China: Wakazi wa Wuhan kuondolewa zuio la kusafiri Arpil 8

Sikirimimimasikini

JF-Expert Member
Dec 27, 2019
2,920
15,609
Baada ya wakazi wa China kuwekewa vizuizi vya kusafiri kwa wiki kadhaa, hasa kuingia jimbo la Hubei (lenye mji wa Wuhan, kitovu cha corona) kwa karibu miezi 2 ili kuepusha kusambaa kwa korona, zuio hilo litaondolewa rasmi April 8.

Wakazi wa Wuhan watakuwa huru kusafiri popote nchini kuanzia tarehe hiyo.

Yaani nakosa picha furaha watakayokuwa nayo baada ya kifungo cha miezi kadhaa.

Kazi kwao wale wanaosema corona bado yashambulia China na kuua kwa kiwango kikubwa.

Screenshot_2020-03-28-21-09-42-1.png
 
View attachment 1402449

Safi...tunaombea na huku janga hili liishe kabisa...
 
Baada ya wakazi wa China kuwekewa vizuizi vya kusafiri kwa wiki kadhaa, hasa kuingia jimbo la Hubei (lenye mji wa Wuhan, kitovu cha corona) kwa karibu miezi 2 ili kuepusha kusambaa kwa korona, zuio hilo litaondolewa rasmi April 8.

Wakazi wa Wuhan watakuwa huru kusafiri popote nchini kuanzia tarehe hiyo.

Yaani nakosa picha furaha watakayokuwa nayo baada ya kifungo cha miezi kadhaa.

Kazi kwao wale wanaosema corona bado yashambulia China na kuua kwa kiwango kikubwa.

View attachment 1402449
Ngoja aje Missile of the Nation

Sent using My COVID-19
 
Inapendeza...

Ila hawataweza kuzagaa kwenye nchi za wengine... sababu nchi nyingi zimeshaweka zuia la wageni kuingia nchini mwao...

Cc: mahondaw
 
Tunapenda hali huko Wuhan irejee salama. Ila hatutaki taarifa za magumashi za kudanganya ulimwengu. Uongo wa serikali ya Chiba unagharimu dunia
Mna danganywa kwa kipi na mkiambiwa ukweli mna ambiwa ukweli upi ambao mnautaka kuusikia

Sent using My COVID-19
 
Back
Top Bottom