china

  1. JamiiForums Tanzania CHINA: Tumemkamata aliyezusha kuwa China inawabagua Waafrika

    Raia wa China akamatwa kwa kusambaza uongo kuhusu Waafrika Serikali ya mji wa Guangzhou, kusini mwa China imesisitiza kuwa jamii ya Waafrika katika mji huo ni ndogo kuliko laki tatu iliyodaiwa katika mitandao ya kijamii ya Kichina, na kwamba watu wanaowsili kutoka nchi za nje, raia wa China na...
  2. JamiiForums Tanzania CHINA: Tumebuni mfumo wa kupata vipimo vya CORONA ndani ya dakika 15

    China yabuni mfumo wa kupata matokea ya haraka ya vipimo vya virusi vya Corona Wanasayansi wa China wamefanikiwa kubuni mfumo wa kupata majibu ya haraka ya vipimo vya virusi vya Corona. Mfumo huo unaweza kuhifadhiwa na kusafirishwa katika joto la kawaida, na matokeo yanaweza kupatikana dakika...
  3. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mkenya aliyesafiri kutokea Tanzania akutwa na Corona,wengine wanne wathibitishwa.Kifo kimoja chatangazwa

    The number of coronavirus cases in Kenya has risen to 184 after five more patients tested positive for COVID-19. Health Cabinet Secretary Mutahi Kagwe on Thursday said the new cases include three Kenyans and two foreigners. Three of the five patients had traveled from Tanzania while the other...
  4. JamiiForums Tanzania Ubalozi wa China Tanzania na Barrick (Kampuni ya Twiga) zatoa misaada kwa Serikali kusaidia kupambana na Corona

    Twiga Minerals Corporation, a joint venture between Barrick Gold Corporation (NYSE:GOLD) (TSX:ABX) and the Tanzanian government, has announced a support program to assist the country in combating and containing the Covid-19 pandemic. Barrick's chief operating officer for its Africa and Middle...
  5. M

    JamiiForums Tanzania COVID-19 :See The Reasons why China wants to Help African Countries

    China has been making frantic moves to help developing countries, especially Africa, to overcome the Coronavirus pandemic. The coronavirus pandemic has destroyed economies of the world, thereby bringing many countries down. The means of survival of many countries have been crumbled with the...
  6. JamiiForums Tanzania China yaripoti visa vipya vya corona 62 na vifo 2

    Mamlaka ya afya nchini China imethibitisha visa vipya 62 vya maambukizi ya virusi vinavyosababisha ugonjwa hatari wa Covid-19, ambapo janga hilo lilizuka mwezi Desemba mwaka jana. Siku moja kabla watu 32 waliambukizwa virusi vya Corona, kwamujibu wa mamlaka ya afya. Vifo viwili vya nyongeza...
  7. JamiiForums Tanzania Marekani yaendelea kuvutana na China kwenye janga la Corona, yahamishia lawama kwa Shirika la Afya-WHO

    Rais Donald Trump amelishukia shirika la afya duniani WHO na kulilaumu kwa kuegemea upande wa China.Trump amesema asasi hiyo ya kimataifa ilishirikiana na China kuficha ukweli. Rais wa Marekani Trump ametishia kulikatia fedha shirika la afya Duniani WHO kwa sababu amesema shirika hilo...
  8. R

    JamiiForums Tanzania CHINA: Tupo tayari kuisaidia Marekani kupambana na Corona

    Msemaji Wizara ya Mambo ya Nje wa China Zhao Lijian amesema China ipo tayari kuisaidia Marekani ili kupunguza maambukizi ya corona ambayo yanaonekana kushika kasi USA wakati huu ambapo China yamepungua, Zhao ni miongoni mwa Watu wa kwanza kudai Marekani imepandikiza corona China. "Niliwahi...
  9. M

    JamiiForums Tanzania China Officially launches research on 6G while America and Europe are busy with 5G..Africa is comfused..

    China is certainly not joking with the advancement in all aspects of human development. For while America and Europe are yet to fully come to terms with the deployment of the 5G technology, and Africa still confused about the safety, and the propaganda about 5G, China has moves to researching...
  10. M

    JamiiForums Tanzania China is preparing to start a War with America...

    Sometime in June 2001, while browsing the Wall Street Journal, I stumbled upon an item on an inside page all the way at the bottom. It was no more than 75 words in a box. It covered a CIA security announcement concerning an increase in internet and cell phone traffic among suspected terrorists...
  11. JamiiForums Tanzania 89% ya waliofariki na Corona wametoka bara la Ulaya, Marekani, China na Iran, huku 0.5% vikitoka Afrika na 0.2% weusi tii! Then why lockdown in Africa

    Ukifuatilia kwa umakini epidemiology ya ugonjwa huu haiziathiri ngozi nyeusi zilizokulia Africa zinazopambana na Virus wengi walioko kwenye Vumbi tunalokutana nalo pengine Vumbi hili lina particles ndogondgo ambazo hazitakiwi na mwili na hivyo basi kinga za miili yetu ziko stressed kuingia...
  12. JamiiForums Tanzania DRC imeingia makubaliano na Marekani pamoja na China ufanyikaji wa majaribio ya kinga ya Corona nchini mwao

    DR Congo 'prepared' to take part in vaccine testing: official The Democratic Republic of Congo is prepared to take part in testing of any future vaccine against the coronavirus, the head of the country's taskforce against the pandemic said on Friday. "We've been chosen to conduct these tests,"...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Internatinal Court to decide whether China used Corona Virus as Bioweapon to Attack the World

    A new lawsuit filed with the International Criminal Court (ICC) accuses China of using coronavirus as a bioweapon. Although the theory has already been debunked in the past, a new complaint filed against Beijing claims the deadly virus was engineered in a lab by Chinese scientists. The...
  14. JamiiForums Tanzania China inaomboleza wahanga wa COVID-19 nchi nzima

    China leo imefanya maombolezo ya nchi nzima kuwakumbuka maelfu ya watu waliopoteza maisha kutokana na virusi vya corona. Bendera za taifa zimepepea nusu mlingoti nchi nzima pamoja na kusitisha shughuli zote za burudani. Siku hii ya maombolezo iliambatana na kuanza kwa sherehe za kila mwaka za...
  15. S

    JamiiForums Tanzania Unafanyeje biashara kipindi hiki cha Corona?

    Habari za Kwako Mwana Jamii Mwenzangu! Natumaini upo poa na unaendelea kujikinga na Corona iliyokuja kwa kasi 2020, Natumaini Mungu atatuvusha! Wakati China wakiwa wamefunga milango yao na wamerudi makazini na shughuli zikiwa zinaendelea kama kawaida ( masks, sanitizers, kupimwa joto la mwili...
  16. J

    JamiiForums Tanzania Hivi ndivyo China ilivyotengeneza COVID-19 kuangamiza watu ili kuidhibiti dunia kiuchumi

    December mwaka Jana 2019 ulilipuka ugonjwa wa Corona jijini Wuhan nchini China. Hapo hapo Wuhan ikawa Locked. Taharuki ikaanza duniani kote. Idadi ya wanaokufa ikaanza kutolewa ikiongozwa na China. Kwasababu ugonjwa umeanzia China, na ni nchi ya viwanda, definitely Test Kits za Corona zitaanza...
  17. JamiiForums Tanzania Mtanzania afukuzwa China kwa kushindwa kuheshimu taratibu za kujinga na ugonjwa wa covid-19

    Maelezo ya mmoja wetu kuhusu hilo yako hivi:- “Naomba kushare na ninyi jambo moja linasikitisha kidogo. Jana kwenye mitandao ya kijamii hapa China kumeibuka habari ya kuchafua jina letu Tanzania. Kuna mtanzania mwenzetu ameripotiwa kufanya mambo ambayo ni kinyume kabisa na maelekezo tunayopewa...
  18. M

    JamiiForums Tanzania (6)Six things you must know about artificial Sun China is busy building

    China is building an artificial Sun, which is capable of powering our entire planet. Here are the six things you must know about this gigantic project that would revolutionize the way we live; 1. The “artificial sun” was first announced by Chinese researchers last November, but the project has...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Tukisema China ndiye aliyetengeneza virus vya CORONA tunamaanisha mambo kama haya

    Tazama kipande hiki Cha filamu iliyotengenezwa na kuingia sokoni mwaka 2018. Katika filamu hii virusi vya CORONA vimezungumziwa. Sasa hapo ndo utajua kuwa tamaa ya mchina ndo inayougharimu ulimwengu kwa sasa.
  20. JamiiForums Tanzania Maombi ya talaka China yameongezeka kwa kiwango kikubwa wakati wa lockdown!

    Divorce rate spikes across China after 'couples spend too much time together during coronavirus home quarantine', officials claim Divorce rates in China have risen significantly because 'couples are spending too much time together at home' during coronavirus self-isolation, according to...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…