Chupa za kuwekea wine

Vilevi feki vingi sana kwa sasa na njia mojawapo ya kupata chupa ni hiii. Naaamini hata hitaji linaenda huko maaaana hali sio. Hadi Imefunguliwa mpyaaaaaaa
IMG-20231230-WA0025.jpg
IMG-20231230-WA0032.jpg
IMG-20231230-WA0027.jpg
IMG-20231230-WA0031.jpg
IMG-20231230-WA0024.jpg
IMG-20231230-WA0030.jpg
IMG-20231230-WA0028.jpg
IMG-20231230-WA0029.jpg
IMG-20231230-WA0026.jpg
 
Hapa tulipofikia tuache tu kunywa pombe tunatengenezewa maradhi ya figo na ini ila kuna watu wana roho mbaya sana.
Kuna mdau kaniambia mpaka hizi lite watu wanazipika local
Nilishasema lakini nikatukanwa. Nilisema hivi: Kila raia ataonja ubovu wa uongozi wa CCM kwa wakati wake. Hakuna atayepona. Awe mwana CCM, asiwe mwana CCM au asiye na chama. Ni lazima.
 
Hapa tulipofikia tuache tu kunywa pombe tunatengenezewa maradhi ya figo na ini ila kuna watu wana roho mbaya sana.
Kuna mdau kaniambia mpaka hizi lite watu wanazipika local
Very true. Ni wakati sasa tunatakiwa kutumia tumachotengeneza. Madukani kumejaa uchafu mwingi sana. Watu wanajiua kwa pesa zao.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom