complex

  1. JamiiForums Tanzania Full Time: CAFCL: Vital'O 0-4 Yanga | Preliminary Stage 1st Leg | Azam Complex | 17.08.2024

    Match Day Vital'O FC vs Yanga SC KIKOSI CHA YANGA KINACHOANZA LEO. #Daimambelenyumamwiko# Updates... Mpira umeanza Timu bado zinasomana. Dk 05 Dubeeeeeeeee anaipΓ tia Yanga goal lakuongoza hapa . Goal la kwanza kwa Yanga. 0-1 Dk 08' Vital'O wanajaribu kufika kwenye lango la Yanga, beki...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Dearby ya Simba na Yanga kupigwa KMC complex

    Mchezo wa watani wa jadi Simba na Yanga unatarajia kupigwa Oktoba 19 katika uwanja wa KMC comlex uliopo mwenge Dar es salaam, Imetolewa katika ratiba ya bodi ya ligi Tanzania (TPLB) leo inayoonyesha ratiba hiyo katika uwanja huo unaoweza kubeba mashabiki 6000 tu. Aidha pambano la Simba SC na...
  3. JamiiForums Tanzania Coastal Union 2-5 Azam FC | Ngao ya Jamii | Aman Complex | 8/8/2024

    Mkeka wako unampa nani kati ya Azam na Coastal? Timu ya AzamFC imefanikiwa kuingia Fainali ya Ngao ya Jamii kwa kuifunga #CoastalUnion kwa magoli 4-2 katika Nusu Fainali ilivyochezwa Uwanja wa Amaan. Kutokana na ushindi huo, Azam FC itacheza fainali ya Ngao kwa kukipiga na timu itakayoshinda...
  4. JamiiForums Tanzania FT: Azam 5-1 Kagera Sugar | NBC PL | Azam Complex | 25/05/2024

    Kikosi cha Azam kilichoanza Kikosi cha Kagera Sugar kilichoanza
  5. JamiiForums Tanzania Kwanini TFF mnaipeleka fainali Zanzibar?

    Acheni siasa mnaharibu soka letu mechi ya bara mnapeleka visiwani ili mgundue nini? TFF mnaipeleka Fainali Zanzibar, sehemu ya nje ya utawala wa FA husika? Lini mmewahi kuona FA ya Uingereza imepeleka fainali Ireland, au Scotland? Lini mmewahi kuona FA ya Ujerumani imepeleka fainali zao...
  6. JamiiForums Tanzania FT: Yanga SC 1-0 Kagera sugar Fc | NBC Premier League | Azam Complex | 08.5.2024

    πŸ”°πŒπ€π“π‚π‡ πƒπ€π˜πŸ”° πŸ† #NBCPremierLeague ⚽️ Young AfricansπŸ†šKagera sugar FC πŸ“† 08.05.2024 🏟 Azam complex πŸ•–01:00 usiku Kikosi kinachoanza dhidi ya Kagera Sugar mpira umeanza dakika ya 5 0-0 dakika ya 10 0-0 dakika 13 yanga sc wanafanya shambulizi aziz k ananaswa kwenye mtego wa offside dakika...
  7. JamiiForums Tanzania FT: Simba 1-0 Azam FC | Muungano Cup | Final | New Amaan Complex | 27.04.2024

    Naitakia Simba Ushindi. nguvumoja . KIKOSI CHA AZAM KITAKACHOANZA KIKOSI CHA SIMBA KITAKACHOANZA HT FT
  8. JamiiForums Tanzania FT: Yanga 1 - 0 Coastal Union | NBC Premier League | Azam Complex | 27. 04. 2024

    πŸ”°πŒπ€π“π‚π‡ πƒπ€π˜πŸ”° πŸ† #NBCPremierLeague ⚽️ Yanga πŸ†š Coastal Union πŸ“† 27.04.2024 🏟 Azam Complex - Chamanzi πŸ•– 12:00 Jioni. Tukutane hapa kwa updates #Daimambelenyumamwiko# Kikosi cha Yanga kinachoanza. Kikosi cha Coast Union Kinachoanza Updates... 1' Yanga wanafanya Shambulizi kali, Guede anakosa...
  9. JamiiForums Tanzania FT: Simba SC 2-0 Mashujaa FC | NBC Premier League | Azam Complex | 15.03.2024

    Patashika ya ligi kuu kuendelea leo, kwa kukutanisha wekundu wa Msimbazi dhidi ya wazee wa Mapigo na Mwendo baada ya futari. Muda ni saa mbili na robo usiku, Azam complex Kikosi Game ishaanza dakika ya 18 bado bila bila Yellow card Michael Masinda kamfanyia Saido faulo, game inaendelea...
  10. JamiiForums Tanzania FT: Yanga SC 1-0 Geita Gold FC | NBC Premier League | Azam Complex | 14.03.2024

    πŸ”°ππ„π—π“ π”ππŸ”° πŸ† #NBCPremierLeague ⚽️ Young Africans SC πŸ†š Geita Gold FC πŸ“† 14.03.2024 🏟 Azam Complex πŸ•– 02:15 Usiku Kikosi kinachoanza dhidi ya Geita Gold FC #TimuYaWananchi #DaimaMbeleNyumaMwiko Mpira umeanza Dakika ya 5 Aziz k anachezewa madhambi nje ya 18 Dakika ya 7 Yanga SC wanapata kona...
  11. JamiiForums Tanzania FT: Simba SC 3-1 Singida Fountain Gate | NBC Premier League | 12.03.2024

