Chipsi za mtaani zinabaki kuwa bora na tamu

Silivian

Member
Joined
Nov 13, 2022
Posts
87
Reaction score
217
Chips za mtaani zinabaki kuwa chips bora na tamu kuliko chips za sehemu yeyote ile.

Though upishi wa chips ni mmoja lakini bado utashangaa radha zinatofautiana au waungwana huweka vidawa.

Hasa chips inayopikwa sehemu chafu chafu huwa tamu sanaaaa kumzidi hata huyo KFC
 
Tunaolima viazi tunawahurumia kwa jinsi tunavoweka madawa kila wiki kuanzia siku ya kupanda hadi kuvuna mixer kupiga 'tyubu" vinenepe, mwanaume stuka acha kyepe kula ugali wa mtama na ulezi!
 
Wakulima wa mtama tunakucheka pia 😂😂 Hakuna sehemu uko salama hizo nyanya mpaka kitunguu, yaan mpaka hayo mafuta unakula
 
Back
Top Bottom