chuo

  1. Mwl Never Better

    JamiiForums Tanzania Mkopo sikuwekewa na sijabahatika kwenda chuo

    Ni mwaka wa tatu nmeomba mkopo helsb lakini sijapata. Je njia Gani niweze kutumia ili mwaka huu nipate? Au ni vizuri niende diploma niachane na bachelor degree?
  2. Mwl Never Better

    JamiiForums Tanzania Mkopo sikuwekewa na sijabahatika kwenda chuo.

    Nmeomba mkopo wa chuo kikuu ni mwaka wa tatu Sasa sijafanikiwa kwenda chuo. Kwasababu ya kukosa mkopo. Je ni njia gan nitumie niweze kupata mwaka huu? Au ni vizuri nikajiunge na vyuo vya kati? Naomben mawazo hapo........
  3. Mr Pixel3a

    JamiiForums Tanzania Tofauti ya Chuo, Collage na Institute

    Tanzania ina vyuo vikuu vichache mfano Udsm, Must , SAUT, KAMPALA, UDOM n. K College ziko ndani ya chuo mfano udsm ina CONAS ,CoECIT , COET,Vyuo vinaweza kuwa na campas udsm ina campus ya DUCE, MuchAS Institute sio vyuo vikuu DIT, IFM, CBE hivi ni vitivo vinahusika na fani za aina Moja pekee...
  4. Burn the bridge _Tz

    JamiiForums Tanzania Kwa haraka nisome kozi gani iniweke mjini baaada ya kuhitimu chuo?

    01.Ufundi Bomba 02.umeme wa magari 04.udereva 05.Fokolift 06.welding Kutokana na uwezo wako na uzoefu wako toa ushauri
  5. R

    JamiiForums Tanzania Wahitimu wengi wasio na ajira hawapo serious kwenye shughuli zao, akili huwaza ajira, wakifika 30s hakuna walichofanya, maisha huwacharaza kikatili

    Vijana wengi humaliza vyuo wakiwa 20s mbichi lakini wanapoteza muda mwingi sana kuwaza ajira badala ya kutia mkazo kwenye shughuli zao, matokeo yake mtu anafika 30s hana ajira wala maendeleo na umri umeshaenda hana tena vigezo vya kuendelea kuomba ajira, its too late and its the beginning of the...
  6. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Wanachuo wavivu, wajanjawajanja wasio nanidhamu na kilichowapeleka chuo ndio wanapelekea wenzao waambiwe warudi VETA

    Ukisoma chuo kwa kumaanishaha huwezi kuhitaji Kwenda VETA unahitaji kuwatumia vijana wa VETA kutengeneza ajira. Hiki nadhani ndio kinatakiwa kusisitizwa. Ubongo wa mtu aloyepitia chuo kwa kumaanisha unauwezo mkubwa kuliko wakufunzi wote wa VETA na wanafunzi wao. Nimeona CHUO mtu anapewa...
  7. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Tunataka Kujua Chuo Kikuu Huria kimefuta Research?

    Tokea mwaka jana wanafunzi wote ambao niko level nao moja wamekuwa wakihangaika juu ya swala la research. Masupervisor tuliopewa watusimamie hakuna lolote wamekuwa wakifanya, tumekuwa tunapoteza muda bila sababu ya msingi. Kwa mfano mimi nimemaliza mitihani yangu tokea mwezi wa 6 mwaka jana...
  8. I

    JamiiForums Tanzania Mwanafunzi wa chuo kikuu anayelengwa na Trump aondoka Marekani saa 9 zilizopita.

    Mwanafunzi wa chuo kikuu anayelengwa na Trump aondoka Marekani saa 9 zilizopita. Mwanafunzi mhitimu wa Chuo Kikuu cha Cornell ambaye viza yake ya Marekani ilifutwa kutokana na maandamano dhidi ya Israel ameamua kuondoka Marekani badala ya kusubiri kufukuzwa nchini humo. Momodou Taal, ambaye...
  9. Yusufu Mjasili

    JamiiForums Tanzania Kama una matairi mabovu kabisa nanunua. Tupo dar mabibo mzambarauni karibu na chuo cha usafirishaji NIT. Piga namba hiyo tufanye biashara. 0715 494920

    Ndio, itakuwa na maana sana kama utakuwa nayo mengi, idadi yoyote nachukua. Yakuwa makubwa makubwa ndio hayahitaji zaidi.
  10. hungary

