Kutokana na matokeo haya, naweza kuapply chuo gani?

Erasto guy

Member
May 26, 2022
31
182
Habarin wanajf Mimi ni muitim wa kidato Cha sita kwa combination ya HGL baada ya matokeo kutoka nimepata division 3 ya 13 yaani

History-D
Geography-D
E language-E
GS-S

Je, kutokana na ufaulu wangu naweza kuapply chuo gan? Na coz ipi?

Naomben msaada wenu tafadhari
 
Utafute chuo au program isiyo na ushindani mkubwa. Pitia tcu admission guide uangalie.
 
Nipigie kwa 0756936931 nikupatie ushauri bure ni mfanyakazi wa CBE Mwanza
 
Nimepitia bro lakn kujua Ni chuo kip au program ip haina ushindan hapo ndo nimeshindwa kutambua ndomana nmekuja kwenu wanajf
Kwa ujumla udsm achana nacho. Kitu cha kuangalia ni nafasi ngapi zipo hakikisha katika choice zako kuna chuo chenye nafasi nyingi kwa hiyo course.
 
Habarin wanajf Mimi ni muitim wa kidato Cha sita kwa combination ya HGL baada ya matokeo kutoka nimepata division 3 ya 13 yaani

History-D
Geography-D
E language-E
GS-S

Je, kutokana na ufaulu wangu naweza kuapply chuo gan? Na coz ipi?

Naomben msaada wenu tafadhari
Chuo cha ARDHI MOROGORO au TABORA
 
Habarin wanajf Mimi ni muitim wa kidato Cha sita kwa combination ya HGL baada ya matokeo kutoka nimepata division 3 ya 13 yaani

History-D
Geography-D
E language-E
GS-S

Je, kutokana na ufaulu wangu naweza kuapply chuo gan? Na coz ipi?

Naomben msaada wenu tafadhari
Chuo kikuu unapata,hiyo three yako ya kwanza baada ya two. Japo unaonekana ulikuwa mzembe sana darasani kwenu. Mtu akifel sana HKL huwa anapata division two. Au ulichukulia hivi "Hakuna Kusoma Lala (HKL). Au ulikuwa Kiranja wa Msosi, kila mda unawaza kwenda kupima mchele,Unga na maharage.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom