Nimemaliza chuo, Sasa naingia kwenye malori

Burn the bridge _Tz

JF-Expert Member
Joined
Apr 15, 2021
Posts
2,259
Reaction score
6,630
Wakuu ipo hivi
Nina leseni daraja A1 A2 Na D(sina cheti)
KAZI ya vishoka
Nilichukua kwa ajili ya kuendesha Bajaj mwaka 2022 mpaka Sasa Ina miaka mitatu.

Nataka kuingia kwenye fani ya malori kwa kufanya hivi.

Nataka kutafuta laki Tano, nimpe dereva wa Lori ili aniweke kama tingo kwa muda hata wa miezi sita.(Niamani ntakuwa nimeweza kwa vitendo)

Baada ya hapo niende NIT nikasome Sasa course ya udereva malori kwa ajili ya cheti.

Nje kwa kutumia Njia hiyo inaweza kuwa rahisi Mimi kuwa dereva???
 
Udereva wa maroli TZ haulipi.

Kuna chama cha wamiliki wa maroli TZ, wanaitwa TATOA wanajiamulia watakavyo, ukiwabishia CV inapelekwa TATOA hupati kazi kampuni nyingine ya roli.

Wengi maslahi kidogo na hawana mikataba.

Ni bora ungewekeza kusoma HEAVY DUTY MACHINES.
 
Ni bora ungewekeza kusoma HEAVY DUTY MACHINE

Udereva wa maroli TZ haulipi.

Kuna chama cha wamiliki wa maroli TZ, wanaitwa TATOA wanajiamulia watakavyo, ukiwabishia CV inapelekwa TATOA hupati kazi kampuni nyingine ya roli.

Wengi maslahi kidogo na hawana mikataba.

Ni bora ungewekeza kusoma HEAVY DUTY MACHINES.
Mkuu lengo ni kufanya KAZI UAE sio Tanzania
 
Udereva wa maroli TZ haulipi.

Kuna chama cha wamiliki wa maroli TZ, wanaitwa TATOA wanajiamulia watakavyo, ukiwabishia CV inapelekwa TATOA hupati kazi kampuni nyingine ya roli.

Wengi maslahi kidogo na hawana mikataba.

Ni bora ungewekeza kusoma HEAVY DUTY MACHINES.
Au unaweza kutoa neno kuhusu heavy duty machine
 
FB_IMG_1752145895192.jpg
 
Dump truck then ukimaliza fork lift au ukiona vipi dump truck inatosha then nenda either Nyanzaga,buly,North Mara GGM au Shantamine Singida kuna kitu wanaita kusotea unaweza bahatisha.Dump truck ukiwa na connection migodini kazi unapata
Mkuu sina connection huko, anyway passion yangu ipo kwenye malori Zaidi ila nashukuru sana
 
Hiyo Kazi kutoboa unabidi kuwa unaiba mafuta yaani unafungua mizingo unayosafirisha unaiba
Sikuhizi kuiba mafuta imekuwa ngumu sana Kuna sensor inafungwa bosi anajua kiwango Cha mafuta akiwa ofisini
 
Kazi ya kuendesha maroli kwa Tanzania ni Kama unavyoona ualimu utapata hela ya kula n.k

Ila kutoboa na kuwa well off ni ngumu Sana japo inawezekana .

Ikiwa utajitosa huko utangulize passion Ila kuhusu Expectations zisiwe kubwa kwakuwa utakuwa na disappointment.

Wengi waliofanikiwa huwa wanaiba mafuta , mizigo ya wateja , n.k.

Kwahiyo ikiwa imani yako haiendani na wizi kibongo kuwa Dereva wa roli kufanikiwa ngumu.

Ila waweza kufanya tathimini na hiyo ndo faida ya Elimu.

Jambo la pill , kwakuwa umetoka Chuo tafuta sehemu utulie hata mwezi mmoja ukiwa unajipa tafakuri then utapata mawazo bora ya nini ufanye .
 
Kipindi nipo kitaa nasugua kuna jamaa muendesha malori, alikua akienda trip anakaa muda mrefu sana akirudi anakuja na story nyingi akituaminisha kazi ya kuendesha malori ina hela sana.

Cha kushangaza jamaa alikua haendelei yuko pale pale, tukahisi labda ni starehe nyingi.. huenda hakukua na uhalisia kwa aliyokua akiyasema.
 
The same to me ninao watu Kama 10 wapo katika hii industry Ila hawaendelei.

Ukiachana na starehe za ngono Ila bado wanalipwa hela ndogo ukilinganisha na Kazi wanayoifanya .

Waliotiboa huko wengi huwa wanaiba mafuta au kufungua mzigo mfano wanaosafirisha lose cargo hufanya hivyo .

So ikiwa MTU atajitosa basi atangulize passion na sio pesa
 
Back
Top Bottom