chumba

Chumba is a traditional form of music and dance performed by the Garifuna people in several Central American countries. Like punta (another type of Garifuna music), chumba songs are highly polyrhythmic, but have a slower tempo.The chumba dance is a solo dance performed by a woman, often exhibiting a large degree of individual style.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania Nahitaji chumba cha kupanga Moshi

    Amani ya Bwana iwe nanyi. Naomba msaada wa chumba cha kupanga master au master sebule sawa, bei isizidi 130,000/= Maeneo ya mitaa ya Mbuyuni, Dar Es Salaam hadi Soweto na maeneo mengine jirani na hiyo mitaa. Natanguliza shukrani.
  2. U

    JamiiForums Tanzania Nimeshangaa Wasabato walijuaje ratiba za mbinguni hadi kudai Yesu alihamia chumba kingine hekaluni mbinguni 22, 10, 1844?!?

    Wadau hamjamboni nyote? Niombe moderator uache Uzi huu ujitegemee wenyewe tafadhali Sio lengo langu kubeza au kukashfu ila navyojua ratiba za mbinguni kwa maana ya siku, mwezi na mwaka hilo husalia kuwa siri ya mbingu Pale mwanadamu anapojidai kujua ratiba za Mwana wa Mungu akiwa hukoo...
  3. musicarlito

    JamiiForums Tanzania Natafuta chumba na sebule maeneo ya Mbagala

    Wakuu habari Mahitaji chumba na sebule maeneo ya Mbagala ambako nimehamishia shughuli zangu Maisha yangu kwa asilimia kubwa hapa mjini nimeyaishi Ubungo rudi mpaka Mbezi Natafuta maeneo ambayo hakuna 'uswahili' sana...simaanishi mimi ni wa kishua...kinyume chake mimi ni shamba nimetoka mkoani...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta Chumba Kigamboni

    Wakuu, Natafuta chumba kwa niaba ya ndugu yangu ambaye ni mwanafunzi atakuja kufanya kazi maeneo ya kigamboni. Anataka kukodi kwa mwezi mmoja na chumba ni lazima kiwe na kitanda. Kwanzia tarehe 20 August paka 28 September 2025. Budget ni 120,000 paka 200,000 Kama upo serious ni inbox picha...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Chumba master kinapatikana Pugu Kigogo fresh

    Vyumba ni vikubwa, ni chumba na sebule choo ndani na kibaraza nje pia kuna choo cha nje. Kodi 80,000/= Hakuna dalali 0684223374
  6. D

    JamiiForums Tanzania Chumba master 80k kinafaulishwa kipo kigamboni soweto

    Habarini kuna chumba kinafaulishwa kipo kigamboni soweto ni master ya 80k
  7. I

    JamiiForums Tanzania Ujenzi chumba sebule Jiko na choo

    Habari wapendwa Samahani, naombeni makadirio ya ujenzi wa chumba sebule Jiko dogo pamoja na public toilet Vyote ni vyumba standard, Nitashukuru sana
  8. The redemeer

    JamiiForums Tanzania Una kaeneo kadogo ghorofa la chumba kimoja hili litakufaa

    Kwa wenye ndoto za kumiliki ghorofa na uchumi hauruhusu chukua ramani hii. Chini chumba kikubwa kina bafu,choo na jiko plus kasebule simple,then juu unakata nusu unaweka zege ndo chumba cha kulala. Hii ufaa hata ukitaka kujenga air bnb au hata nyumba za kupanga ili kusave eneo itafaa zaidi
  9. Arsenal Gunner

    JamiiForums Tanzania Nyumba ya chumba, sebule, jiko, choo inaingia bati mita ngapi?

    Naombeni Kwa mlliojenga au mafundi mnaojua chumba sebule jiko choo inaingia bati mita ngapi maana nimeuliza bati naona kichwa kinawaka moto aisee mwenye kujua anisaidie nimeuliza alafu mita 1 Bei 27000 kwahiyo bati Moja Lina mita 3 sawa na 81000 jumla hii ni hatari aisee
  10. UMUGHAKA

    JamiiForums Tanzania Al masry siku ya mechi akijiroga atumie chumba Cha kubadilishia nguo hapo Kwa Mkapa,Atapigwa goli kuanzia 4

    Nsikuchoshe na Usinchoshe, Tusichoshane! Hao waarabu wakijiroga na wakawa kichwa ngumu wakatumia chumba Cha kubadilishia nguo hapo Kwa Mkapa tarehe 9 dhidi ya Makolo,namuhakikishia huyo Mwarabu atachezea Mkong'oto wa goli zisizopungua 4 a.k.a 4R za mama ! Waarabu wakitaka hiyo mechi washinde...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Kabla hatujaanza kutumia smartphone ndani ya mablanketi, Miaka ya 90s na 2000s nyumba zilikuwa na chumba special kwajili ya computer (computer room)

