chipsi

Chipsi mayai (Swahili for "chips and eggs"), also known as zege, is a popular street food found in Tanzania, East Africa. In its most basic form, chipsi mayai is a simple potato-egg omelette. It is available in most regions of Tanzania, from the most remote villages to large towns. Food stands both indoors and on streets make them to order.
It is generally prepared with chips, oil and beaten eggs fried together in a pan. It is often served with Kachumbari.

View More On Wikipedia.org
  1. Expensive life

    Ambao hatujawahi kabisa kula chipsi tujuane hapa.

    Chipsi ni chakula kisichokuwa na faida yeyote mwilini mwa mwanadamu, hakiongezi chochote zaidi ya kuusababishia mwili maradhi yasiyo na maana. Pale nyumbani kwangu wanakula japo siyo mara kwa mara inaweza kupita zaidi ya miezi mitano ndiyo wanakula, wanajua kabisa kwakipika hii kitu baba lazima...
  2. AbaMukulu

    Jeshi la polisi chini ya Sirro limeshindwa kuwaweka hadharani wauaji wa muuza chipsi Yusufu Deus, IGP UJAYE TENDA HAKI.

    Naamini IGP Sirro anakaribia kustaafu utumishi wake kwenye jeshi la polisi uliodumu kwa zaidi ya miaka 30. Japo amefanya mengi lakini yapo ambayo bado ananyyoshewa kidole kwayo. Japo ni mengi lakini naomba niwasilishe swala hili moja tuu kwa leo. JESHI LA POLISI CHINI YA SIRRO limeshindwa...
  3. BigTall

    Mwanza: Polisi wawaambia Bodaboda "acheni kudanganya wanafunzi kwa chipsi"

    Mwenyekiti wa Umoja wa Waendesha Pikipiki Kanda ya Mjini Kati, Ramadhan Jacobo amewaasa waendesha pikipiki wenzake kujiepusha na tabia ya kutongoza pamoja na kujihusisha na mapenzi na wateja wao. “Asilimia tisini ya abiria tunaowabeba na wanaotulipa fedha ni wadada, na nyie ni mashahidi...
  4. Analogia Malenga

    Kenya: Kupanda kwa bei ya viazi na mafuta kwasababisha migahawa kuondoa chipsi kwenye menyu

    Bei ya mafuta ya kupikia na viazi mviringo imeonekana kuwa tatizo kwa baadhi ya maeneo ya Kenya kiasi cha wauza chakula, Chepchikoni Eateries kuondoa chipsi kati menu yao Mmiliki wa Chepchikoni amesema bei ya mafuta na viazi inasababisha apate hasara. Muuza chipsi mwingine anayetambuli kama...
  5. G

    Athari za mafuta ya kula yaliyoharibika (rancidity)

    RANCIDITY NI NINI? Rancidity ni hali ya kuharibika kwa mafuta ya kupikia au mafuta yaliyo katika vyakula mbalimbali kama vile samaki au nyama kutokana na jinsi yanavyotumika, kuhifadhiwa au kupita muda wake wa matumizi (expired). Katika kuharibika hutoa kemikali ambazo ni hatari kwa afya ya...
  6. Ramon Abbas

    INAUZWA Kabati 2 za chipsi zinauzwa: Dar es salaam

    futi 4 kwa futi 3.4 loc: ubungo Laki 2 tu
  7. Isaack Newton

    INAUZWA Jiko la gesi la kukaangia chipsi pamoja na regulator yake linauzwa

    Jiko la gesi LA kukaangia chipsi linauzwa kwa 70000 tu. Lina regulator ya high pressure na pipe yake ya mita tatu. Limetumika mwezi mmoja tu. Lipo mbezi beach-salasala. Atakaehitaji anicheki 0679478758 / 0744069243
  8. Mr mussa

    Natafuta jiko la gesi kwajili ya kuchomea chipsi yale ya kutengenezwa

    Habari! Natafuta hilo jiko ambaye anauza tunaweza fanya biashara. Pia kama kuna mtungi wa gesi hii mikubwa nao nahitaji. Mawasiliano 0743451357. Hata ukinisaidia connection jinsi ya kuyapata utakuwa umenisaidia. Ahsante
  9. K

    Kijana wa chipsi anahitaji!!

    Anahitajika kijana wa jikoni, Awe mtaalam wa kupika chipsi, mishikaki, supu, na mazaga zaga yote kwa ujumla. awe mbunifu, sehemu ya biashara ni Tabata (Dar) ni kwenye bar. Awe na nia na kazi sio msumbufu!!mimi nitakuunganisha na muhusika, mengine mtaenda kukubaliana mwenyewe, mimi ni mjumbe.
  10. A

    Anahitajika mpishi ambaye anajua kupika

    Habari zenu wana JF, Anahitajika mpishi ambae anajua kupika (mwenye uzoefu na iyo kazi atapewa kipaombele) pamoja na kuwa na uwezo wa kupima sahani za chakula kwa ajili ya mgahawa. Pia anahitajika mpishi mwengine kwenye chipsi na nyama choma, watakuwepo wawili na mmoja ameshapatikana bado...
Back
Top Bottom