Wakuu samahani
Nimesajili laini mpya ya HALOTEL ya chuo Ina wiki Sasa
Walinipa gb kama 5 hivi za ofa mwanzoni navosajili alafu wakasema Kuna ofa ukiunga kifurushi cha mb 980 cha 2000 na ukatumia ndani ya masaa SITA kikaisha wanakupa ofa ya gb 2.
Nataka kuuliza kama Kuna mtu ashawi fanya hii na akapewa hiyo ofa .nisije nikaunga nikatumia mb ovyo ziishe afu wasinipe ofa😂😂
All