Postgraduate Diploma in Curriculum (Open Universty)

mwanyaluke

JF-Expert Member
Jan 22, 2015
473
1,448
Nimeajiriwa as mwalimu, na ajira yangu nilipata kupitia postgraduate diploma In education, nataka nisome postgraduate diploma in curriculum. Je, inaweza nisaidia kufanya transfer kutoka kuwa mwalimu wa secondary to mwalimu wa vyuo vya ualimu.
 
Postgraduate diploma husoma wale wasio nasifa ya kusoma masters.

#MaendeleoHayanaChama
 
Nimeajiriwa as mwalimu, na ajira yangu nilipata kupitia postgraduate diploma In education, nataka nisome postgraduate diploma in curriculum. Je, inaweza nisaidia kufanya transfer kutoka kuwa mwalimu wa secondary to mwalimu wa vyuo vya ualimu.
Kwanza; kigezo cha kua lecturer chuoni unafaa kua na kitu kinaitwa academic consistency ; kutoka bachelor ukaenda masters na kuendelea sio kuumga unga

Pili; unafaa kua na GPA ya atleast 3.5 kwa degree ya kwanza na 4.0 kwa masters

Nkisoma hii post yako tu naona hauna vigezo mkuu; jaribu mambo mengine tu
 
Unajibu kitu ambacho hujaulizwa , uwe unapenda kuelewa
 
Kwanza; kigezo cha kua lecturer chuoni unafaa kua na kitu kinaitwa academic consistency ; kutoka bachelor ukaenda masters na kuendelea sio kuumga unga

Pili; unafaa kua na GPA ya atleast 3.5 kwa degree ya kwanza na 4.0 kwa masters

Nkisoma hii post yako tu naona hauna vigezo mkuu; jaribu mambo mengine tu
Nadhani hata ualimu aliupata kupitia postgraduate, Mimi nimeshafundishwa na mtu wa postgraduate Tena chuo kikuu, so kasome tu
 
Back
Top Bottom