chupa

Chupá is a corregimiento in Macaracas District, Los Santos Province, Panama with a population of 520 as of 2010. Its population as of 1990 was 637; its population as of 2000 was 564.

View More On Wikipedia.org
  1. Jamaa uliyenipiga na Chupa ya sere nikiwa natembea service road huku ukiwa kwenye pikipiki Kusudio lako lilikua nini? Ulitaka kuniua nimekukosea nini?

    Wakuu mambo vp Kweli nimeamini kifo tunatembea nacho kama siyo uwepo wa Mungu kwenye hii Dunia sijui kama ningepata hata huu wasaa wa kutype hapa JF. Majira ya saa 3 usiku Nikiwa natembea kwa miguu pembezoni mwa barabara( Service Road) kunakitu kilikuja kikatua kwenye Bega langu la kushoto...
  2. Mo Dewji asema wameanzisha Kampeni ya kukusanya chupa za rangi nyeusi, wameshakusanya tani 21

    Video kutoka kwa Mohamed Dewji "MO" Mwezi uliopita, tulizindua kampeni ya kuongeza ukusanyaji wa chupa za rangi. Tulikusanya tani 21 za chupa nyeusi kwa ajili ya kuchakata! MeTL ni fahari kuwa mwanachama wa Petpro, shirika la wajibu wa ziada za wazalishaji wa chupa za PET kwa ajili ya...
  3. J

    PreGE2025 Ushahidi wa Mzee Mbowe akisema Msigwa ndiye aliyeshika chupa ya damu wakati wa kumsafirisha Lissu Nairobi huu hapa

    Mbowe huyu hapa akieleza kilichotokea wakati wa kumsafirisha Lissu kwenda Nairobi kwa matibabu.
  4. Penina wa Goba Centre auawa na aliyekuwa mpenzi wake kwa kukatwa mapanga

    Kwa mnaomjua Penina ana grocery hapo Goba Center pembeni ya baa ya Trinnidad kauawa na mpenzi wake usiku wa saa tisa hapo hapo grocery kwake. Wanawake kuweni sana makini this time watu wamevurugwa sana! UPDATES: Mtuhumiwa baada ya kumuua alienda polisi mdogomdogo maana ni kama dakika mbili kwa...
  5. T

    Kama uzuri wa sura, umbo, ngozi na mguu ndiyo vigezo vyako muhimu kwa kuoa basi umepotea sana

    I know you got me, you heard me correctly! Ndio ukweli hata kama utakataa, chunguza magonjwa ya kurithisha kama kifafa, ukichaa katika familia ya mrembo, chunguza uwepo wa historia ya uchawi na ulonzi ndani ya familia ya mrembo, Angalia kwa makini vitu vibaya vingine vya kurithisha. Kibaya...
  6. Chupa za kuwekea wine

    Wakuu naombna mnisaidie, nahitaji chupa za kuwekea wine za glass. Hata kwa kununua.
  7. Video za wadada kukalia chupa zimeathiri bidhaa katika soko?

    Wanazengo mnaendeleaje? Wenye kumbukumbu wanakumbuka video tofauti ambazo ziliwaonesha baadhi ya wanawake wakichezea chupa za soda mfano mirinda kwa ustadi wa hali ya juu kitu ambacho kiliwastaajabisha watu na kuanza kuitaja soda fulani kama matani au mzaha Japo siyo jambo geni ila miaka...
  8. Maajabu: Aliyehubiri Injili aswekwa jela, anayewapachika chupa watu makalioni aachiwa huru

    Mchungaji mmoja huko Mbeya amefungwa jela kwa kuhubiri Injili , lakini kuna mwanaccm mmoja huko Manyara ameachiwa huru pamoja na ushahidi mwanana wa kuwapachika watu chupa makalioni Toa maoni yako
  9. S

    Nani kaiona chupa ikiwa kwenye makalio? Daktari kathibitisha? Wanasiasa kuweni makini na hila za mitandaoni

    1. Kuna mdada aliandaliwa kumchafua DC Simalenga. Ustadi mkubwa ulitumika kufunika jicho na shavu la huyo mdada kwa bandeji iliyopakwa tomato sauce . Media uchwara zikategesha kamera mbele ya mdada na kurekodi shutuma kali dhidi ya DC kwamba amemnasa kibao kilichopelekea jicho na shavu...
  10. DOKEZO Responded Naibu Waziri na Mbunge Pauline Gekul adaiwa kumfanyia Ukatili wa Kimwili Mtoto

    Hashimu Ally Phillemon, mkazi wa Babati Mjini anaeleza kwamba alikamatwa eneo lake la kazi, Paleii Lake View Garden, mali ya mbunge wa Babati Mjini, Pauline Gekul, Naibu Waziri wa Sheria na Katiba na kupigwa, kujeruhiwa na kuwekewa chupa katika maeneo ya haja kubwa. Hashimu Ally anadai, Pauline...
  11. NEMC imetoa mwezi mmoja kwa viwanda vinavyozalisha Chupa za plastiki zenye rangi kuweka utaratibu wa kukusanya na kuhifadhi chupa hizo

