China dampo medical equipment

viking

JF-Expert Member
Aug 23, 2012
2,143
1,291
Spain na Uholanzi wamerudisha China vifaa vya kupambana na Corona virus Kama vile testing equipment , face mask na magauni ya kujikinga , Vifaa hivi vimerudishwa sababu viko chini ya viwango vya kimataifa.

Taarifa hii ni muendelezo wa kashfa ya China katika mlipuko wa Corona.Tanzania imepokea msaada wa vifaa vya kupambana na corana toka kwa Jack Ma boss wa Aibaba.

Nizuri TBS wakadhibitisha ubora wa vifaa hivi kabla ya kuvisambaza kwenye mahospital yetu
 
Wazungu walishatanguliza dharau kwa wachina tangu mwanzo kwahyo huo ni mwendelezo Wa kejeli dhidi ya taifa la uchina lakini ukweli ni kwamba vifaa hivyo hivyo ndo vimewasaidia wachina katika janga hili ndoja wakianza kudondoka kama kuku ndo watatia akili

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chanzo chabari yako ni @Vking

Sawa maadam wamezikataa waache wavirudishe ila naamini hata hao wachina walijidhibiti na vifaa hivyo hivyo

Wamagharibi akili zao fupi sana asee

Sent using My COVID-19
 
Tangu Wachina walete bodaboda zao hizi sjawai ona mzungu kazinunua, huku mitaani zinamaliza wabongo utazani zina mizimu ya kichina, ajali kila iitwapo leo,

Wachina basi tu, Ila vitu vyao vingi hovyo sana
 
Wazungu walishatanguliza dharau kwa wachina tangu mwanzo kwahyo huo ni mwendelezo Wa kejeli dhidi ya taifa la uchina lakini ukweli ni kwamba vifaa hivyo hivyo ndo vimewasaidia wachina katika janga hili ndoja wakianza kudondoka kama kuku ndo watatia akili

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe umejuaje ni hivyo hivyo walikuwa wanavitumia.
Inawezekana hivyo vya msaada wamepunguza quality
 
Kwakoment yang sina lengo lakudhihaki wanaofanya kazi yaboda boda
Tangu Wachina walete bodaboda zao hizi sjawai ona mzungu kazinunua, huku mitaani zinamaliza wabongo utazani zina mizimu ya kichina, ajali kila iitwapo leo,

Wachina basi tu, Ila vitu vyao vingi hovyo sana
Sisi tunafanya boda boda sababu yadhiki zetu ama maisha magumu tunafanya boda boda kwaajili yakujikwamua ama kujikimu kimaisha

Tunafanya boda kama zilivyo kazi nyengine na kuhusiana na maswala mazima ya ajali ajali sio wao wanaozipanga ama kuzitengeneza zinatokana na eidha uendeshaji mbovu wa madereva husika ama miundo mbinu mibovu yasehemu husika ama sheria mbovu zabarabarani zasehemu husika

Hv ulishawahi kukaa chini ukajiuliza madhara yanayotokana na midaada ya ARVs na Makondom

Yaani waafrika tutakufa kama kuku miaka inavyozidi kwenda huko mbeleni kisa tu kuwaona mazungu kama malaika wakat huo huo wengne tunawaona kama mashetani

Nb:wazungu wachina ama watu weupe kwaujumla wao wote washenzi tu sema wanatofautiana viwango vyaushenzi wao tuuu.

Sent using My COVID-19
 
Spain na Uholanzi wamerudisha China vifaa vya kupambana na Corona virus Kama vile testing equipment , face mask na magauni ya kujikinga , Vifaa hivi vimerudishwa sababu viko chini ya viwango vya kimataifa.

Taarifa hii ni muendelezo wa kashfa ya China katika mlipuko wa Corona.Tanzania imepokea msaada wa vifaa vya kupambana na corana toka kwa Jack Ma boss wa Aibaba.

Nizuri TBS wakadhibitisha ubora wa vifaa hivi kabla ya kuvisambaza kwenye mahospital yetu

Mkuu kwa nini unatuletea fake news hapa - yaani mnarudia/copy propaganda za NATO members bila ya kutafakari mleta habari ana agenda gani ya siri.

Hivi kweli inaingia akilini kwamba wachina wana vifaa tiba vya low quality? Wanafiki hawa wa magharibi mbona hawasemi China iliwezaje ku-contain maabuzi hatari ya Coronavirus in a record time, wajahakikisha corona haisambai nje ya jimbo la Hubei na mji wa Wuhan kitu ambacho Merikani wameshindwa kutekeleza mpaka corona inasambaa karibu majimbo yote 50+ ya USA, Mataifa yote yabayo endesha dirty campain against China Mataifa hayo ndio hivi sasa yamekubwa na maambukizi mengi ya Corona licha ya kujidai wao ndio wenye high quality vifaa tiba, sasa kama ndio hivyo imekuwaje tena Nataifa hayo yana kwenda kuomba msaada wa vifaa tiba na madaktari kutoka Urusi na Uchina. Halafu media za magharibi wanatuletea adithi za kutunga tu eti "vifaa tiba vya China na Urusi" havifahi ie ni low quality - wanaendeleza vita baridi vilivyo sitishwa in 1986.
 
Asante mkuu Kwa comment ya mahubili na bila Shaka nimekuelewa vizuri na hata hivyo hata Mimi sikuwa na lengo la kudhihaki biashara ya bodaboda, ilikuwa ni Ile Hali ya kujiuliza tu kwamba, Kwa nini mzungu hanunui pikipiki ya mchina?

Ni hivyo tu kiongozi
Kwakoment yang sina lengo lakudhihaki wanaofanya kazi yaboda boda Sisi tunafanya boda boda sababu yadhiki zetu ama maisha magumu tunafanya boda boda kwaajili yakujikwamua ama kujikimu kimaisha

Back
Top Bottom