CIV D HST C KISW C ENG D BIOS D...
  12. jikuTech

    JamiiForums Tanzania Hatua 3 Jinsi ya kuingia Dark Web (simu na computer)

    Hatua 3 Jinsi ya kuingia Dark Web (simu na computer) Katika pitapita zangu nimekutana na maelezo kuhusu dark web internet ambayo haiwezi kufikiwa na injini za utafutaji za kawaida, watu wengi wamelezea inavyo tosha kuelewa sehemu hii ya internet, nitakacho kupa hapa ni faida kama haujawahi...
  13. jT0078

    JamiiForums Tanzania Tunauza Accessories za Computer na kufanya Repair

    Tunauza Accessories za Computer aina zote kama... Battery za Laptop & Macbook Keyboard za Laptop & Macbook Screen za Laptop & Macbook Charger za Laptop & Macbook Housing za
  14. B

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Vijana wa IT na Computer Science tengenezeni programu itakayowezesha zoezi la Uchaguzi Mkuu kufanyika kwa Uhuru na Haki

    Sisi kama watanzania tunataka uwazi na haki itendeke wakati wote wa kupiga kura, kutangaza matokeo, na kutangaza mshindi wa uchaguzi wa diwani, mbunge na rais kwa uchunguzi wa 2025. Japo mifumo yetu ya uchaguzi sio rafiki kufanya uchunguzi mkuu uwe wa uhuru na haki ila ni TAKWA LA WANANCHI...
  15. W

    JamiiForums Tanzania Kafaulu freshi form 4 anataka aende kusomea computer, Aende kusomea Taaluma ipi na chuo gani ?

    Nina wadogo zangu baadhi wameamua kwenda kuanza mapema kusomea Taaluma vyuoni. Nikiwa kama mtu mzima ninayezijua changamoto za wahitimu wa sekondari kupata wakati mgumu kuchagua taaluma ya kusomea nimeona nifanye extra research wasikurupuke kusomea vitu watavyojutia baada ya kuhitimu. Kuna...
  16. kingphisher

    JamiiForums Tanzania Naomba nafasi za kujitolea upande Wa IT Computer Networking Installation and configuration

    Habarini wakuu. Nimekuwa nikija humu kuomba hizi nafasi za kujitolea upande Wa IT. wakuu natamani niwe expert Wa computers networking installation and configuration lakini bado sijapata nafasi ya kazi ya networking. Chuoni tumesoma slides na theories za kutosha, hali ambayo haijanijengea...
  17. Fufua Tumaini Jipya

    JamiiForums Tanzania Binti anatafuta kazi , Elimu yake form four na anajua kutumia computer vizuri sana.

    Habari ya uzima. Yupo binti anatafuta kazi , Elimu yake kidato cha nne, Ila anajua kutumia computer vizuri. Kazi yoyote anaweza kufanya mfano dukani , kwenye taasisi Kama office attendant, n.k Angependa alipwe 200-250K Sifa zake. Umri 24 Mchapaka Kazi Anafundishika. Mtu wa kujituma na kutoa...
  18. Last sentinel

    JamiiForums Tanzania Award verification number na computer programming classes

    AWARD VERIFICATION NUMBER(AVN)ni namba inayomsaidia mhitimu wa Diploma kuitumia na kuweza kuendelea na masomo ya Degree.Ili kuipata matokeo ya mhitimu yanatakiwa yaweyametumwa na chuo husika anachosoma na baadae anaweza kuiomba,kwa matatizo na changamoto za AVN number piga 0759-124378
  19. N

    JamiiForums Tanzania Computer4Sale Nauza HP computer

    HDD....500GB RAM....4GB PROCESSOR....XEON( best processor) Price.....250000 Location.....DAR call/whatsapp......0674574112
  20. Davidmmarista

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli kuwa katika maisha ya sasa hatuangalii GPA kubwa, bali ujuzi hasa katika computer science

    Sababu: Nimekuwa nikitumia muda mwingi kujifunza mambo nje ya darasa, kama vile: Programming Blockchain technology Web Development Akili Bandia (AI) &Machine Learning Ujuzi Mbalimbali wa Kiufundi Hata hivyo, juhudi hizi zimeathiri kwa kiasi kikubwa kiwango changu cha ufaulu darasani...
Back
Top Bottom