Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linamshikilia Mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia Mbeya [MUST] mwaka wa kwanza aitwaye Emilian Joseph Duzu [21] kwa tuhuma za mauaji ya Mwanafunzi mwenzake wa Chuo hicho mwaka wa tatu aitwaye Gerald Philbert Said [22].
Ni kwamba Juni 14, 2025 saa...
Habari zenu humu,
Tafadhali nauliza je ni chuo gani hapa tanzania kinafundisha kozi ya kutengeneza vyerehani? yaani SEWING MACHINES MECHANICS.
Kama unajua jina la chuo, mkoa kilipo, ada, na muda wa kozi itakua vyema zaidi.
ASANTENI.
Tanzania kila kitu kinawezekanika.
Nilikua na GPA ndogo sana chuo,nikamtafuta jamaa flani mzoefu wa forgery,kanitolea cheti kama kilivyo na zile security marks zake kanipa first class,nimeenda kwenye interview wale wakaguzi hakuna ambae kashtukia kuwa kile sio cheti halisi.jamaa kanitengenezea...
Habari wakuu, naomba msaada
Mimi ni mwanafunzi wa mwaka wa kwanza katika kozi ya diploma in Clinical Dentistry nikiendelea na masomo yangu katika Kigamboni City College of Health and Allied Sciences. Ni mnufaika wa mkopo kutoka HESLB.
Kutokana na gharama kuwa nyingi chuo hiki Cha private Nina...
Siku hizi maisha ya chuoni yamebadilika sana kwa sababu ya AI (Artificial Intelligence). Kuna AI tools ambazo zinaweza kusaidia sana kwenye masomo na kazi za chuo. Badala ya kupambana peke yako, unaweza kutumia AI kama rafiki wa kujifunza.
👉 AI inaweza kukusaidia kuandika assignments, kufanya...
Wanafunzi wa Sauti Mwanza wakisifia chuo chao, unaweza kuhisi unakosa kitu cha kipekee, kuna kipindi walikuwa wanajitutumua hadi kujilinganisha na UDSM, UDOM, MZUMBE, n.k. nilikuwa nadhani ni bonge la chuo ila nimekuja kukifuatilia nimekiona ni chuo cha kawaida sana.
Kitivo cha biashara hakina...
Mdogo wangu kamaliza O LEVEL (FORM FOUR) ameniuliza afanyeje ? amepata DIV 2
CHEMISTRY.... C
BIOLOGY.....C
GEOGRAPHY...D
MATH.....F
Naombeni msaada japo amechaguliwa form 5, je nimpeleke huko au nimpeleke chuo na chuo gani? naamini kupitia uzi huu watu wengi wataneemeka na kufarijika...
Barua ya Wazi kwa Mkuu wa Chuo Kikuu Huria cha Tanzania
Mheshimiwa Mkuu wa Chuo,
Chuo Kikuu Huria cha Tanzania,
Kwa heshima na taadhima, napenda kuchukua fursa hii kwa niaba ya wanafunzi wa kitivo cha elimu kukupongeza kwa dhati kwa kuteuliwa kwako kuwa Mkuu wa Chuo Kikuu Huria cha...
Chuo cha Veta Kilichopo Njiro Arusha, KOZI YA UDEREVA Ngazi ya (PSV NA VIP) Kimekuwa Kikituzungusha Kutopeleka Matokeo Yetu TRAFFIC.
Wanafunzi wa Intec No. 177 Na 178 Ambao tumesoma mnamo tarehe 24 January 2022, lakini hadi leo ni miaka 4 tukifika Police kwa ajili ya Ku Hakiki Lessen...
Kwa upande moja Mbeya imekuwa mkoa wa kujivunia kwa kutoa wasomi na viongozi mahiri lakini kuna upande mwengine unaitia doa
1. Mawinga wengi sana hutoka huko, utafika Kariakoo kuulizia kiatu cha elf 20 ila winga anataja 50
2. Fake pastors wanaoishi maisha ya kifahari, kufanya miujiza yenye...
Inaelekea wiki ya pili sasa tangu wanafunzi hao wamalize masomo hapo na HESLB imekwisha watumia message za malipo yao, chuo wamekaa kimya na Ofisi ya Uhasibu hawatoi ushirikiano mzuri, ni uwajibikaji gani huo? Pesa hizo zinalipwa lini?
Dear .......... your loan item TU TZs 1,000,000.0 has been...
Sisi ni wanafunzi wa mwaka wa tatu wa Shahada ya Sayansi ya Data kutoka Chuo cha Takwimu Mashariki mwa Afrika. Tunaomba msaada wa haraka kuhusu changamoto kubwa ya fedha zilizokwisha lipwa na bado tuanendelea kutozwa kila mwaka wa masomo lakini huduma zake hazikutolewa kama inavyotakiwa...
Habari za wakati huu wapendwa wadau wa JamiiForums,
Naamini wote ni wazima na mnaendelea vyema katika majukumu yenu ya kila siku. Nawasalimu kwa heshima kubwa na moyo wa unyenyekevu kabisa nikiwa na matumaini kwamba huu ujumbe wangu utawagusa na kuwahamasisha kwa namna yoyote ile.
Leo nimeamua...
Helllo JF....
Nilikuwa na wazo...
Tanzania (serikali) iwe na mtandao unaotoa distant couurses za ufundi...
Ziwe free ku tackle shida ya ajira...
Nimeona course kama Graphic designs, Photography na Film making zinaweza kufundishwa online..
Im sure kuna course nyingi tu za ufundi zainazoweza...
Kuna taarifa kwamba chuo kikuu maarufu duniani kinashutumiwa kuchochea vurugu dhidi ya wayahudi.
Na swali kwann gwajima ameweka bendera ya Israel nyumbani kwake?
Wakuu nisaidieni ni chuo gani Poland chenye gharama nafuu na cost of living ambazo ni affordable. Najua kuna watu umu wenye practical experience ya nchini Poland au wenye kuifahamu Poland na system yake ya elimu.
Nakaribisha ushauri wenu ili uniwezeshe kiufanyia kazi.
Masomo ni ya social...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.