    Muda ni Saa 2:15 Usiku. Kikosi cha Simba Kinachoanza. Kikosi cha Singida FG Kinachoanza #nguvumoja#. Updates... Dakika ya 5' Goooooal kupitia kwa Saidoo baada ya kipa kuutema mpira wa Chama. Dakika ya 8' Penati wanapata Simba. Anaipiga Saidoo Goaaaaaaaaalllll 2-0. Dakika ya 34' Fredddd...
  12. JamiiForums Tanzania FT: Yanga SC 5 - 0 Ihefu SC | NBC Premier League | Azam Complex | 11.03.2024

    πŸ”°ππ„π—π“ π”ππŸ”° πŸ† #NBCPremierLeague ⚽️ Young Africans SCπŸ†šIhefu FC πŸ“† 11.03.2024 🏟 Azam Complex πŸ•– 12:00 Jioni Kikosi kinachoanza dhidi ya Ihefu SC Mpira umeanza Dakika ya 5 Yanga SC 0-0 Ihefu SC Dakika ya 10 GOAAAAAAL Pacomeeeee Dakika ya 15 Yanga SC 1-0 Ihefu SC Dakika ya 19 Yanga SC wanakosa...
  13. JamiiForums Tanzania Simba kucheza kiporo chake cha Azam Federation 28 February Azam Complex

    Klabu ya @simbasctanzania imethibitisha kuwa siku ya tarehe 28/2/2024 watacheza mchezo wao wa ASFC dhidi ya TRA kwenye Uwanja wa Azam Complex. Mchezo huo utakuwa pia ni sehemu ya maandalizi ya mchezo wao wa mwisho wa CAFCL dhidi ya Jwaneng Galaxy.
  14. JamiiForums Tanzania FT: Yanga SC 5-0 Polisi Tz | ASFC | Azam Complex | 20.02.2024

    πŸ”°πŒπ€π“π‚π‡πƒπ€π˜πŸ”° πŸ† ASFC ⚽️ Young Africans SCπŸ†šPolisi TZ πŸ“† 20.02.2024 🏟 Azam Complex πŸ•– 1:00 Usiku Kikosi kinachoanza dhidi ya Polisi Tanzania Mpira umeanza Dakika ya 13 Goaaaaaaaal Guedeeeee Dakika 45+1 Chuma cha piliii Farid Mussaβš½οΈπŸ™ŒπŸΌ Dakika ya 45 niongeza 2 Gwedeeee goli la tatu dakika ya 46...
  15. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Analia mke wake kutumiwa ujumbe usiku na mwanaume mwingine, ametudhalilisha wanaume

    Huyu jamaa kwakweli naona hana haiba ya kiume! Asubuhi yote hii kwenye gari amepiga simu kwa mwanaume mwenzie analia kuwa kwanini anachati na mke wake usiku. Yaani watu wamebaki wanamcheka na kusikitika tu hapa. Kwa mujibu wa maelezo yake mkewe anafanya kazi kiwandani, na kazi za viwandani...
  16. JamiiForums Tanzania Simba SC tafuteni Uwanja kwa Mechi zenu za Ligi na FA, New Amani Complex kiwe tu kwa Mechi zenu za CAFCL

    GENTAMYCINE nawaambieni hili mapema na Asubuhi hii kwakuwa tayari nimearifiwa na Chanzo Muhimu kuwa Ombi lenu la kwenda Zanzibar kuutumia Uwanja wa New Amani Complex kwa Mechi zenu za Ligi Kuu (NBC) na FA (ASFC) halitokubaliwa ila kwa Kuutumia kwa Mechi zenu za CAFCL mtaruhusiwa nyie na Yanga SC...
  17. JamiiForums Tanzania Kauli Tata ya Mkuu wa Majeshi kwa Wakimbizi

    Kauli ya CDF, mkuu wa majeshi Gen Jacob John Mkunda, kwamba kuna wakimbizi wamepewa nafasi nyeti serikalini naona ni kauli dhaifu na inawachafua zaidi wao kama walinzi namba moja wa mipaka ya nchi. Inamaana jeshi limeshindwa kazi ya kulinda mipaka ya nchi? Wakimbizi wakishakua raia by...
  18. JamiiForums Tanzania FT: Mlandege 1 - 0 Simba SC | Mapinduzi Cup | New Amaan Complex | Fainali | 13.01.2024. Kombe limebaki Mlandege

    Match Day. Updates... Mlandege FC ambao ni mabingwa watetezi, watamenyana na Simba Leo Januari 13, 2024 kwenye Uwanja wa New Amaan Complex mjini Zanzibar, ambapo mchezo wa fainali utaanza kutimua vumbi saa 2:15Usiku. Fainali iliyopita; Mlandege ilishinda mabao 2-1 dhidi ya Singida Fountain...
  19. JamiiForums Tanzania FT: Singida FG 1 - 1 Simba (PNT: 2 - 3) | Mapinduzi Cup Semi Final | Amani Complex | 10.01.2024

    Leo saa 2:15 usiku ni Singida Fountain Gate dhidi ya Simba SC katika mtanange wa nusu fainali ya Kombe la Mapinduzi itakayopigwa leo 10.01.2024. Tayari timu ya Mlandege kutokea Zanzibar imeshatangulia fainali. Je, unaipa nafasi timu gani kuifata Mlandege? Kikosi cha Simba kinachoanza Kikosi...
  20. JamiiForums Tanzania FT: Simba SC 1-0 Jamhuri SC | Mapinduzi Cup | New Amaan Complex| Robo Fainali | 08.01.2024

    Match Day Simba SC Vs Jamhuri SC Mapinduzi Cup New Amaan Complex Robo Fainali 08.01.2024 Mchuano huu ni kwa ajili ya mchezo wa soka uliosubiriwa kwa hamu huku robo fainali ya nne ikiendelea leo saa 2:15 Usiku kwa kuwakutanisha Simba SC dhidi ya Jamhuri FC katika Uwanja wa Amaan. Mchezo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…