    JamiiForums Tanzania Chuo Cha debrecen Hungary

    Kwa ambae anasoma ichi chuo nakuomba tafadhali
  11. Mapenzi Kudadenya

    JamiiForums Tanzania Ushauri kuhusu kuahirisha masomo chuo degree mwaka wa pili

    Wanazengo habari zenu Kama kichwa kinavyojieleza..dogo wa miaka 21 anaesoma chuo kwa sasa mwaka wa pili degree kapata mchongo wa kwenda kwenye kazi za watu za kijeshi..na kazi yenyewe kapata kupitia cheti cha form six.. Je ni busara kuahirisha chuo kwenda huko kuripoti ama kumalizia sehemu...
  12. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbunge Sekiboko: Nilipohitimu Digrii ya Ualimu, nilijifunza kushona viatu VETA

    Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Elimu, Utamaduni na Michezo Husna Sekiboko akizungumza mkoani Dar es Salaam wakati wa kilele cha maadhimisho ya miaka 30 tangu kuanzishwa kwa Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA) amesema yeye baada ya kuhitimu Shahada yake ya kwanza ya...
  13. Masalu Jacob

    JamiiForums Tanzania Chuo cha Michezo Tanzania

    Ooooooh Tanzania u hali gani tena rafiki ! Naomba kutoa wazo juu ya uanzishaji wa Chuo cha Michezo Tanzania. Hiki chuo kiwe maalumu kwa utoaji wa kozi ya Astashahada, Stashahada na Shahada kwa kuanzia. Kiwe hata kikanda mfano; Kanda ya Ziwa, Kanda ya Kati, Kanda ya Pwani, Kanda ya Kusini, Kanda...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Chuo cha Ufundi Arusha kimezindua ujenzi wa mtambo wa umeme eneo la Hai Kilimanjaro

    Chuo cha Ufundi Arusha kimezindua ujenzi wa mtambo wa umeme wa Kikuletwa 1 eneo la wilaya ya Hai Kilimanjaro pamoja na.. MTAMBO MKUBWA WA UMEME UNAOWEZA KUHUDUMIA MAGHOROFA MIA MOJA WAANZA HAI, KAMATI YA BUNGE YAFIKA https://m.youtube.com/watch?v=srJl56ep138 mhandisi Dr. Robert Kabudi kiongozi...
  15. hungary

    JamiiForums Tanzania Interview ya kujiunga na chuo Cha debrecen Hungary

    Habari za wakati huu wadau wa JF Naomba kwa yeyote ambae alishawahi kufanya entrance exam kwenye chuo hiki naomba anipe muongozo na mitihani inavyokuwa Pia kwa ambao wanasoma chuo hiki naomba mnipe dodoso kuhusu maisha ya uko , ugumu na uwepesi wa hiki chuo na n.k Asanteni
  16. The ice breaker

    JamiiForums Tanzania Natafuta chuo Cha veta kinacho fundisha Architecture Au Mechanical

    Mimi ni degree holder, ila nimekuwa motivated kwenda veta ,kusoma hizo kozi tajwa hapo juu Nataka chuo kilichopo Dar es salaam. Sina background ya hayo mambo, Mimi ni muhasibu
  17. G-love

    JamiiForums Tanzania Majengo yanauzwa Tabata

    MAJENGO Bei Tsh 1.3 B
  18. stabilityman

    JamiiForums Tanzania Tuendelee kuwa na subra kuna mtu kahitimu chuo 2001 na ajira kapata 2025miaka 24 kitaa

    Tuendelee kuwa na subra kuna mtu kahitimu chuo 2001 na ajira kapata 2025miaka 24 kitaa
  19. Webabu

    JamiiForums Tanzania Chuo kikuu cha Mwanzo na kikongwe zaidi duniani kilianza kama madrasa ndani ya msikiti. Kipo Afrika na kilijengwa na mwanamke

    Madrasa ndio mfumo mkongwe zaidi wa kutoa elimu ambao umedumu kwa karne kadhaa kabla hata Ulaya hawajajua kusoma na kuandika na Marekani haijajulikana kuwepo kwenye uso wa dunia. Katika kufuatilia historia ya ukuwaji elimu utapata kujua kuwa chuo kikuu cha mwanzo duniani ni kile kilichoanzia...
  20. Equation x

    JamiiForums Tanzania Somo la historia ulilosoma miaka ya nyuma, ukiwa shule ya msingi mpaka sekondari na wengine mpaka chuo; limekusaidiaje katika kujikimu kimaisha?

    Ukitumia somo la historia, kama somo la kukupa mbinu za kupambana kimaisha, linaweza kukusaidia. Ebu fikiria ukoloni ulivyoingia Afrika, kwa kutumwa wajumbe mbalimbali kuja kufanya utafiti na kuangalia namna ya kututawala pamoja na kumiliki mali zetu. Na wengine kuuzwa kama mifugo ili kwenda...
Back
Top Bottom