    Ramani za nyumba zilikuwa na chumba maalum cha computer Chumba cha computer kilikuwa na meza kubwa, screen yenye chogo, speaker mbili, mouse yenye mpira ndani, cpu yenye kitufe kikubwa cha kuwashia unachoweza tumia dole gumba la mguu.
  12. Lady Ra

    JamiiForums Tanzania Msaada, Gharama za Ufundi, Chumba, Choo, Jiko na Sebule

    Za weekend wandugu? Heri ya Sikukuu ya Eid wana jukwaa. Hapa ninapoishi pana nafasi kubwa tu imebaki. Ni nyumba ya familia lakini nimeruhusiwa kujenga. Nataka nijenge Chumba kimoja na Sebule. Upande wa chumba nitatoa choo pembeni, na upande wa Sebule nitatoa Jiko. Sasa muongozo wenu naomba...
  13. A

    JamiiForums Tanzania Nahitaji chumba Moshi mjini

    Wakuu kama kichwa cha habari kinavyosomeka,nahitaji chumba single self. Bajeti yangu ni 50k hadi 120k. Ikipatikana haya maeneo itakuwa vizuri zaidi: Town/mjini, rau, kcmc hadi kule ushirika wa neema.... Au kama kuna mtu mwenye kufahamu kama kuna nyumba za shirika la nyumba la taifa, NHC...
  14. M

    JamiiForums Tanzania WAKUU NATAFUTA CHUMBA CHA 30000 KIMARA AU MBEZI KUFKA ROAD NAULI ISIZID 700

    Wanajf mnisaidie nisje lala nje ukiisha mwez huu nahitaji room kwakwel Uz tayari msaada uwe mwingi kuliko kashfa
  15. KING MIDAS

    JamiiForums Tanzania Unaweza kuishi kama mfalme iwapo tu utaamua. Chumba kimoja sio Jehanam

    Hakuna mtu mwenye ghetto baya Zingatia hivi vitu 1.Usifunge pazia na kamba 2.Pangilia rangi ya vitu ndani kwako usinune vitu rangi zigzag 3.Hakikisha unafanya usafi, panga kila kitu sehemu yake 4.Usiweke nguo ukutani kama ndio kabati vile 5.Epuka mi ndoo mingi ndani. Ndoo nyingi zinafanya chumba...
  16. Arsenal Gunner

    JamiiForums Tanzania Naombeni msaada ramani nzuri ya kisasa chumba sebule jiko choo

    Wakuu jamii forum kisima Cha maarifa nataka nianze ujenzi nisaidieni ramani nzuri ya kisasa chumba sebule jiko choo ndani nitashukuru sana wakuu na ikipendeza kama mafundi mpo mpate na kazi kupitia huu Uzi
  17. DalaliBinamu

    JamiiForums Tanzania CHUMBA SEBULE CHOO AT MBEZIBEACH

    Chumba Sebule Choo ndani. Tshs 150,000×4 Maji ndani, Unatembea hadi kituoni, Umeme wawili, Call 0716442950 || 0687614981
  18. B

    JamiiForums Tanzania Orodha ya silaha za asili ( Za kibaiolojia na kemikali) kujilinda dhidi ya vibaka wa nyumbani

    1. Mafuta ya kula : Kaa ndani na mafuta yako Lita tatu. Kila siku usiku saa tano yachemshe hadi yatokote kisha hifadhi kwenye chupa ya chai. Ukiwa na chupa zaidi ya moja itakuwa vizuri zaidi. Usiku wakivunja wewe wamwagie na hayo mafuta ya moto usoni. Wanaweza kufa hapo hapo wote na watakao...
  19. DalaliBinamu

    JamiiForums Tanzania House4Rent Chumba masta na sebule Mbezi Beach

    CHUMBA MASTA NA SEBULE Mahali @ MBEZIBEACH Bei_Tshs 200,000/= Call_ 0716442950
  20. DalaliBinamu

    JamiiForums Tanzania House4Rent Kwa kupangisha chumba masta - Mbezi Beach

    1. KWAKUPANGISHA : CHUMBA MASTA Mahali @ MBEZIBEACH GOBAROAD Bei_Tshs 100,000/= Call_ 0716442950 Unatembea kutoka kituoni.
Back
Top Bottom