chuo

  1. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania USHAURI: Dogo kawa offered kazi private mshahara tsh 650,000. Ana degree kamaliza chuo mwaka jana. Vp achukue hio fursa au mshahara unafinya?

    Kwa sasa amejishikiza sehemu kam intern wanamlipa 300,000 Degree yake ni ya finance/banking
  2. Mgm-

    JamiiForums Tanzania Chuo cha ufundi wa kutengeneza cherehani (sewing machines mechanics)

    Habari zenu humu, Tafadhali nauliza je ni chuo gani hapa tanzania kinafundisha kozi ya kutengeneza vyerehani? yaani SEWING MACHINES MECHANICS. Kama unajua jina la chuo, mkoa kilipo, ada, na muda wa kozi itakua vyema zaidi. ASANTENI.
  3. K

    JamiiForums Tanzania Nimefanikiwa kubadili cheti changu cha chuo kwa njia haramu.

    Tanzania kila kitu kinawezekanika. Nilikua na GPA ndogo sana chuo,nikamtafuta jamaa flani mzoefu wa forgery,kanitolea cheti kama kilivyo na zile security marks zake kanipa first class,nimeenda kwenye interview wale wakaguzi hakuna ambae kashtukia kuwa kile sio cheti halisi.jamaa kanitengenezea...
  4. Mwafrika Halisia

    JamiiForums Tanzania Kuhama chuo binafsi kwenda cha serikali

    Habari wakuu, naomba msaada Mimi ni mwanafunzi wa mwaka wa kwanza katika kozi ya diploma in Clinical Dentistry nikiendelea na masomo yangu katika Kigamboni City College of Health and Allied Sciences. Ni mnufaika wa mkopo kutoka HESLB. Kutokana na gharama kuwa nyingi chuo hiki Cha private Nina...
  5. ufalmedigital

    JamiiForums Tanzania kijue chuo zaidi Chuo cha Bahari Dar es Salaam (Dar es Salaam Maritime Institute – DMI)

    Chuo cha Bahari Dar es Salaam (Dar es Salaam Maritime Institute – DMI) – kinachojulikana kwa jina la Chuo cha Ubaharia Mahali & Mawasiliano Eneo: 19 Sokoine Drive, Dar es Salaam, Tanzania nactvet.go.tz+13dmi.ac.tz+13tasac.go.tz+13. Barua Pepe: info@dmi.ac.tz Simu...
  6. youngkato

    JamiiForums Tanzania "Wanafunzi wa chuo mko wapi? Chatgpt ni kama calculator ya ubongo wako

    Siku hizi maisha ya chuoni yamebadilika sana kwa sababu ya AI (Artificial Intelligence). Kuna AI tools ambazo zinaweza kusaidia sana kwenye masomo na kazi za chuo. Badala ya kupambana peke yako, unaweza kutumia AI kama rafiki wa kujifunza. 👉 AI inaweza kukusaidia kuandika assignments, kufanya...
  7. W

    JamiiForums Tanzania Sijawai kuona chuo Over rated kama SAUT Mwanza, Ni chuo kilichopigwa make-up ya maneno lakini hadhi yake ni chuo cha kati

    Wanafunzi wa Sauti Mwanza wakisifia chuo chao, unaweza kuhisi unakosa kitu cha kipekee, kuna kipindi walikuwa wanajitutumua hadi kujilinganisha na UDSM, UDOM, MZUMBE, n.k. nilikuwa nadhani ni bonge la chuo ila nimekuja kukifuatilia nimekiona ni chuo cha kawaida sana. Kitivo cha biashara hakina...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Mdogo wangu kamaliza O LEVEL (FORM FOUR) ameniuliza afanyeje ? amepata DIV 2

    Mdogo wangu kamaliza O LEVEL (FORM FOUR) ameniuliza afanyeje ? amepata DIV 2 CHEMISTRY.... C BIOLOGY.....C GEOGRAPHY...D MATH.....F Naombeni msaada japo amechaguliwa form 5, je nimpeleke huko au nimpeleke chuo na chuo gani? naamini kupitia uzi huu watu wengi wataneemeka na kufarijika...
  9. Wazo la kabwela

    JamiiForums Tanzania Barua ya Wazi kwa Makamu wa Mkuu wa Chuo Kikuu Huria cha Tanzania

    Barua ya Wazi kwa Mkuu wa Chuo Kikuu Huria cha Tanzania Mheshimiwa Mkuu wa Chuo, Chuo Kikuu Huria cha Tanzania, Kwa heshima na taadhima, napenda kuchukua fursa hii kwa niaba ya wanafunzi wa kitivo cha elimu kukupongeza kwa dhati kwa kuteuliwa kwako kuwa Mkuu wa Chuo Kikuu Huria cha...
  10. ufalmedigital

    JamiiForums Tanzania Unatafuta taarifa sahihi kuhusu chuo unachotaka kujiunga nacho?

