Mkuu nimeweka hapo specification zote, ukiangalia utaona sijaficha kitu ata kimoja.Engineering gani haswa? Maana kusema 'inafaa kwa engineering' ni sawa na kusema 'chakula hiki kinafaa kwa binadamu.' Ni kweli, lakini bado kuna maelezo muhimu yamekosekana.