    Baraza la Usimamizi na Utunzaji Mazingira Nchini NEMC imetoa mwezi mmoja kwa viwanda vinavyozalisha chupa za plastiki zenye rangi kuweka utaratibu wa kukusanya na kuhifadhi chupa za rangi ambazo zimekuwa zinachafua mazingira kwa kuzagaa maeneo mbalimbali. Mkurugenzi wa Baraza la Taifa la...
  12. B

    Wapi naweza pata huduma ya kutengenezewa design yangu ya chupa za plastiki?

    Wapi naweza pata huduma ya kutengenezewa aina ya chupa za plastiki design ninayoitaji mwenyewe?
  13. Kemikali gani huyafanya maji yawe na ladha nzuri kama yanayouza kwenye chupa?

    Habari, Kwenu watalaamu, naomba kufahamishwa ni chemical gani ninaweza kutumia ili kutafanya maji ya bombani (dawsco) yawe matamu kama yanayosambazwa na chupa..mfano Hill water, masafi Afiya...nk. Naomba kufahamu upatikanaji wake, bei, muuzaji.
  14. B

    Chupa ya chai na vikombe vya chai juu ya makaburi ni uchawi wa aina gani?

    Nilipita njia ya makaburini, nikakuta kwenye baadhi ya makaburi kwa juu kumewekwa chupa ya chai na vikombe vya chai, kuna moja ya wazee waliopo hapo maeneo ya karibu aliniambia hizo chupa na vikombe unaona vimechoka ila kwenye ulimwengu wa roho hizo ni chupa mpya na vikombe vipya kabisa...
  15. Taasisi ya moyo Jakaya Kikwete: Kunyweni angalau bia tatu tu kwa siku

    Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI), imeshauri jamii kupenda kufanya mazoezi, kupunguza kula vyakula vya sukari, wanga na kusisitiza kwa wanywaji wa bia, kunywa angalau tatu kwa siku ili kujilinda na ugonjwa wa moyo. Mkurugenzi Mtendaji wa JKCI, Dk Peter Kisenge amesema hayo leo Jumatatu...
  16. Ronaldo hakuwa mjinga kusogeza pembeni chupa 2 za cocacola

    Wakuu za sahizi, Nadhani mnakumbuka lile tukio lililofanyika 2021, la mchezaji cr7 alivyokuwa akihojiwa na akasogeza chupa 2 za coca akasema tutumie maji Basi asee juzi kati hapa nimepitia baadhi ya threads humu nikakuta watu wanasema bidhaa za mo extra ya kuwa zina athiri maini Na jinsi...
  17. TBS mnatufikiriaje Watanzania tunaokunywa Soda za Pepsi na Coca za Chupa Kawaida zenye kutu nyingi sehemu ya Kizibo?

    Sasa hivi imekuwa ni Kawaida kwa GENTAMYCINE kila nikibahatika ama kunywa Soda ya Coca Cola au Pepsi Cola nikiifungua tu Kukaribishwa Kiukarimu na Chupa yenye Kutu ya Kutukuka Kiziboni (sehemu ya Kunywea) TBS mko wapi? Hii ni halali Kwetu Walaji? Kwanini hamtusaidii Wanyonge (Masikini) akina...
  18. R

    Biashara ya kurejesha (recycling) vifuniko vya chupa

    Habari wakuu. Naomba mwenye kujua kampuni inayofanya recycling ya vifuniko vya chupa (metal bottle caps) anijuze. Natanguliza shukrani.
  19. Wanafunzi 1000 wajitokeza kuchangia damu, chupa 600 za damu zapatikana katika Kampeni ya KISUTU GIRLS BLOOD DRIVE

    Zaidi ya Wanafunzi 1000 kutoka Shule mbalimbali za Sekondari jijini Dar es Salaam wamejitokeza katika tukio la uchangiaji damu wa hiari lililofanyika katika Viwanja vya Shule ya Kisutu ambapo zaidi ya chupa 600 za damu zimepatikana. Tukio hilo la uchangiaji damu wa hiari limeratibiwa na Shule...
  20. R

    Kwanini hakuna recycling ya vifuniko vya chupa (metal bottle caps?)

    Habari wakuu, Kila mara nikikaa sehemu ya kuuza vinywaji na kuona jinsi vifuniko vya chupa za soda au bia vinavyozagaa na baadae kutupwa jalalani huwa najiuliza hakuna namna ya kufanya recycling na baadae kutengeneza metal products zingine? Hakuna kiwanda hapa Tanzania chenye teknolojia hii?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…