Husika na mada tajwa hapo juu, mimi ni part-time-employed katika sekta ya IT. nina bachelor degree ya Business Information Technology.
nimekuwa nikitoa mafunzo ya computer kwa ujumla na IT kwa wanaotamani kujua na kujifunza computer.
kuna ambao hawajapata nafasi ya kusoma haya mambo ya...
Huna haja ya kuinstall software kila PC
Ama kama kila mara ku-install software ukibadilisha computer, Hata nikiazima PC ya mtu huwa natumia software zangu kama zilivyo
Kuna life hack ya techies wengi ni
PORTABLE APPS
Portable Apps ni nini?shuka na hii article
PORTABLE APPS Ni version za...
Ndugu narejea tena naombeni nafasi ya kufanya internship au volunteer niweze kupata ujuzi zaidi mimi ni graduate nina masters of science in computer science umri miaka 28 ninauhitaji wa kufanya intern mkoa wowote.
Mimi ni mtaalamu wa data science , Machine learning, AI, mobile app, data...
Mimi nimwajiriwa Nina stashahada ya Ualimu (physics & mathematics) nataka kwenda kusoma mwaka huu course ya TEHAMA, Wakuu naomba kujua utofauti wa course ya bachelor in computer science Na Bachelor of science in computer science in software engineering
IT iliwahi kuwa kozi yenye dili sana lakini sikuhizi imekuwa haipewi kipaumbele,
ajira nyingi wana prefer kushortlist computer rngineering na computer science
Ninaomba kazi za Data entry, analysis...
Kutoa huduma za simu na pesa na internet
Graphics designing
Supermarket na security checking and approval.
Ninakuhakikishia nitakufanyia kazi yako kwa uhakika umakini na kwa wakati unaotakiwa.
Mwaminifu na NAMUOGOPA MOLA WANGU...my friend nakuhakikishia...
Habari wadau!
Tunauza computer na laptop kwa bei nafuu sana kuanzia Tsh 170000/= mpaka Tsh 800000/=,bei zetu zinategemeana na uwezo, viwango na ubora wa computer,lakini pia sambamba na hilo tunafanya pia maintainance za computer kuanzia( Hardware na Software),na gharama zetu ni nafuu sana,njoo...
Habari, naomba kuelezwa kuhusu ubora wa chuo cha Jordan kwenye kozi ya computer science. Je wapo vizuri kwenye practical na theory? Wana maxingira mazuri ya kujifunzia yaani Lab za computer za kisasa zitakazomfanya mwanafunzi kujifunza vizuri? Napenda nijiunge hapo ila nijiridhishe kwanza na...
Ramani za nyumba zilikuwa na chumba maalum cha computer
Chumba cha computer kilikuwa na meza kubwa, screen yenye chogo, speaker mbili, mouse yenye mpira ndani, cpu yenye kitufe kikubwa cha kuwashia unachoweza tumia dole gumba la mguu.
Nisiwachoshe asubuhi hii hata chai hamjanywa
Ila ningekuwa waziri wa elimu ningeondoa masomo ya historia, uraia, hisabati na kiswahili kuwa masomo ya lazima sekondari badala yake ningeweka COMPUTER, ENGLISH, KILIMO NA JESHI kuwa masomo ya lazima kuanzia chekechea sio primary, secondary na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.