    🌍 Leo umejifunza nini kuhusu chuo chako? Kama bado, tembelea www.chuosmart.com Maelezo ya kozi, gharama, mazingira, na fursa zipo humo! Usiwe mjinga kwa hiari. Smart Up with ChuoSmart! Unatafuta taarifa sahihi kuhusu chuo unachotaka kujiunga nacho? Kozi, ada, sifa za kujiunga, nafasi za...
  11. Mwanongwa

    JamiiForums Tanzania Chuo cha Veta - Njiro Arusha kinatuzungusha tuliosoma Kozi ya Udereva, hawapeleki matokeo yetu kwa TRAFFIC.

    Chuo cha Veta Kilichopo Njiro Arusha, KOZI YA UDEREVA Ngazi ya (PSV NA VIP) Kimekuwa Kikituzungusha Kutopeleka Matokeo Yetu TRAFFIC. Wanafunzi wa Intec No. 177 Na 178 Ambao tumesoma mnamo tarehe 24 January 2022, lakini hadi leo ni miaka 4 tukifika Police kwa ajili ya Ku Hakiki Lessen...
  12. Burn the bridge _Tz

    JamiiForums Tanzania Unaweza kukishitaki chuo?

    ...
  13. W

    JamiiForums Tanzania Kwa wingi huu wa matapeli kutokea Mbeya, Je Mbeya kuna chuo cha utapeli ?

    Kwa upande moja Mbeya imekuwa mkoa wa kujivunia kwa kutoa wasomi na viongozi mahiri lakini kuna upande mwengine unaitia doa 1. Mawinga wengi sana hutoka huko, utafika Kariakoo kuulizia kiatu cha elf 20 ila winga anataja 50 2. Fake pastors wanaoishi maisha ya kifahari, kufanya miujiza yenye...
  14. L

    JamiiForums Tanzania KERO Malipo ya Wanafunzi Law School COHORT 39 wanaodai chuo (overpayment_refund) imekuwa danadana na wahusika hawajalipwa

    Inaelekea wiki ya pili sasa tangu wanafunzi hao wamalize masomo hapo na HESLB imekwisha watumia message za malipo yao, chuo wamekaa kimya na Ofisi ya Uhasibu hawatoi ushirikiano mzuri, ni uwajibikaji gani huo? Pesa hizo zinalipwa lini? Dear .......... your loan item TU TZs 1,000,000.0 has been...
  15. Torra Siabba

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Uongozi wa Chuo cha Takwimu Mashariki mwa Afrika, unatuvuruga baadhi ya Wanafunzi, wanadai tumelipa fedha “hewa”

    Sisi ni wanafunzi wa mwaka wa tatu wa Shahada ya Sayansi ya Data kutoka Chuo cha Takwimu Mashariki mwa Afrika. Tunaomba msaada wa haraka kuhusu changamoto kubwa ya fedha zilizokwisha lipwa na bado tuanendelea kutozwa kila mwaka wa masomo lakini huduma zake hazikutolewa kama inavyotakiwa...
  16. ufalmedigital

    JamiiForums Tanzania kijue chuo cha Moshi Co-operative University (MoCU)

    Moshi Co-operative University (MoCU) ni chuo kikuu cha umma kilichopo mjini Moshi, Mkoa wa Kilimanjaro, Tanzania. Chuo hiki kinajikita katika kutoa elimu, mafunzo, utafiti, na huduma za ushauri katika nyanja za ushirika, biashara, na maendeleo ya jamii. Mahali na Historia Mahali: Chuo...
  17. Davidmmarista

    JamiiForums Tanzania JamiiForums Tusaidiane: Kijana wa Geology hana Ajira Tangu Amalize Chuo, Maisha Yamempiga Mbaya

    Habari za wakati huu wapendwa wadau wa JamiiForums, Naamini wote ni wazima na mnaendelea vyema katika majukumu yenu ya kila siku. Nawasalimu kwa heshima kubwa na moyo wa unyenyekevu kabisa nikiwa na matumaini kwamba huu ujumbe wangu utawagusa na kuwahamasisha kwa namna yoyote ile. Leo nimeamua...
  18. Rebeca 83

    JamiiForums Tanzania Serikali itoe elimu ya kozi za ufundi online

    Helllo JF.... Nilikuwa na wazo... Tanzania (serikali) iwe na mtandao unaotoa distant couurses za ufundi... Ziwe free ku tackle shida ya ajira... Nimeona course kama Graphic designs, Photography na Film making zinaweza kufundishwa online.. Im sure kuna course nyingi tu za ufundi zainazoweza...
  19. Kisesetusese

    JamiiForums Tanzania Chuo kikuu Cha Harvard chashutumiwa

    Kuna taarifa kwamba chuo kikuu maarufu duniani kinashutumiwa kuchochea vurugu dhidi ya wayahudi. Na swali kwann gwajima ameweka bendera ya Israel nyumbani kwake?
  20. Top for B

    JamiiForums Tanzania Tuone picha ya Chuo alichosoma Mbunge aliwaamuru POLISI kumaliza KENGE

    Sina maneno mengi
Back
Top Bottom