Aliyegendua chipsi yai haendi mbinguni;Nilipata mke wa kizungu sababu ya chipsi yai (zege)

mdukuzi

JF-Expert Member
Jan 4, 2014
16,061
35,978
Kwa bongo huu msosi umesababisha mimba nyingi za utotoni,usaliti,ukimwi nk.

Kama unadhani huo msosi limbwata lake ni bongo tu umekosea,haki ya nani aliyeugundua motoni moja kwa moja

Miaka kadhaa ya nyuma katika kutafuta maisha nikajikuta niko nchi moja yenye wazungu wengi,nilizoeana na mama mmoja wa kizungu ,japo alinizidi miaka kama 15,ila ujue wanawake wa kizungu wanachelewa kuzeeka sio kama wanaume wa kizungu.

Kwenye huo mji vyakula maarufu ni,cheese cake,pizza,bugger,hotdog,mutton ribs,portk ribs,chees with chicken,nk.

Ukienda supermarket unakuta mayai,irish potato na sausage za kutosha.

Siku moja nikariungurumisha chipsi zege mixer sausage nikampelekea yule mkekuru wa kizungu kazini kwake,alijiramba vidole

Weekend akaja gheto nikamchakata ,jimatatu asubuhi nikamuachia posho mezeni nikawahi kubeba mabox.
Kurudi namkuta kanunua frying pan,irish potatoes,eggs,sausages na nguo kafua,hakupata kurudi kwake mpaka tulivyozingisna miaka kadhaa mbele
 
Chips imeharibu maisha ya mabinti wengi sana.
Jitahidi watoto wenu angalau mara moja moja KWA wiki mnawapikia chips yai, Ili wasidanganyike huko nje
 
Kwa bongo huu msosi umesababisha mimba nyingi za utotoni,usaliti,ukimwi nk.

Kama unadhani huo msosi limbwata lake ni bongo tu umekosea,haki ya nani aliyeugundua motoni moja kwa moja

Miaka kadhaa ya nyuma katika kutafuta maisha nikajikuta niko nchi moja yenye wazungu wengi,nilizoeana na mama mmoja wa kizungu ,japo alinizidi miaka kama 15,ila ujue wanawake wa kizungu wanachelewa kuzeeka sio kama wanaume wa kizungu.

Kwenye huo mji vyakula maarufu ni,cheese cake,pizza,bugger,hotdog,mutton ribs,portk ribs,chees with chicken,nk.

Ukienda supermarket unakuta mayai,irish potato na sausage za kutosha.

Siku moja nikariungurumisha chipsi zege mixer sausage nikampelekea yule mkekuru wa kizungu kazini kwake,alijiramba vidole

Weekend akaja gheto nikamchakata ,jimatatu asubuhi nikamuachia posho mezeni nikawahi kubeba mabox.
Kurudi namkuta kanunua frying pan,irish potatoes,eggs,sausages na nguo kafua,hakupata kurudi kwake mpaka tulivyozingisna miaka kadhaa mbele
jifunze kuandika kwa kutulia.. madhara ya kunywa pepsi haya huku unasoma nyuzi za Jf
 
Back
Top Bottom