Hii ni kama hujuma ya kuipotezea Yanga malengo, kuitia majonzi na kuuchonganisha uongozi au kuchochea hasira za mashabiki.
Azam Tv wamekuwa wakionyesha mechi mara 3 au 4 kwa siku kama dozi. Asubuhi wakati wa Chai, Mchana wakati wa lunch, jioni wakati wa kupumzika usiku karibia na kulala.
Azam...