china

  1. V

    JamiiForums Tanzania China dampo medical equipment

    Spain na Uholanzi wamerudisha China vifaa vya kupambana na Corona virus Kama vile testing equipment , face mask na magauni ya kujikinga , Vifaa hivi vimerudishwa sababu viko chini ya viwango vya kimataifa. Taarifa hii ni muendelezo wa kashfa ya China katika mlipuko wa Corona.Tanzania imepokea...
  2. M

    JamiiForums Tanzania China owes the World an explanation: How comes they have the best COVID-19 recovery rate

    Let us take a quick look at the stats of the number of COVID-19 cases across the world, since the outbreak of this deadly pandemic. The USA has 123,000 cases with 3,000 recoveries which stands at 2%. Italy has 92,000 cases with 12,000 recoveries which stands at 13%. Spain's 16%, Germany's 14%...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Check what China is planning to do next

    According to the report, Chinese scientists are working on harvesting the energy of the Sun, but it's not solar energy. The country has developed its very own “artificial sun,” a nuclear fusion research device that is supposed to pave the way for clean energy -- similar to the real Sun. The...
  4. JamiiForums Tanzania Corona: Japo ni janga, pia ni fursa. Tanzania bado hakuna maambukizi, tupunguze panic, tuongeze Elimu. WB kumwaga mihela, tuchangamkie fursa

    Wanabodi, Kuna msemo wa Kiswahili usemao "Kufa Kufaana", wakati watu wanahangaika na janga la Corona, wengine wanaangazia namna ya kutumia changamoto kuzibadili kiwa fursa, yaani turning problems, obstacles, challenges or adversaries into opportunities. Tangu dunia na taifa letu kukumbwa na...
  5. M

    JamiiForums Tanzania See Some foods eaten in China that got more people talking

    Chinese people LOVE to eat. If eating is a sport, no other country will come close. I’ve never seen a nation having so much time for consuming anything that walks, crawls, flies swims, slithers or grows in my whole life until I traveled to China. Strange foods. I love eating therefore, most of...
  6. S

    JamiiForums Tanzania China: Wakazi wa Wuhan kuondolewa zuio la kusafiri Arpil 8

    Baada ya wakazi wa China kuwekewa vizuizi vya kusafiri kwa wiki kadhaa, hasa kuingia jimbo la Hubei (lenye mji wa Wuhan, kitovu cha corona) kwa karibu miezi 2 ili kuepusha kusambaa kwa korona, zuio hilo litaondolewa rasmi April 8. Wakazi wa Wuhan watakuwa huru kusafiri popote nchini kuanzia...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Recovered Corona Virus patients in China tests positive again!!!

    14 percent of the recovered patients in China test positive for the coronavirus for a second time. Doctors in China have revealed that patients that had fully recovered from Covid-19, have contracted the virus again. There is fear in China that there may be a second coronavirus outbreak in the...
  8. M

    JamiiForums Tanzania China ina dawa ya CORONA, kinachosubiriwa Ni ugonjwa huu kupamba Moto ulimwengu mzima ili apige pesa

    Kwa wenye akili kubwa watakubaliana na Mimi kuwa nchi ya China tayari in dawa ya ugonjwa wa CORONA, ila kwa kuwa hii ni Vita ya kiuchumi, wanasubiri nchi nyingi zikabwe barabara na ugonjwa huu Kisha wapige pesa kwa kuziuzia dawa. Time will tell.
  9. T

    JamiiForums Tanzania Marekani Waiomba China msaada

    CHINA YAKUBALI KUISAIDIA MAREKANI KUPAMBANA NA CORONA China imekubali kutoa msaada kwa Marekani ambayo imethibishwa kuwa na maambukizi mengi zaidi ya virusi vya corona kuliko nchi nyingine duniani, ikiwa na zaidi ya wagonjwa 85, 500 kwa mujibu wa chuo kikuu cha Johns Hopkins, Marekan Source...
  10. JamiiForums Tanzania Trump amekuwa mpole kwa Rais wa China Xi

    Kuna baadhi ya watu wanasema china anapika data kuhusu takwimu za corona lakini tweet ya leo trump ameomba ushauri wa kupambana na corona tena kwa lugha ya upole bila kuweka mbwembwe za kuita corona chinese virus.
  11. JamiiForums Tanzania Marekani na China zaungana katika kupambana na Corona

    Rais wa China amesema nchi yake na Marekani lazima ziungane kupambana na janga la Corona, huku mawaziri wa fedha wa Umoja wa Ulaya wakitakiwa kufikia mpango wa kuuokoa uchumi wao uliodhoofishwa kutokana na janga hilo. Rais Xi Jinping wa China pia ameitolea wito Marekani kuimarisha uhusiano wa...
  12. M

    JamiiForums Tanzania 10 Delicious foods to try out in China!!

