Jannatul Firdaus
JF-Expert Member
- Aug 4, 2026
- 446
- 1,113
Kwa mujibu wa TMZ, mwanamuziki mkongwe wa Marekani, Lionel Richie (77), amelazwa ICU huko St. Louis, Missouri, baada ya kufanya tamasha Agosti 29 katika Ukumbi Wa The Muny.
Richie alipelekwa hospitalini kwa ajili ya vipimo, huku madaktari wakichunguza uwezekano wa upungufu wa maji mwilini. Mwishoni mwa tamasha, alionekana kuchoka na kupewa kiti alipokuwa akiimba “All Night Long.”
Hata hivyo, taarifa zinasema hali yake si mbaya na anatarajiwa kuruhusiwa hospitalini leo, Septemba 1.
Hii ni mara ya pili ndani ya miezi michache kukumbwa na changamoto ya kiafya jukwaani, baada ya kupata kizunguzungu wakati wa tamasha huko St. Paul mwezi Juni.