    The saying must be true: “The Chinese eat everything that has four legs, except tables and chairs, and everything that flies except planes.” However, the State and federal health officials have been clear: You’re no more likely to contract the novel coronavirus from a person of Asian descent...
  13. JamiiForums Tanzania China: Virusi vingine (Hanta Virus) vyaua mmoja, wengine 32 wapimwa kuona kama wana maambukizi

    Mtu mmoja amefariki dunia kutokana na Virusi vinavyofahamika kama Hanta Virus baada ya vipimo kuthibitisha amepata maambukizi. Mtu huyo alifariki ndani ya basi katika Jimbo la Yonnan na abiria 32 waliokuwepo katika basi hilo wamepimwa ili kuona kama wameathirika. Hanta Virus husambazwa na Panya...
  14. JamiiForums Tanzania Italia yaipiku China kwa idadi ya vifo vitokanavyo na ugonjwa wa Covid 19

    Wakuu hamjambo? Nimekuwa nafuatilia kuhusu hili gonjwa la Corona kwa wataliano, naona linawapukutusha kama mti unavyopukutisha majani wakati wa kiangazi. Idadi ya vifo inasoma 400+ kila siku,angalia hii record ya vifo kwa Jana na Leo, ambapo Jana tu uliua watu 475. Leo hii watu takribani 425...
  15. JamiiForums Tanzania China yatangazi mwanzo wa ushindi vita ya dhidi Corona mjini WUHAN

    Mamlaka mjini Wuhan nchini China wametangaza siku ya tar 19/3/2020 kua ni mwanzo wa ushindi wa vita dhidi ya virus vya corona Mjini Wuhan jumbo la Hubei ambako ndio kiini cha mlipuko huo. -Siku ya Leo hukuna taarifa ya maambukizi mapya -hakuna kifo kipya kilichoripotiwa -hakuna washukiwa wapya...
  16. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mbunge wa Kenya aomba deni la China liondolewe kufidia madhara yaliyotokana na virusi vya Corona

  17. JamiiForums Tanzania China inaonekana kuibuka na ushindi dhidi ya janga la Corona

    Wakati nchi nyingi zikiingiwa na taharuki kutokana na kuenea kwa virusi vya corona nchini China katika jimbo la Guizhou Kusini-Magharibi mwa nchi hiyo wanafunzi wameanza kurejea mashuleni kama kawaida pasi na vilinda pua na midomo (mask). Taarifa hii ni kwa Mujibu wa kituo cha habari cha Taifa...
  18. M

    JamiiForums Tanzania New Drug cures 80 Coronavirus patients is now approved for mass production in China

    Experts in China have now narrowed down to favipiravir. Source/Xinhua News A pharmaceutical company in China has been been handed a go ahead by the National Medical Products Administration to kick-start the mass-production of a drug that has been clinically proven to cure coronavirus. The...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Us biological Warfare against China could lead into World war lll

    According to Kevin Barret A number of intersting developments here in United States and China suggested that there is something strange going on regarding the Coronavirus and US government. We are now hearing from the Chinese government itself, as well as Chinese social media, which is normally...
  20. JamiiForums Tanzania China yasema Corona ilianzia Marekani na wanajeshi wa Marekani ndio walioileta China na imeua zaidi ya watu 20,000 nchini Marekani

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Kigeni wa China Zhao Lijian amesema kuna wasiwasi kwa asilimia kubwa kuwa Marekani kupitia Jeshi lake ndio wahusika wakuu waliopandikiza corona China na kwamba ugonjwa huo haukuanzia eneo la Wuhan,China bali ulianzia Marekani. Source: Chinese News
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…